Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

anayejua kuhusu hii naomba anielezee kwamba inatolewa na vyou gani hapa tanzania, na je mtu ukiwa nayo ni sawa na mtu mwenye degree ya kawaida ama vp au ina advantage/disadvantage gani ukicompare...
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Juma kama moja limepita tangu Mh Rais kupewa schoralship kwa wanafunzi wa Tanzania kwenda kusoma fani zinazohusu mafuta katika chuo cha Aberdeen Scotland .swali langu je ni nani mwenye tetesi ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu habari! Naomba kufahamu mfI inayotoa service zote kama saving, loans, insurance agency, banks agency, investments, e.t.c inaitwaje in one name. Asante sanaa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1. OverspendingIf you have a ferocious appetite for spending beyond your means, you’re not alone. According to a survey, of the 52% of people who habitually overspend, many balance the shortfall...
0 Reactions
1 Replies
970 Views
Naomba msaada wenu wana jf kama title inavyoulza.
0 Reactions
23 Replies
4K Views
ahsanteni. Mungu awabariki.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nahtaj mwlm wa kubadilishana (idara ya msingi) kutoka RUNGWE yy aje njombe mji, mawasiliano 0752994777, au 0786211333
0 Reactions
0 Replies
984 Views
Kijana katika PCB ana phy-C,chem-C,bios-D,math-D, huyu A-level afya anasoma sasa why diploma clinical officer haimhusu msaada.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu naomba tujadili kwa upana juu ya matatizo kwenye sekta ya elimu kwa ujumla yanasababishwa na nini? na nini kifanyike ili tuweze kuyatatua hayo matatizo ,karibuni
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu nipo ndani sa ukumbi wa Bondeni ambapo kuna uchaguzi wa CHADEMA SAUT unaendelea sasa na mpaka sasa makamanda wanaendelea kunadi sera zao.wagombea wanaendelea kunadi sera zao ili wachaguliwe...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
sisi wananchi wa igoma ambapo shule hii ya igoma sekondary inapatikana tunaomba afisa elimu wa secondary ajaribu kufuatilia mambo yanayofanywa na mkuu wa shule hiyo husika. mkuu huyu haelewani na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Which is the best combination btn HGL and HKL,na hata kama mtu asipo chaguliwa A level,anaweza akakomaa na mishe gan tofaut na uwalim! Em nisaidien wadau.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
jamani wadau kama kuna mtu yoyote anatetesi kuhusiana na selection za matokeo atuambie
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Moe
Ministry of Education and Vocational Training mumetukarisha mno/ hadi tunaanza kusahau kusoma!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
habari wanajf. nisaidieni eti kama mtu ameingizwa kwenye payral halafu baadaye wakagundua hakukwalify kwa kazi aliyopangiwa je kumtoa inakuaje?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kwa anayejua plz
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwema wadau? Jamani mimi nlikuwa napitia web ya heslb kuangalia sifa za waombaji wa mkopo nikakutana na hayo maneno. Kwamba muombaji atafanyiwa "means testing" sikuelewa hembu nisaidieni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu Wapendwa naomba msaada wa kujua namna ya kuanza kuomba chuo na mkopo ni kuanzia mwezi gani?maana mimi nina diploma nahitaji niweze kujiunga na vyuo kwa mwaka wa masomo 2014/2015!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nilikuwa naomba mnipe topic za bam za advance kuanzia ya kwanza mpaka ya mwisho, ili nione mambo yakoje huko
0 Reactions
24 Replies
13K Views
Ili tatizo bado linanisumbua sana mwenye mbinu ya kuniwezesha kuijua hii lugha kwa haraka naomba anisaidie maana mazingira niliyopo yananilazimisha kutumia hii lugha muda mrefu sana.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…