Jukwaa la Historia

On JF:

Katika kuelekea siku ya kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa Mwl J.K.NYERERE nimeandaa historia fupi ya maisha ya Mwalimu!Tafadhali sikiliza sehemu hii ya kwanza,usisite kutoa maoni na ushauri pia...
0 Reactions
0 Replies
7K Views
JONAS MALHEIRO SAVIMBI, MWANAHARAKATI ALIYEBADILIKA KUTOKA MSOMI NA MWANAMAPINDUZI MPAKA KIBARAKA NA KIBAKA KWA WATU WAKE WA ANGOLA. Na, Comred Mbwana Allyamtu. Sunday - 01/10/2017. JONAS...
1 Reactions
5 Replies
10K Views
Katika kusimulia historia ya Tanzania huwezi kuacha kusimulia historia ya vita vya Maji Maji ambavyo vilipata kutokea miaka ya 1900-1910. Vita hivi vilikuwa vinahusisha Watanganyika (watanzania)...
0 Reactions
28 Replies
10K Views
na Sabina Chrispine Nabigambo Nchi ya Nigeria inaadhimisha miaka ya 57 ya uhuru wake,tangu kumalizika kwa utawala wa kikoloni mwaka 1960 Akihutubia taifa hilo hapo Jana Rais Mohammadu Buhari...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
HISTORIA YA TOM MBOYA WA KENYA (1930-1969). Moja ya matukio ya awali kabisa katika historia ya Afrika huru lilimpata aliyekuwa Waziri wa Mipango, Uchumi na Maendeleo wa Kenya Tom Mboya...
2 Reactions
16 Replies
5K Views
WAGOGO Wagogo (mmojawao anaitwa Mgogo) ni kabila kubwa la Tanzania ya kati, wenyeji wa mikoa ya Dodoma na Singida . Wanakadiriwa kuwa zaidi ya 1,500,000. Lugha yao ni Cigogo (kwa Kiswahili...
11 Reactions
42 Replies
22K Views
Mohamed Said Asaria nakuwekea hii ili uone jinsi nilivyokutana na Dr. Mwanjisi katika Nyaraza za Sykes na In Shaa Allah nitakwenda hivi kwa wazalendo wengine ambao si wengi wanajua michango yao...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
The Anglo-Zanzibar war, ilikuwa vita kati ya Zanzibar na Uingereza iliyotokea Ijumaa ya tarehe 27 August 1896.Hii ndio vita iliyodumu kwa muda mfupi zaidi hapa duniani, vita ilidumu kwa muda wa...
2 Reactions
10 Replies
8K Views
Mathew Fontaine Maury kwa wale waliosoma mambo ya history of marine Navigation Mnaweza mkawa mlimsoma , kwani ndiye Mtu wa kwanza akugundua " path of the sea current " yaani Mikondo ya bahari...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Kama ulikuwepo enzi hii pesa inatumika. Je iliweza nunua nini?
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Hivi kuna tofauti kati ya wabarbeig na Wamang'ati?
0 Reactions
9 Replies
13K Views
Kuna kila dalili zinazonionyesha kwamba Mabadiliko ya kweli kamwe hayawezi kutokea ndani ya CCM, hata kama wangelishuka kutoka mbinguni akina Dr. Magufuli milioni moja wakasaidiana kuliongoza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo wakati naangalia tukio la kurudi ccm wanachama-madiwani wa chadema nikapata swali la kujiuliza... hivi wachaga na waarusha wamewahi kutoa watemi au machifu wenye nguvu? Nawaona wadhaifu sana...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Hakuna...hakuna...hakuna mwarabu mwenye kujifaharisha kwa majina Yetu. Mwarabu wa kuitwa Masanja, Chacha,Masawe au Mwakitabu hayupo. Hata wale waarabu ndugu zetu wa Puge kule Nzega, au wale...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
IJUE HISTORIA YA "Vladimir Ilyich Lenin" MWASISI NA BABA WA TAIFA WA DOLA LA USSR. •Makala hii ni sehemu ya maombi ya wadau wa Facebook. First Edition. NA Comred Mbwana Allyamtu kwa ushilikiano...
4 Reactions
4 Replies
6K Views
NI DOLA YA GALLIA (GALLIC) UFARANSA, AMBAYO KWA ZAIDI YA MIAKA “900” NDOTO YAKE YA KUITAWALA DUNIA ILIVYOSHINDWA; NA NI MAPINDUZI (Révolution française) YA 1789 YALIYO ZAA FALSAFA YA MWANGAZA WA...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hivi historia ya nchi yetu inatusaidia kitu gani kwenye maisha yetu ya kila siku nimejaribu kuwaza kwa mfano historia ya mambo ya kina living stone yanasaidiaje kuimarisha ubongo wa kijana wa sasa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Karibia namaliza kitabu chake kuhusu Abdulwahidi Sykes - nipo ukurasa wa 206 sasa. Kwa kweli kinastahili kumpa Shahada ya Uzamivu ya Historia. Kama bado hajapewa nashauri vyuo vyetu vifanye hivyo...
7 Reactions
28 Replies
6K Views
"kiongozi wako wa kazi anayo mamlaka na madaraka makubwa kuliko yaliyoandikwa, sio kila jambo lazima iwe kanuni" — Job Ndugai, Spika wa bunge Hii ni kauli ya Spika la Jamhuri ya Muungano wa...
0 Reactions
1 Replies
918 Views
Mwalimu JK Nyerere na Bw. Patwas kualia kwake unapoitazama picha. Kulia mwenye koti na kofia Mzee Rashid Makoko Babu na wa pili yake ni mwanae Mamboleo Makoko na kushoto mwenye koti na kofia mzee...
3 Reactions
31 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…