Ni takribani miezi nane sasa tangu nianze kufuatilia uendeshaji wa chuo cha Ualimu Songea kama kinaweza kuendana na kauli mbiu ya sasa ya Serikali ya Big Result Now (Matokeo Makubwa Sasa)...
Tukifanya yafuatayo zinaweza kuepukwa
LEO nimeona nami nianze kuweka mawazo yangu kwenye maandishi. Japokuwa kwa sasa ni kiongozi wa serikali, naamini nafasi hiyo haininyimi fursa ya kutoa...
Jana wanajumuiya ya udsm walipata bahat ya kumsikiliza nguli wa fasihi na lugha afrika na dunian kwa ujumla prof ngugi wa thiong'o aliongea mengi kuhusiana na lugha za kiafrika kumezwa na lugha za...
Ndugu wana JF. Nimegundua wakuu wengi wa shule hupenda kuabudiwa kwa kujifanya miungu watu mashuleni. Nimeyaona haya kwenye shule kadhaa za sekondari. Endapo kuna walimu wanaopenda ukweli na uwazi...
Makamu Mkuu wa chuo wa chuo kikuu cha Dar es Salaam Prof Rwekaza Mkandala amekiri wazi kuwa katika jambo ambalo ameshindwa kulitatua ni malazi ya wanachuo wa wanaodahiriwa katika chuo hicho. Prof...
Poleni na kazi wapendwa.! sitaki nimlaum Mungu wala yeyot kwa hivi nilivyo.,nimezaliwa miaka zaid ya 20 iliyopita nikiwa ni mtoto niliyetokea katika familia ya kmaskn sana,nilifanya mtihan wa drs...
wadau naombe ushauri,matokeo yangu ya O'level hayakuwa mazuri kwan nilipata D mbili,nikajiunga na vyuo vya ufundi na sasa nimeshamaliza iyo kozi ya ufundi..sasa nataraji kutafuta kazi..je kwa...
mods iacheni hapa hapa. mpwa wangu karudi nyumbani na kulalamika kuwa wamefanya mtihani wa darasa la 4 wa kifaransa wakati hawajawahi kusoma hata mara moja. hivi wakifeli tutawalaumu hawa watoto...
Tuliambiwa kuwa Majina ya waliorekebisha fom zao Heslb yatatoka kuanzia tarehe 8.november lakini hadi leo hakuna jina hata moja lililotoka.Kuna vyuo vingine watu wamesain na tayari wameshaingiziwa...
Igweeeeee!
Kesho itakuwa ni siku ya tatu na ya mwisho ktk ratiba ya kufanya masomo mawili yaliyo baki ambayo ni tehama na kifaransa.
Ufuatao ni utabili wa jinsi itakavyo kuwa ktk...