Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Napenda kuwashirikisha ndugu zangu katika hili tuache siasa na tusimamie ukweli. Ninao ushahidi wa kutosha juu ya hili mwanafunzi wa dipl ya nersing hajui hajui hata kutoa first aid kwa mgojwa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kwa wale ambao mmesha apply TCU naombeni mniambie deadline na je wanataka kuambatanisha result slip ya f6?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, Kuna rafiki yangu anataka kuinvest kwenye elimu ya juu. Yeye ana uwezo wa kuorganize manpower/personnel na technical requirements zote kama programmes, syllabi, modes of delivery...
0 Reactions
0 Replies
824 Views
hi,naomba kufahamu kwaanae fahamu hili swala,nilifanya mtihani wa form four kam private candidate nikafanya masomo matatu nikafaul somo moja nililokua nikilihitaji ilikua mwaka 2008 je naweza...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari wanajamvi,naomba anaejua vyuo vya binafsi vya ualimu ngazi ya cheti grade 3A,vilivyopo mkoani arusha,ila viwe na hostel anijulishe,asante
0 Reactions
2 Replies
17K Views
What are you thnking right now?,about education.
0 Reactions
0 Replies
651 Views
Hv wana JF wizara imeshndwa kutangaza selection up to date ama ndo wana mpango wa kufuta tena matokeo?,ama ndo hakuna tena kwenda shule ?,mbona wamekuwa mabubu ghafla hatujui knachoendelea!,labda...
0 Reactions
0 Replies
709 Views
ebanaa mi ndo nataka nikafanye research mwezi huu wa saba mnaweza mkanifungulia topic ya kwenda kufanya wadau.. mi nasoma accounting and finance....thanks
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Bado najiuliza .km ubora wa elimu upo chini hivi?halafu kuna siasa na dini ktk matokeo,na uimara wa taasisi maalumu unategemea uadilifu na msimamo wa mtu,soon watahiniwa watatapata matokeo...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Kwa mfano kwa kutumia matokeo ya mwaka jana(2012) jinsi yalivyo kuwa yametoka. Matokeo ya mwanzo kwa mfano mtu akawa amepata IV 33 akaamua bora arudie mtihani,matokeo ya pili yalivyo toka akawa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa anayejua kuhusu CHUO CHA N.I.T MAMBO YA TRANSPORT. . . . . .je ukimaliza hiyo degree unakua nani?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Asante ndugu wanajamii wenzangu. kwa jina naitwa bless mgongolwa, Nipo kidato cha 6 PCM katika shule ya secondary BENJAMIN WILIUM MKAPA, Katika kujitolea kuendeleza elimu ya tanzania Nimebuni...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management in China. Admissions open for 2013 session. Scholarships available for limited seats only. We are representing top ranking Government...
0 Reactions
0 Replies
823 Views
Chuo kikuu cha dodoma kinanusurika kuungua baada ya nguzo ya umeme kuanguka ktk school ya humanities na kuwaka moto, hali hiyo imesababisha baadhi ya wanafunzi kuumia na wengine kuzimia hali hiyo...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Shule moja huko kusini mwa Japan katika jimbo la Okinawa ilishindwa kuwafanyia wanafunzi wake wa darasa la sita graduation yao mwaka 1945 kwa sababu ya vita kuu vya pili vya dunia. Hatimaye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wadau wa jf wakubwa shikamoni na wadogo wenzangu mambo vip? najaribu kutafuta data za kutosha kuhusu post za advance kwa kidato iv 2012 lakini bado sijapata data sahihi sasa naombeni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habarin wana jamvi naombeni kwa yeyote anaefahamu shule nzuri ya nursary au msingi ya kulipia naomba na contact zao kama unazijua utanisaidia sana. asante
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Ni kweli waliosoma diploma ya elimu nao lazima wapitie jeshi kabla ya ajira?kama ni kweli hebu tupe source hapa.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wana jf,naomba kujuzwa chuo kizuri ambacho kinatoa course ya CCNA na gharama zake..Natanguliza shukrani kwa watakaonipa majibu
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…