Hii imekuwa chemsha bongo kwa first year ya mwenge kwa tunaochukua statistics kuambiwa tutafute field ya kufanyia practice na ndo kwanza hata hatuna kitu kichwani!!
Kwa mwenye uzoefu wa hii ishu...
Ndugu wanaJF
Kwayeyote anayefahamu maneno yasemayo [It is teachers more than any other single group of people in a society who detrrmines the atitudes of..........«Julius Nyerere»] anisaidie
Ndugu wana jf!!!
kwa walimu na wanafunzi, sasa unaweza kujiunga na academic site (Gigavia: Connecting people in a giga way!)...
faida ni nyingi sana,
1. mwalimu anaweza akatengeneza darasa na...
sitaki kuamini Tz imefirisika kiasi cha kushindwa kujua ni jinsi gani ya kuboresha elimu ili kuwa na wahitimu wenye ushindani (competitive) na badala yake inaamua kuweka mazingira yatakayo mfanya...
heshima mbele wadau.
kwa wale waliosoma shule hii ya mpwapwa sekondari mtakumbuka mengi sana mkisikia jina hili.hakika nilijifunza mengi sana.kama uliwahi kupita shule hii sema kitu tafadhali...
Big result(kwa maana ya matokeo makubwa) ama taifa linataka Elimu bora kwa maana ya kwamba ya mwanafunzi anaepata matokeo makubwa (big result ya kwenye cheti) anaupeo wa kiasi gani wa kufanya...
The Muslim University of Morogoro (MUM) has become the third higher learning institution to launch Chinese language programmes expected to take off in the 2013/14 academic year.
Muslim...
Habari,
Nimekuwa nikiona post, comment hapa Jf na wakati mwingine Sms nikitumiwa
na watu mbalimbali nimegundua kuwa watu hawajui kutofautisha maana ya neno
Mungu au MUNGU au Bwana au BWANA na...
Jamani muda wa lunch unakaribia sana kwa watu wa maofisini maana tunapewa saa moja kuanzia saa saba mpaka saa nane kwa ofisi zilizo nyingi, sasa kuna kitu huwa kinanitatiza mimi kama mfanyakazi...
Mfumo na mkakati wa kuongeza idadi ya wanafunzi ili kujaza madarasa katika shule za sekondari; mfumo ambao unashadidiwa na kile kinachoitwa "BRN" imeanza mapema kuonekana. Matokeo ya darasa la...
Ndugu wazazi wenye watoto makongo sec.school hali ya shule ni mbaya maana mpaka sasa shule imefilisika na walimu hawajalipwa mshahara hivyo wamegoma na kufanya watoto hasa A'LEVEL&FORM I na...
Kwa ghafla sana na pasipo maandalizi wizara ya afya imebadilisha kiasi cha ada ambapo kwa ngazi ya cheti tu ada kwa mwenye bima ya afya ni 880,000 kwa asiye na bima ni 930,000 watoto wa wakulima...
Katika mitihani inayoeendelea ya kidato cha nne walimu wa kutoka wilaya ya muleba wanaendelea kusimamia mtihani huo kwa manung'uniko ya hali ya juu kwani mpaka sasa hawajalipwa stahiki zao za...