Samahan wadau naomb kujua taarifa za kitaaluma na mazngra kwa ujumla kwa anaeijua secondar ya kisarika kwan nmechaguliwa huko CBG je yanafaa kwa hyo comb?
Everything has advantages and disadvantages.
But the following are the disadvantages of education.
https://sites.google.com/site/russmay/thedisadvantagesofbeingeducated
WanaJF walioko Arusha tujuzeni, kama kuna mtu mwenye taarifa sahihi kuhusu moto kuteketeza Bweni moja katika Shule ya Dalzon iliyoko eneo la Chekereni, Arumeru, Mkoani Arusha.
source: radio one...
Pipoooooooooz!!
Nna imani mu wazima,
tafadhali naomba msaada wa kupanga matokeo ya mtihan kuanzia mtu wa kwanza hadi wa mwisho,
mpaka sasa nimeshaandika randomly hayo majina 263 na alama zao...
Nafurahi kusikia kila siku chuo cha Mzumbe kinategewa sana katika idara mbali mbali za serikali na mashirika ya watu binafsi. Kuna tathimini ambazo sio rasmi zinaonesha 71% ya wafanyakazi hapa...
Jamani wana Jf kwa aliyekwisha fuatilia thead yangu ya hapo nyuma iliyokuwa imeandikwa kwa kichwa hiki "NAKARIBIA KUFUKUZWA CHUONI NISAIDIENI MWENZENU"
mtu wa Mungu wa humu humu Jf alinisaidia...
Samahani wanajamvi, mimi ni mwalimu, nimeomba kubadilisha kituo cha kazi (kuhama kwa kubadilishana). Sasa naomba msaada, nani ana details za TAMISEMI coz mpaka dakika hii hawajatoa vibali, na...
Dr Slaa.,Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ameonyesha dharau kubwa na kukosa kwake imani kwa Chuo Kikuu cha Dar es salaam maarufu kama UDSM juu ya kiwango cha Elimu...
wakuu mm roho inaniuma xna coz naona necta haikunitendea hak ki ukweli nilixma kwa juhud zangu zote na nilikuwa nashika no 1 tangu form 1 mpaka namaliza shule matokeo ya mock nilipata div 2,na...
Habarini wakuu,naomba kujuzwa kuhusu hali ya shule ya azania (high school) comb.pcm,resources availability,walimu...kuna mtu aliniambia pale hakuna mwalimu wa kemia,je ni kweli....msaada tafadhali...
"Wanasema kweli kikulacho kinguoni mwako" baada ya kunyonywa kwa mda mrefu na CWT waalimu waanzisha harakati za kujikomboa nchi nzima kwa wewe usienataarifa hebu pitia muhtasali wa barua...