data processing can be performed in 3 approaches manually, mechanical and electronically.manual and electronic data processing approachers have remain popular but mechanical data processing is...
Nimesikia kupitia redio moja ya Mkoani Iringa (bila kukosea ni Ebony FM) ya kwamba Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imetoa fomu za kurudia Mtihani wa Kidato cha Nne - 2012 kwa wanafunzi...
Mimi ni mojawapo ya wanafunzi niliofanya mtihani wa form 4 na kufaulu na III=25 Civ-D Hist-C Geog-C Engl-C Kisw-C Biol-D na Maths-FKwa yeyote mwenye moyo wa kutoa msaada naombeni anisaidie hata...
Hello wana Jf
Kama title yangu hapo juu inavyosema, nimekitafuta sana hicho kitabu bila mafanikio yeyote mwenye information kuhusu mahala naweza kukipata anisaidie.Pia riwaya za B.Mtobwa nazo...
Habari za humu ndan jaman,mi naulizia je ni utaratibu upi unatumika kwa wale ambao wamehairisha mwaka wa masomo chuo na wanataka kuingia chuo mwaka huu?Nahitaji msaada wenu kwa yoyote anayejua
Eti nasikia mwaka huu kwakua watu wachache wamefaulu mtihani wa kidato cha nne kwahyo hakuna atakayechaguliwa kujiunga na chuo cha ufundi inawaje alichagua na wote watapelekwa form 5 je hili lina...
Jamaa anaongoza kuwalazimisha na kufanya mapenz na wanachuo.... Kila binti mzur amefanya nao sex!! Yeye hawaz lolote, at age of 57 ni malaya anayefanyia ofsini, kwenye gari lake.,, nk
Kwenye...
Walimu waliopata ajira mpya Halmashauli ya kilwa wamelazimika kuendelea na kwaresma katika kipindi hiki cha Pasaka kutokana na uzembe na dharau za kutojali wafanyakazi zinazifanywa na ofisi ya...
kwa wenye taarifa au habari yoyote kuhusu chuo hiki kilichopewa sana kipaumbele na waziri mkuu m.k pinda please naomba anijulishe.Nasikia kipo mkoa mpya wa katavi.
wana jf nimemaliza fom 4 2008 na kupata div 4 ya 30..chemistry-C,Biology-D,Physics-F, Math-D na english-F,KWA UFAULU WANGU HUO NAWEZA KUPATA NAFASI YA KUJIUNGA NA KOZI YA CLINICAL ASSISTANT...
Wana jf naomba kufahamu ada ya chuo cha maabara singida ni bei gani?kwa wanaoingia private..na wanafanya interview lini ya kujiunga na chuo hicho,gharama zote pamoja na hostel na chakula ..au...
kwakutokana na uhaba wa waalimu katika shule nyingi za kata hapa nchini sasa tura sekondari yakaribia kupotea katika ulimwengu wa shule za sekondari kwa kukosekana kwa waalimu wa kuiwezesha shule...
Salam wadau
Natafuta Research Assistants (2), mmoja wa kiume na mmoja wa Kiume wawe na elimu kuanzia kidato cha 6, kwa sasa nipo nje ya nchi natarajia kuwa Dar es Salaam, ndipo nitakapofanyia...