Habari wana jf?
Mawazo na ushauri wenu nimsaada kwangu,
nahitaji nisome A-level kwa mwaka mmoja kama kuna uweze kano,nifanyeje ili kufanikisha hili.
HKL;HGK......?
Ni kweli kuna tatizo la Ajira au kipato Nchini, kwetu Tanzania, Lakini kama unafahamu kiingereza cha kuandika,na una access ya Internet katika maisha yako ya kila siku,uwe umeajiriwa au...
Wizara imedhamiria
kufanya harmonization ya masuala ya
alama katika mitihani ya Kidato cha
Nne na Kidato cha Sita ili kupata
muundo mmoja na ulio wazi kwa
wadau wote wa elimu ya sekondari...
Mko wapi mlionena eti ajira za walimu 2013/14 ni Jan au Feb? Bado saa kiduchu kumaliza Februar! Mungu awasamee kwa uongo wenu! Mnadanganya umma wa Mungu! Haya njoo na kauli nyingine.
jaman nimesikia huwez kupata hizo schoolarship za china mpaka uwe na evidence kutoka loan board kwamba umeanza kulipa, mimi nimemaliza 2013 bado sijaanza kulipa, na ninataka hiyo scholarshp...
Mdogo wangu anaitaji kufanya mtihani wa form 6 mwaka kesho kwa HKL kama PC . Naomba mnijuze Vitabu vinavyofaa kumnunulia vinavyoendana na mtaala wa sasa kwa hayo masomo.
naamba tuongee hii hali ya ticha mkuu kumchapa mwanafunzi fimbo zaidi ya kumi eti hajalipa ada. mbaya zaidi anafanya hivyo wakati mitihani ya moku inaendelea.
Taarifa nilizopo hapa wizaran ni kwamba kutokana na ufinyu wa budget uliopo ndani ya wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi kuna taarifa ambazo zimeanza kuvuja chini chini kwamba kwa wahitimu walio...
Jana katika moja ya mijadala hapa mtaani Kinondoni Shamba, Jijini Dar, kulitokea mada iliyozua utata miongoni mwetu pale ambapo mtoa mada ndugu Jackson Joseph alizungumza kwamba kuna AKILI KUBWA...
Wana jf kuna mdogo wangu(baba mdogo) ni wakiume yupo hapa Dar amemalza form four 2013 amepata division 4 ya point 39
sasa baba yake amemuambia anampa two weeks awe ameshafkria aende akasome...
Ajira mpya za Walimu ni utata.
Kutokana na kutokuwa n uhakika wa budget hatimae jana wizara hizi zimeamua kufikia uamuzi ambapo pesa zilizo kuwa na mvutano kuhusu ajira mpya za walimu...
Kufanya vibaya kwa shule za sekondari za kata Tanzania unachangiwa na utaratibu mbovu na chuki binafsi kwa baadhi ya walimu wakuu.Wanawachukia sana walimu wa sayansi,hata kama mwalimu hana...
Kwa matokeo haya wanaweza kenda A-Level; History C, Geography C, Kiswahili B, English D, Biology D, Agriculture D, Civics D, Maths F, Chem E, ambayo ni div III ya 31 mbona me namashaka?
Jamani naomba kuuliza hivi serikali za mitaa zinatufikiriaje kweli mratibu elimu kata mwenye level ya cheti au form four wanapata wapi ujasiri wakuwakagua diploma na degree.
kwa wale wote wanaotaraji kufanya mtihani wa kidato cha nne na QT (PRIVATE CANDIDATE NA SCHOOL CANDIDATE), wameongezewa muda wa usajili hadi 31 march tofauti na ilivokua awali ambapo leo 28 feb...
Hiv ni kweli chuo cha mkwawa wanaanza course ya stashahada ya ualimu? Mwenye uhakika na hili tafadhari na kama ni kweli vp kuhusu ajira za lecturers na TA's zitatangazwa lini hapo mkwawa