Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari wakuu, Natumai wote ni wazima. Nimepanga kuanzisha biashara ya kuuza nguo (hasa T-shirts za kiume na kike - Grade 1 A). Lengo langu ni kuanzisha duka lenye muonekano wa kisasa na bidhaa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarin wanaJF .Mimi ni mtumishi wa umma katika mkoa wa mwanza vijijini nje na ajira nimekuwa nikifanya biashara ya mpunga Kwa kukusanya nakuweka stoo ukipanda bei nakoboa nauza, ambayo ukikusanya...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Watumiaji wa Mtandao wa YAS (tigo) mnaohitaji UNLIMITED INTERNET au vifurushi vya POSTPAID niwaunganishe BURE kabisa nyie kazi yenu ni kulipia BILL mwisho wa mwezi, Sikudai hata mia zaidi we...
0 Reactions
3 Replies
626 Views
Wakuu kwema? Nilikua naomba mwenye kujua njia ya kuwatumia wateja wanao nizunguka sms hata bila ya kuwa na namba zao wote. Yani wateja walio karibu na biashara yangu tu ndio wapate meseji ya...
1 Reactions
14 Replies
763 Views
Ni kweli "Bidhaa hii ni bora......Ina ubora wa hali ya juu..... ina sifa hizi hapa...." Lakini inamsaidiaje mteja wako? Imekuwa trend ya Wafanyabiashara wengi mtandaoni siku hizi wakitengeneza...
2 Reactions
2 Replies
305 Views
Njia rahisi za Kuomba Leseni ya Biashara Tanzania Je, unataka kuendesha biashara halali Tanzania? Kupata leseni ya biashara ni hatua ya lazima na sasa mchakato ni rahisi kuliko unavyofikiri. Fuata...
1 Reactions
4 Replies
923 Views
Kabla ya kuomba leseni ya biashara, ni muhimu kujua upo kwenye kundi gani. Kila aina ya biashara ina leseni yake kulingana na ukubwa wa mtaji na huduma inayotolewa. Hii ndiyo njia ya kuhakikisha...
2 Reactions
3 Replies
493 Views
Kwa wale wanaotaka kununua zao la KAHAWA ya Maganda, muda ni sasa. Kipimo ni Dumla Kwa Sh. 4,000/= Dumla inatoa kilo moja mpaka kilo mmss..wm,oja na robo ikiwa Kavu. Bei ya kilo Kwa kahawa Kavu...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari wana JamiiForums, kwa bahati mbaya au nzuri, mambo mengi ambayo naandika au natamani kushare humu yashaongelewa tayari , na hata hii kitu ambayo naandika saa hivi. Freelancing. Though...
33 Reactions
62 Replies
11K Views
**"Karibu kwenye fursa ya kipekee ya uwekezaji! Uwekezaji katika cocoa, korosho, iliki, na mbaazi ni njia bora ya kujenga mali yako. Pata faida ya hadi 15% kwa mwezi kwa kuwekeza katika sekta hii...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Mambo ya Kuzingatia Ili Kupata Leseni ya Biashara ya saloon Ikiwa unatoa huduma za saloon ya kike au ya kiume, kupata leseni ya biashara ni wajibu kisheria. Leseni hii ndiyo kibali rasmi...
2 Reactions
4 Replies
961 Views
Juice Dispenser........mitungi mitatu 850,000 Kabati mbili zote...............................................180,000 meza mbili na viti vyake zinasocket za kuchajia 150,000 meza moja ndefu...
12 Reactions
155 Replies
6K Views
#houseforsale Nyumba ya gorofa tatu ground floor 1) 1 bedroom en-suite 2) kitchen with separate dish washing room 3) kitchen pantry 4) laundry room 5) computer room 6) entertainment room 7)...
2 Reactions
7 Replies
637 Views
Maswali na majibu kuhusu Leseni ya biashara 1. Leseni ya biashara ni nini? Leseni ya biashara ni kibali cha kufanya biashara kinachotolewa na mamlaka husika kwa mujibu wa Sheria ya Leseni ya...
1 Reactions
0 Replies
970 Views
Rangi za Gel Rangi za kawaida Mashine ya kucha miguu miwili Benchi la kupakia rangi Benchi la kukaa watu wa 4 mpk 5. Mkebe wa vifaa vya kucha, misasa, kucha n.k Feni ya juu (pangaboi)...
0 Reactions
4 Replies
428 Views
Habarini Wakuu. Naomba kujuzwa uchanganuzi mzima wa kuanzisha kiwanda kidogo cha mifuko hii ya 'twende sokoni ' au kwa jina jingine maarufu mifuko ya 'connection' Faida yake ,mashine...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
1. Pata TIN Number kutoka TRA Hatua ya kwanza ni kuhakikisha unayo Namba ya Utambulisho wa Mlipa Kodi (TIN) kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Hii ndiyo nyaraka ya msingi inayothibitisha...
0 Reactions
0 Replies
435 Views
Kuanza duka la dawa muhimu (local pharmacy) kunahitaji kufuata taratibu maalum za kisheria ili kulinda afya ya wananchi na kuhakikisha bidhaa unazouza zina ubora unaokubalika. Leseni ya biashara...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za asubuhi ndugu wanajamii naomba kuuliza kwa wataalamu wa bei elekezi pale mitaa ya karume viatu vizuri kwa ajili ya mpira wa miguu bei yake ya kuuza ni shingapi Msaada wa kufahamishwa...
1 Reactions
7 Replies
545 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…