amefanya mtihani wa kidato cha nne mwaka 2009 na akarudia tena 2010 akapata vyeti viwili.swali je kuna uwezekano wa kufanya kiwe kimoja badala ya viwili vya sasa?
AGAIN, HELLO JAMII FORUM!
ITENDE SECONDARY SCHOOL INA TANGAZA NAFASI ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA 5, MWAKA 2013;
MICHEPUO: HGL, HGK, HKL NA HGE
SHULE NI KUTWA NA BWENI/HOSTELI
SIFA NI WENYE CREDIT...
naulizia kama kunauwezekano mkubwa wa wanafunzi walo pata daraja la division 4 ya 26 na 27 kwa mwaka 2012 kwenda advanse??
Kama kuna dondo kuhusu hilo naomba ufafanuzi kupitia
(0767980086) kwa...
Hivi majuzi nimemsikia Naibu waziri wa elimu mh.Philipo Mulugo akisema kwamba serikali inanuia kurejesha adhabu ya vibo shuleni ili kurejesha nidhamu kwa wanafunzi na kuwafanya watulie kujisomea...
Habari za w'k end wapendwa?naomba mnisaidie kwa mtu anaye resit form six anaruhusiwa kurudia masomo mawili?na kama ndio je cheti chake kipya kitasomekaje.
Alizeti ni chanzo cha malisho ya mifugo
Alizeti haitoi mafuta pekee kwa afya ya binadamu, lakini pia inatoa chakula kwa wanyama na viumbe wengine mfano mifugo (ngombe, mbuzi, kondoo, kuku na...
mm ni kijana niliemaliza kidato cha sita mwaka huu nilichukua PCB nasubiria majibu, ndoto zangu ni kuwa doctor lakin nimezungumza na baadhi ya watu wanadai udaktari mgumu Afadhal ufamasia, so...
"Umaskini na uharibifu wa mazingira ni watoto pacha na mama yao ni ujinga", (A.H Mwinyi, 2010). Nimelazimika kuanza na usemi huo wa Mzee Ruksa nikiikumbuka kila April 1, ambapo huwa ni siku ya...
Umaskini na uharibifu wa mazingira ni watoto pacha na mama yao ni ujinga, (A.H Mwinyi, 2010). Nimelazimika kuanza na usemi huo wa Mzee Ruksa nikiikumbuka kila April 1, ambapo huwa ni siku ya...
Taarifa kwa umma kutoka TCU juu ya chuo cha TIU(TANZANIA INTERNATIONAL UNIVERSITY ) kilichopa kimara mwisho Tunapenda kuwajulisha kuwa chuo hiki hakina ithibati ya Tume ya Vyuo Vikuu (TCU)...
Wizara ya Elimu inayoongozwa na Alhaj Jumanne Maghembe (MB) akisaidiwa na Hajjat Mwantum Mahiza (MB) hivi karibuni kumekuwa na malalamiko ya upendeleo hususan katika ugawaji wa Scholarship za...
Ktk hali iliyotofauti na miaka mingine,mwaka huu bunge limeanza mwezi wa nne na kwa matarajio ya waalimu walio wengi ni kuona serikali ikiwajibu madai yao mfano kuongeza maslai na kuboresha...
Katika pitapita kwenye mtandao nimekuta tangazo la kutoka kwa vyeti. Jaribu nawe kutembelea Certificate and Transcripts for 2012 - Certificate and Transcripts for 2012 ili ujionee!
Wakuu napendelea kusoma IT sasa kunachuo kipo malaysia nimekifuatilia na wanatoa degree ya IT with specialism in information system security.sasa swali langu ni hili nikienda kuchukua hii kozi...
huko siju zilizopita yalijadiliwa haya
https://www.jamiiforums.com/nafasi-za-kazi-na-tenda/414059-nafasi-za-kazi-tanzania-international-university-tiu.html...
Ndugu wana Jf naomba kujuzwa juu ya hili, unakuta kunamjumbe walati anachangia hoja katika tread mwisho anasema nitaku 'PM' mim binafs sielewi huwa wanamaanisha nin...tafadhali naomba kujulishwa
Naomba wadau mnisaidie kupata chuo kinachotoa kozi ya ushauri nasaha miezi sita na ada za hvyo vyuo kwenye hyo kozi. Napenda sana sana nipate vyuo vilivyopo tmk make nataka mama watoto asome hyo...