Ninatafuta shule au mtu binafsi wa/ya kufundisha kwa muda wakati nikisubir mda wa chuo ufike, ninafundisha physicS,chemistry na biology...nina uzoefu wa kufundisha masomo hayo kwa ngazi ya...
jamani hiiis hule enzi zetu iliwahi kutinga tano bora kipindi kile ilikuwa mchanganyiko lakini tangu iwe ya girls mambo si mambo ni kama haipo vile kunani jamani mi nasikia uchungu
Workers' Solidarity Songs
Solidarity Song;
Solidarity forever,
Solidarity forever,
Solidarity forever,for the union makes us strong.
In Swahili:
Wimbo wa mshikamano
Wafanyakazi...
Ni chuo kilicho na ukiritimba,wizi wa fedha katika serikali ya wanafunzi na pia ni chuo kinacho ongozwa kwa ubabe wa MAKAMO MKUU WA CHUO TAALUMA Mr ZILIONA. Chuo hiki kimekuwa kikitafuna fedha ya...
Habari wakuu..
Naomba mwenye kujua anisaidie,mm nasoma chuo kimoja hv kozi ya BBA,lakn nmekutana na changamoto znazonkwamisha katika masomo yng sasa ngependa kujua je inawezekana kuhama chuo...
Nakumbuka tulikuwa tunajita Milambo men's na kwa kujitenganisha na Tabora boys, ugomvi wetu na tabora boys, tuliukuta na tukauacha, nakumbuka tuligoma kula mpaka mkuu wa shule kipindi kile anaitwa...
Dar es Salaam. Serikali imeanzisha mfumo mpya wa udahili kwa wanafunzi wanaoingia kidato cha kwanza, kwa kuwalipia ada watakaojiunga na shule binafsi...
Samahani lakini,kipindi cha mitihani kimefika naomba kusaidiwa nitajuaje kama camera imewashwa wakati nafanya pepa?chuoni kwangu kuna camera madarasani,nauliza nijue ili nitumie sapoting...
Mapinduzi ya mwanzo Africa -congo kinshasa 15 sept 1960 Siku 13 tangu nchi ipate uhuru kutoka kwa waberigiji . Patrice lumumba (waziri mkuu) alipinduliwa na hasimu yake Rais joseph kasavubu...
kutokana na upungufu mkubwa wa walimu nchini serikali na taasisi za binafisi wamefanya na wanafanya juhudi kubwa kutatua tatizo la walimu,tayari kwa kiasi kikubwa tatizo la walimu wa arts ni kama...
Leo ktk pitapita zangu nimekutana na Tangazo hili idara ya kazi Singida.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya manispaa anawatangazia walimu wote wa shule za msingi na sekondari ndani ya manispaa...
Wadau,Heri ya mwaka mpya!
Katika harakati za kujaribu kurudi shule (moja ya malengo yangu ya mwaka huu), ninahaha kutafuta shule ya post-graduate yenye walau moja ya sifa zifuatazo kwa mpangilio...
BY KAMAU MBOTE, 3 FEBRUARY 2014
CIO East Africa (Nairobi)
Tanzania's university of Dar es |Salaam is the top ranked East African University at position 12 in the continent according to the 2014...