Habari za kwenu,
Naombeni kujua ni vyuo gani vizuri marekani (sio lazima viwe on top) katika kufundisha mambo ya networking and information security kwa level ya masters. Pia viwe kati ya vyuo...
Kwani humu ndani hakuna m2 mwenye uhakika kuhusu lini ajira mpya za walimu zitatoka, kwani ishafikia hatua watu wanalidanganyia gazeti fulan kwamba ndio chanzo kilicholipoti ukiangalia gazeti...
Habari zenu wana jukwaa.!
natumaini kila mmoja kwa sasa anashauku ya kwenda chuo na kuripoti na kuanza masomo
kwa kutumia fursa hii ningependa tuyajadili matatizo mbalimbali yanayowakumba...
Habari zenu wakuu, ni matumaini yangu kuwa mu wazima wa afya tele. poleni kwa mlio na walakini kwa namna yoyote ile.
ama baada ya salamu, nina hoja ambayo ningependa tuizungumzie kwa pamoja kama...
ST JOSEPH UNIVERSITY IN TANZANIA
(Plot No. 113, Kibamba, Mbezi Luguruni, P.O.Box. 11007, Dar es Salaam)
NOTICE
REOPENING OF THE CAMPUS COLLEGES AT SONGEA
ST JOSEPH COLLEGE OF INFORMATION...
habari wataalamu wa sheria...nikiwa mtumishi wa taasisi ya umma na nimeomba kazi tume ya utumishi wa ajira kwa post ya juu kuliko niliyopo na nikafanikiwa kupata, nimemfuata mwajiri wangu wa...
Nataka nichukue mtungi wa gas, bt nimestack aina gani ya gas nichukue kati ya oryx na mihan gas. Mwenye experience za matumizi tafadhali nisaidie kiushauri. Shukrani sana
BG Scholarships - British Council in Tanzania
Ziko nafasi kumi, changamkia waweza kuwa wewe, deadline si kitambo toka sasa
Nb: sina ruhusa kupost jukwaa la elimu ndio mana nimepost huku
Jamani wana JF kwa anaye fahamu kuhusu hili anieleweshe:Hivi kuna madhala yapi kama umepata usaijili wa kusoma Post Graduate kwa chuo ambacho kilizuiliwa kutoa Masters na TCU kwa sababu ya...
MSc Forensic Computing V/S MSc Information Security and Management.
Najiandaa kufanya moja ya kozi hapo juu, kwasababu zinaendana na mahitaji yangu zote mbili.
Napenda kujua ipi ni bora zaidi...
ARE YOU WANT TO STUDY ABROAD ESPECIAL IN DUBAI WHERE BEST UNIVERSITY ARE SETTLED HERE IN DUBAI.
CONTACT US FOR MAY INTAKE
HERE IN DUBAI FROM BEST UNIVERSITY WHICH HAVE BRANCH IN DUBAI...