Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habar wana jf, kwa walimu mliotegemea kuajiriwa january na serikal, kwa wengi wenu n vijana so maisha ni leo/sasa kwan hiyo ahadi/tumain ishapotea na aliyeshiba hamkumbuki mwenye njaa, pia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu, mi nilikuwa mwl wa vodafasta, nilikuwa nafundisha Hesabu, baadae niliamua kujiendeleza na elimu ya chuo kikuu, baada ya kuondoka katika kituo changu cha kazi niliicha majonzi mengi kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Muhimbili University of Health and Allied Sciences has been ranked the best university in Tanzania in 2012/13 by University Ranking by Academic Performance (URAP) Research Laboratory
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tarehe mbili mwezi huu nilibahatika kuitembelea shule yangu Ilboru,nilihudhuria pia mahafali ya 20 ya hii shule. Wadau shule yetu bado inafanya vizuri.....vijana bado wanalitunza jina la shule hii...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
A stroke, brain attack, or a Cerebrovascular Accident (CVA), is the sudden death of brain cells caused by a lack of supply in oxygen to the brain. There are two main types of stroke: i)Ischemic...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wandugu naomba mnisaidie kulielewa hili maana akili yangu hapa imegoma kuelewa, nijuavyo mimi high learning institution huwa zinahamasisha watu kijisomea hata kama vyuo vimefungwa, sasa cha...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
year 1 semister1 *financial accounting *business mathematics *micro economics *communication skills 1 *principles of education *general management *business law1 *debating skills...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Breacking newsssss......!!! Hallow taarifa kwa wanachama,na makamanda wa chamanda kutakua na uchaguzi mwezi wa tatu tarehe 16.03.2013 siku ya jumamosi.wanachama kwa anahitaji kuwa kiongozi fomu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii radio kila nisikilizapo napata kitu kipya na muhimu sana katika maisha yangu. Radio zote bongo zingekuwa kama radio Imaan hakika tungekuwa mbali sana. Nasikiliza Radio Imaan hapa mkombozi wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kati ya kazi ambayo serikali kwa makusudi imeamua kuifanya ionekane ni ovyo ni ualimu. Haiwezekani walimu tu nchi hii ndo wenye madai mengi yasiyo lipika,mazingira magumu ya kufanyia kazi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Waungwana wa Research naomba maelekezo ya CLUSTER SAMPLING&STRATIFIED SAMPLING..pia tofauti zake. Natanguliza shukurani.
0 Reactions
2 Replies
962 Views
Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management, Nursing etc, in China. Admissions open for 2013 session. Scholarships available for limited seats only. Contact us for scholarship...
0 Reactions
0 Replies
697 Views
Ni hv punde 2 nimepata hii sms kutoka kwa mwenzangu ambaye 2nasubir wote ajira za ualimu kutoka serkalini sms imenishitua kidogo kwani inasema hv: WALIMU WAPYA TUKUTANE DAR KUANZIA TAR...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
PENGINE haya tunaweza kuyaweka kwenye kundi la madhara yatokanayo na utandawazi. Mitandao ya kijamii ipo inayowasaidia wanafunzi katika masomo yao na kazi, lakini wengine wanatumia mitandao hiyo...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kwanza kabisa niwape pole sn madenti wanaosongoka leo nataka niwakumbushe maeneo fulani na majina kwa kila shule nilizopita nianze na ILBOYZ majina km Golgota pale mtiani inakofanywa, doms km kibo...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Naomba kuuliza; Ni kwa mda gani unaweza kukaa bila ya kufanya mtihani wa FORM 4 kama ulifaulu QT..?
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Nilitaka kujua kuhusu vitabu vya walimu vya kufundishia, kila mwalimu anaagiza mwandishi wake wa kitabu kiasi kwamba inatuchosha wazazi, mtoto aliyesoma mwaka jana na kitabu mf. hesabu mwaka huu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwanza nianze kuomba radhi kama sijaielewa sana hoja ya Mh Nchemba ya mfuko wa Elimu ya juu. Nasema naomba radhi kwa sababu kama serikali muda wote imekuwa ikijisifia kwa kuongeza fedha ktk...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Rais Jakaya Kikwete amemteua DR Asha-Rose Migiro kuwa mkuu mpya wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania. Source: Habari Leo
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanajf, Lyabusalu secondariipo moa wa shinyanga km 45 kutoka shinyanga mjini, tangu ianzishwe mwaka 2007 haina jengo la utawala, mkuu wa shule na walimu wanakaa kwenye darasa moja, hii ni moja...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…