Ujasiriamali unafundishwa karibia kila shule/chuo kwa lengo la kuwafanya wahitimu waweze kujitengenezea ajira/kujiajiri kwa namna mbalimbali. Hivyo karibu kila mhitimu wa chuo anaelewa au amesoma...
Wakuu napenda kuingia kwenye biashara hii ya uchimaji wa Tanzanite, yani ninunue kitalu changu kisha nianze kupiga kazi.
But nataka kujiridhisha japo kwa uchache.
Jee hii zawadi(Tanzanite)...
Napenda kufahamu, kama mzigo umetumwa kupitia ebay on line shipping naupataje na makato yake yako vipi hapa kwetu Tanzania?
Ni mzigo mdogo yaani laptop.
wapendwa nimatumaini yangu, niwazima wa afya.
Naomba msaada kwa wanyeji wamikoa ya Iringa na mbeya.
kuhusu viwanda vilivyo hai hadi sasa.
itanisaidia katika utafiti wangu ninaoufanya kwa sasa...
Wana bodi,
Kumekuwa na taarifa mbalimbali kutoka vyanzo tofauti, nyingi zikipendekeza kuwa hali ya mabenki ni mbaya, ya kutia mashaka, na kuonesha dalili ya mabenki kufilisika. Nimeamua kuandika...
Mimi ni mjasiriamali mdogo ambae nataka kufungua kampuni kutokana na wateja wangu wengi wanataka kuhudumiwa na kampuni na sio mtu binafsi. Nimefuatilia BRELA nimeilewe tozo lao, sasa nahitaji...
By Naomi Kamau.
Africa’s richest man with a fortune valued at $20.8 billion (Sh1.78 trillion) by Forbes Magazine ,Aliko Dangote, a Nigerian tycoon is set to penetrate the Kenyan lucrative Cement...
African capital ni taasisi inayotoa mikopo kwa wafanyakazi wa serikali dar es salaam kwanzia laki mbili mpaka million kumi na tunanunua madeni.
Riba ni 18% kwa mwaka na unalipa ndanibya miezi...
REWARD VERSUS MEANING
Trading success does not follow a linear trajectory, success ebbs and flows with good times and bad times. If you trade for long enough you there eventually will come a time...
Habari zenu wakuu?
Moja ya vitu vinavyonishangaza ni Wawekezaji kwenye Sekta ya Hospitality hasa hotelia, mtu anawekeza kwny ujenzi wa Hoteli kubwa au kupangisha ghorofa zima la PSPF lakini hana...
Habari Wanajukwaa,
Nimeiona hii fursa nikaona ni vyema kushare nanyi, yeyote mwenye uhitaji wa kufungua biashara eneo hili nafasi hii hapa.
Nyumba ilitengenezwa kwa ajiri ya shughuli za...
Za jioni ndugu zangu,
Mwenzenu nataka kujiajiri upande wa sekta ya Massage & SPA. Kuna anayeweza kunisaidia estimate ni mtaji kiasi gani unahitajika?
Thanks
Nataka kuanzisha kisupermarket kidogo ambacho kitakuwa kinauza vyakula asili tu unprocessed food yaani flesh vegetables na n.k naomben ushauri juuu ya hili
MJI Mkongwe wa Zanzibar unadaiwa kuwa katika hatari ya kuondolewa kwenye ramani ya Hifadhi ya Urithi wa Kimataifa.Kwa kukabiliana na hali hiyo, Mamlaka ya hifadhi na Uendeshaji wa Mji Mkongwe...