Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

jamani bodi okoeni watoto wa kike
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani ni maana ya wanaposema nta level 4,5&6
0 Reactions
8 Replies
24K Views
jameni eti walio pata 1 had 3 wana kwenda ualimu kama watapenda c majanga
0 Reactions
2 Replies
891 Views
nimehitim kidato cha nne na nimepass na komb ninayotarajia ni pcb but upande wa mathematics nina *e* swali je* nitachaguliwa hyo komb
0 Reactions
0 Replies
644 Views
Wakuu Inasemekana kuwa div 1 had 3 ndio watakaojiunga na vyuo vya ualimu, je kama me nina Div 3 ya 31 na combi imebalance, nitachaguliwa kujiunga na kidato cha tano au ualimu? Na kama ni ualimu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
ufisadi ninaouzungumzia ni kwa kumpa zawadi mkuu wa shule ya sekondri ya bunda ya kuwa mfanyakazi bora wakati matokeo ya mtihani kidato cha nne kuna ziro 133 na hakuna hata division one. je...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajamii kwa anaye zifahamu topic za history 1 and 2,za form 5, NAOMBA UNI ORODHESHEE HAPA TAFADHARI. Na ningependa kufaham nn tofauti kati ya HISTORY 1 NA HISTORY 2!?
0 Reactions
8 Replies
19K Views
Tamisemi wametoa majina ya wafanyakazi wakiwemo waalimu waliohama vituo kwa vibali maalum leo hii mchana! Cha kushangaza ni kwamba hawatoi tamko lolote kuhusu watu waliokosa ajira!
0 Reactions
19 Replies
11K Views
Habari zenu wadau swali langu kama lilivyo hapo juu linalenga kufahamu kama kuna kozi ya muda mfupi juu ya web designing kwa miezi mitatu na kuwa na uwezo wa kudesign na kuhost site . Kama ipo ni...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Ninatumia nafasi hii kukukaribisha Dr.Ndalichako hapa JF huku nikizingatia ufinyu wa wakati wako ambapo nina uhakika kabisa kuwa utakuwa unabanwa na majukumu mbalimbali kuanzia ya kikazi hadi ya...
1 Reactions
24 Replies
6K Views
Ndugu wana JF napenda kufahamu mwisho wa kutuma maombi ya uwalimu Grade 'A' kwa vyuo vya serikali mwaka 2014/2015. Mwenye info atujuze please!
0 Reactions
6 Replies
15K Views
jamani msaada web au mtandao nitakaoweza pata nots za mathematics especial SET za A-Level na n.k
0 Reactions
9 Replies
2K Views
wana jf naomben kuuliza kuhuxu advance,nasikiaga kua advance kuna kurogana,pia hua kufundishwa ni mala moja moja ni kweli?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Anayetaka kuhamia kibondo kama upo singida au dodoma tuwasiliane
0 Reactions
0 Replies
780 Views
Mnamo tarehe 10/5/2014 katika kuhitimisha juma la elimu kitaifa, Makamu wa Rais alizindua Programu Mahsusi ya kuinua ubora wa Elimu Tanzania (EQUIP-T). Nimejaribu kufuatilia kwenye media lakini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna walimu wangi wameachwa bila kupewa ajira bask kama Kuna mtu Ana any neeeeez kutoka tamisemi naomba anijuze
1 Reactions
23 Replies
6K Views
mda mrefu sanaa nimekuwa nikisikia sifa za chuo hiki kongwe nchini bila kufahamu sifa hizi hutokana na nini, je, ni ubora wa elimu inayotolewa yaani wakufunzi? ni uzuri wa majengo yake? ni uwepo...
0 Reactions
56 Replies
10K Views
MWL NIPO KOROGWE (TANGA) sekondari BADO NATAFUTA MWL WA KUBADALISHANA NAE KITUO CHA KAZI kutoka mbeya jiji au rungwe tukuyu MWANZONI NILIMPATA WA KUBADILISHANA NAE ILA AKAPATA MATATIZO MCHAKATO...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Law vs Computer Science vs Business Adminstration vs Community Development. Course ipi kati ya hizo ni bora zaidi at the Diploma level. Ahsante.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…