Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

  • Closed
Habari ya mda huu ndugu walimu. Tovuti ya TAMISEMI inafunguka mda huu lakini haina jipya. Kwa wale ambao mtaendelea kukesha mtatutaarifu nini kinaendelea.
0 Reactions
58 Replies
7K Views
Wadau naomba kujua mshahara wa mwalimu wa a level physics shule za seminary ,wiki iliyopita nimepigiwa simu na kiongozi mmoja wa shule ya seminary kaskazini niende tuongee ikiwezekana nianze kazi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu wana JF,, Naomba kupata msaada wenu kuhusu vyuo vya serikali vinavyotoa diproma ya afya(Crinical Officer) hapa Tanzania.Kuhusu ufahulu wangu nilimaliza form six mwaka jana nina div (ii) ya...
0 Reactions
26 Replies
9K Views
Hi great thinkers, Kama kuna mtu mwenye PDF ya walimu wa stashahada na grade A, apost hapa tuwasaidie ndugu zetu hawa, Hv nice sunday
0 Reactions
6 Replies
2K Views
  • Closed
Habari ndugu wana jf. Toka enzi za baba wa taifa watu walikuwa wakiiamini serikali na kuona serikali ndio chanzo chao kikuu cha habari, lakini kutokana na sijui niite uzembe/ukosefu wa uadilifu...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
  • Closed
IFIKE mahala siasa kama taaluma iwe na mipaka yake. Haiwezekani kuingiza siasa mpaka kwenye masuala nyeti ambayo ndiyo dira ya TAIFA! Hivi viongozi wetu ktk serikali mnawaza nini kuhusu ajira mpya...
1 Reactions
36 Replies
7K Views
  • Closed
Walimu wenzangu tukae mkao wa kula mda si mrefu mambo yatakua poa, ila nashauri tupige kazi kozi tuna dhima kubwa sana kwa Allah{sw} muumba.hii ni kutokana kuwa ualimu ulianzia kwa mitume wetu...
0 Reactions
276 Replies
36K Views
Leo saa tatu usiku,toeni michango yenu
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Enyi ndugu zangu walimu kama ambavyo ipo info' hiyo kwamba kesho tarehe 15 ndo ajira zawalimu zitatangazwa so wasiwas wangu ikipita siku ya kesho pasipo kutangazwa itakuwaje ? kwani vichwa vingi...
0 Reactions
81 Replies
8K Views
mwy link ya kupata au anayeweza kuni2mia plz naomba my email ni rufinusj@hotmail.com
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Msibabaishwe na tetesi za watu wanaojisikia kupost chochote afikiriacho, kwani hata kama akiandika uongo na kupotosha jamii ajira zenu ziko palepale, watu kama hao hawakosi ktk jamii. Ni haki ya...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
,Nimesikia redioni kuwa kuna chuo cha mafunzo ya afya kiko magomeni, kwa anaye kifahamu anijulishe, maana ninaye kijana anataka kujiunga
0 Reactions
0 Replies
1K Views
heshima kwenu wakubwaa!kwa anaefahm chuo cha engineering ambacho kinaanza masomo(dplma)mwezi july au june mwka 2014/2015 anijuzee!..
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana ukumbi! Kwa muda mrefu nimekuwa nikiliona tatizo/changamoto hii ya upungufu wa "academic papers" katika "international journals" mbalimbali kwa upande wa wasomi wa Tanzania. Kwa kifupi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habarizenu bhandugu!naomba kujuzwa mwezi wa kuanza masomo(diploma)ktk chuo tajwa hapo juu.nmechek web yao lkn ckuaona!hii n kwa mwk 2014/2015..
0 Reactions
2 Replies
1K Views
samahan wandugu..nlikuwa naomba mwenye kujua shule nzur ya private kwenye combination ya EGM mkoa wa kilimanjaro anisaidie kuweka majina ya hzo shule apa na kama unajua na ada yake kwa mwaka...
0 Reactions
32 Replies
20K Views
Bhandugu naomba kujuzwa mwezi ambao vyuo tajwa hapo juu vtaanza masomo rasmi(2014/2015)na ada zao bila kujumlisha fedha ya chkula na malazi.coz nmechek ktk web zao lkn ckuona!!NAZUNGUMZIA DIPLOMA
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za leo wanajamiiforum, Nina shost yupo nchi za ughaibuni, anataka kusoma kati ya unesi au medical laboratories. Ila bidada anataka akisha soma arudi zake bongo kufanya kazi. Mimi kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wanajamvi mie naulizia mahali pa tuition center masomo ya physics, chemistry na hesabu kwa kidato cha tano ( kwa Mwanza) mwenye kujua vituo hivyo vilipo huko mwanza tusaidiane ili nimpeleke ndugu...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
kama ulikuwa na tatizo lolote sup nk na haukugraduate ukwelu ni kwamba ajira hizi mpya mwaka huu wamebana wale wenye sup sijui nini hawapo andaa kuopokea maumivu.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…