Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Nina mtaji wa million moja na laki saba ni biashara gani naweza fanya kwa mtaji huo. Location ni Dar - mbezi.
0 Reactions
0 Replies
624 Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bearish This pair started a bearish movement on Monday, which was briefly...
0 Reactions
0 Replies
449 Views
Habari yenu wadau wa jamii forum..i hope kila mmoja anaendelea vizuri katika harakati zake za kila siku za kusaka mafanikio.Kuna jambo naomba kuuliza kwa yeyote ambaye atakuwa na mchango wa mawazo...
0 Reactions
2 Replies
758 Views
Habari Wadau,Members na Non-Members of JF… Ni juzi kati tu nilitoka kuweka uzi wa kuomba ushauri au msaada wa kile nilichokieleza. Baadhi walinishauri pale wengine wakaponda ombi langu...
8 Reactions
34 Replies
5K Views
The World's Billionaires
0 Reactions
1 Replies
987 Views
Amani iwe nanyi!. Nimepata nafasi ya kufanya uchambuzi wa wa taarifa za fedha (Statement of comprehensive income and statement of cash flows) za CRDB za robo ya tatu 2016 na kugundua sababu...
16 Reactions
36 Replies
7K Views
Sielewi kanuni inayotumika katika kukokotoa mafao yetu wanachama wa mifuko ya hifadhi ya jamii, kama kuna watu humu hebu wanijuze, wako wanaosema wanatumia mshahara wako wa mwisho kukokotoa, wako...
1 Reactions
1 Replies
998 Views
Kutokana na ukuaji wa uchumi Tanzania, kumekuwa na ongezeko la ushindani kwa wafanya biashara wa maduka ya rejareja, hasa Dar es salaam, Katika kukabiliana na ushindani huo, Mlimani city wameamua...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ndugu wadau natarajia kuanza ujenzi wa Nyumba. Ombi kwenu je tofali za Inchi 5 zinafaa Kwa msingi na ukuta? Naomba ushauri wenu ikiwa pamoja na faida na madhara ya kutumia size hiyo pia...
2 Reactions
16 Replies
7K Views
Salama wakuu. Miezi kama mitano nilikuja hapa na thread hii hapa chini. Nimeamua nithubutu ingawa nina mtaji pungufu ya laki saba. Nawe waweza jaribu mahali unapoishi Ingawa nimepata faida ya...
7 Reactions
39 Replies
9K Views
WHAT YOU NEED TO KNOW ABOUT MASTER TRADERS – PART 21 “Trading shares many similarities with another past-time I enjoy: strategy games. I love playing chess, and I think trading and chess require...
0 Reactions
0 Replies
815 Views
Tunazo system za kisasa zenye kusimamia biashara yako vizuri. Zinadhibiti udokozi unaofanywa na wauzaji Gharama ni nafuu mnoo.
0 Reactions
0 Replies
819 Views
Nimeona kwenye taarifa ya habari kuwa ni kinyume cha sheria kuwa na biashara isiyosajiliwa. Naomba kujuzwa na wanaojua huu utaratibu ulivyo. Ni biashara ipi inayotakiwa kusajiliwa na nini faida...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Dear All, Please i looking partinership for NGOs project. The NGOs will provide food,shelter and clothes and their education every where. for information please call me and send email ...
0 Reactions
0 Replies
723 Views
Nataka kujua bei ya embe, mimi nipo Kahama, Shinyanga. Tafadhali mnaojua bei kwa azam na kwingineko naomba mnijulishe. Nina gunia zaidi ya 150 nataka niangue hivyo nataka kujua bei kwa kilo au...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kwa wanunuzi wa mazao click link Soko la mazaoUZA NUNUA kujiunga katika group la what's app litakalo kuwezesha kuwafikia wakulima kirahisi na kupata mazao mbalimbali kama papai, kitunguu maji...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Ule msururu wa watu kuingia Twinga (Bank) leo ( Nimeona kupitia ITV) wote watakuwa wameenda kutoa chao... sasa sijui itakuwaje.
0 Reactions
0 Replies
706 Views
Habari, Taarifa za fedha hasa za robo ya mwaka na za mwaka kwenye makampuni yaliyosajiriwa DSE zimekuwa zikichapishwa kwenye lugha ya kiingereza na kushindwa kufikia malengo ya Taarifa za fedha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom