NANI MSHINDI??
Elimu ni nguzo muhim sana katika maisha ya binadam maana huondoa ujinga na kuingiza maarifa ambayo ndo msingi wa maendeleo ya taifa, taifa lisilokua na wasomi huishia kuwa maskini...
Kikula Mkuu wa chuo leo kasema chuo kimedahiri wanfunzi wachache kwa jili ya ukosefu wa walimu lakini akasema kwa sasa wameajiri walimu kutoka India,Korea,China,Japan,Marekani,Uingereza wakati...
Kutokana na hali ya sintofahamu iyojitokeza hivi karibuni ya mauaji ya viongozi wa dini ya kikristo,(mchungaji Mathayo kule buseresere, padri Mushi kule Zanzibar na kupigwa risasi kwa kwa padri...
Matokeo mabovu kuliko yote ya kidato cha nne kuwahi kutokea katika historia ya taifa la Tanzania yamezua balaa la aina yake baada ya wanafunzi wawili kujiua kwa kujipiga vitanzi hadi kufa. Taarifa...
Nataka kupata majina yenu na nijenge hoja. Nijenge hoja,kama raia wa kawaida wa nchi hii,kuwa mnapaswa kurudia mitihani ya kidato cha nne. Kama si kutungiwa mitihani mipya basi mrudie mitihani na...
Nina binamu yangu mtoto wa anko kamaliza form four 2012. Matokeo yake siyajui na sikuwa na mpango wa kuyafuatilia. Leo nilikuwa na shida na mjomba na simu yake ilikuwa haipatikani, katika kuulizia...
Kama jina lako linatumiwa na mojawapo ya shule za sekondari zinazofanya vibaya, ungechukua hatua gani?.
Hivi wenye haya majina wanajisikiaje wanapoona matokeo haya?.
Jina la Shule...
Ni Mtazamo wangu
Nakumbuka nikiwa sekondari ya Mawezi, Moshi.
Likizo tulikuwa tunakutana na washikaji tuliosoma wote primary halafu wakapangiwa special schools Kibaha, Mzumbe, na Ilboru.
Na wale...
Serikali kwa mjibu wa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi kubuni kuwa na mtihani mara baada ya mwanafunzi kujiunga na kidato cha kwanza. Je mtihani wa darasa la saba unatija?
Habari wana JF, Nimelazimika kuwapa pole hawa vijana kwa kazi ngumu wanayoifanya na huyu Kibonde ambaye ki ukweli si kwamba ni kada tu wa MAGAMBA,bali hata kichwani hana kitu!!!!!! yaani ni empty...
msaada wa mawazo yenu ndugu zangu, mdogo wangu ana 4 ya 26 na ana C mbili za english na civic.
Geog ana f, physics, math, chemistry, biology na kiswahli ana D zote.
Nimefikiria kuomba wizara ya...
inasadikika kuwa Tanzania ni nchi pekee baran Afrika yenye lugha moja inayounganisha watu wake wote na haijakopwa kokote. lakini nchi yenyewe haitaki kufaidika na hyo tunu inang'ang'ania lugha ya...
Wadau napitia hoja zinazotolewa humu kuhusu matokeo ya Kidato cha Nne ikanikumbusha mijadala mikali iliyokuwepo ya Matokeo ya Kidato cha Pili na Darasa la 7 kuwa ni mabaya sana. Hivi nini...
habari zenu ndugu
samahani wadau kuna ndugu yangu ananisumbua kuwa matokeo yao ya qt ya mwaka jana 2012, yametoka anaomba nimuangalizie.
Sasa nimekwenda web ya necta hakuna kitu kama hicho...
Fahari wawili SERIKALI vs WALIMU
Hivi karibuni tumeshudia malumbano ya kimasilahi baina ya walimu na serikali na hatimaye kupelekana mahakamani na serikali kupinga kisheria walimu kuendelea na...
baada ya kukubwa na sitofahamu ndani ya miezi mi5 wanafunzi wapatao 215 juu ya pesa zao za kujikimu kutokufika, na bodi kuishia wapa ahadi za kuwambia tunawapa na kuwapelekea allocation zao, na...
Kila mara yatokapo matokeo ya kidato cha 4 na cha 6 kunatokea kundi flani wanaojiita Wanaharakati wa upande wa kushoto kazi yao kwenda kwenye vyombo vya habari na kulalamika kuwa watoto wao...