Kwa wenye ufahamu kuhusu bei ya tikiti .Natarajia kuvuna tikiti mwezi huu wa tisa mwishon naomba kujuzwa being za masoko zikoje. Tafadhari kwa mwenye taarifa anijuze.
Ndugu zangu Watanzania tupo katika Ardhi ya madini. Bila shaka nitapata hapa ninacho kitafuta.
- Nimetokea kujuana na watu wenye pesa zao kutoka nje. Wanahitaji kuwekeza katika uchimbaji wa madini...
Click link ~ go to "full text"
K-Developedia > Resources > National development strategy of Tanzania in view to Korea's development experience
www.kdevelopedia.org
Uwekezaji ni tofauti na bishara (kununua na kuuza kwa faida kwa muda mfupi 1yrs max)
Kwa kawaida uwekezaji ni mradi wa muda wa kati hadi mrefu japo pia yawezekana hata chini ya...
Habari Jf.
Mimi ni mfanyabiashara mdogo, mtaji wa 7m, nataka kuipanua biasha yangu ila mtaji wangu mdogo ni changamoto kubwa.
Nafikilia kujiunga na saccos ili niwe mwanacha niweze kukopa pesa...
Habar wakuu.....
Nilinunua bidhaa kwa mtandao na nikasafisha kwa njia ya flat rate shipping ambayo ni free ila huchukua had muda mpaka siku 25 kukufikia........Kifurushi nimenunua...
wandugu, kwa anayejua maduka ya mashine fulani za overlock (hizi ni aina za chereheni za overock) kwa hapa dsm naomba tuelekezane. ninahitaji either of these three types.
1. JUKI overlock sewer...
Wenzangu na mie mlosoma miaka ya 80 mnakumbuka ubeti huu....
Karudi baba mmoja, toka safari ya mbali,
Kavimba yote mapaja, na kutetemeka mwili,
Watoto wake wakaja, ili kumtaka hali,
Wakataka na...
Ukweli ni kwamba watu wengi wamekuwa na malengo na matarajio makubwa sana juu ya maisha yao, kiasi kwamba licha ya kupata mshahara/malipo/ujira mdogo kulingana na malengo yao wanafanya bidii mno...
Waheshimiwa wana JF.
Wengi wanasema wanashidwa kuanzisha biashara kwasababu hawana mitaji lakini mimi ni kinyume chake nina mtaji wa tsh 3,00,000/=, mimi ni mwalimu naomba msaada wa mawazo ya...
"The Premier Event For Business Minded Individuals, Start-Ups, Entrepreneurs and Business Owners!
Do You Want To Start Your Own Business?
Do you have a Burning Business Idea?
Are you a Start Up...
Aidha naibu waziri alisitisha leseni za makampuni ya STACO na Mohamed Enterpries mnamo August 07 mwaka jana, ambapo baada ya siku kadhaa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti Mbolea Tanzania Suzana...
Habari wakuu,Kuna mashine nataka kuagiza through alibaba lakini nashangaa bei zipo chini sanaaa kulinganisha na market price! Naogopa nisije tapeliwa wenye uzoefu na alibaba msaada please.
WHAT YOU NEED TO KNOW ABOUT MASTER TRADERS – PART 17
“You actually know less than you think you do. I found this fascinating and it had me drawing bikes on a blank piece of paper. The central...
Serikali ya CCM iliingia kwa mbwembwe nyingi na mikogo kiasi kwamba ilikua gumzo Duniani,lakini inakoelekea ni kuangukia pua.Nasikia bwana mkubwa kwanza hashauriki analoamua yeye akiamka ndio la...
Zipo taarifa zinazoelezea kwamba kodi ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa asilimi 0.3 (0.3%) ilikuwa inalipwa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala na kampuni ya Pan Africa Energy. Ni baada ya juhudi...
Ukipenda kujionea huruma na kuyapa maisha yako sababu ya kutokufanya yakupasayo kufanya kwasababu unasema ni magumu kufanyika, ukaamua kuchagua yaliyo mepesi kwako naamini siku zijazo maisha...
Wadau habar za asubuhi, Mimi ni kijana Nina miaka 23, nimenunua canter ya ton 3.5 Je unaweza kufanya shughuli gani ya kudumu tofauti na deiwaka, nipo Kigamboni, Dar-es-salaam! Naombeni ushauri