> Mamlaka hiyo imesema inatambua uwepo wa Watanzania wanaofanya biashara kupitia Mitandao ya Kijamii hivyo wote watakiwa kujitokeza ili wapewe namba ya mlipa kodi(TIN)
Hapa na pale kila uchwao naona wenye uthubutu wakiimarika, inatia moyo sana.... Pongezi kwa wale waliochagua mbio za mwendo mrefu na medani zisizotundikwa kifuani.
Wadau leo naomba mlitupie macho...
aisee wakubwa zangu natafta mdhamini au mtu mwenye kazi yoyote maana sina mkopo afu ada ni kubwa kiasi ata nikiacha chuo io ada staipata nipo Bachelor in shipping and logistic management pale Dar...
Habari wakuu!
Katika harakati za kuongeza kipatao kuna wazo likanijia.
Mara nyingi tumezoea kwenye sherehe kama harusi, Send-Off na sherehe kama hizo za nyakati za usiku kunakuwa na vinywaji...
Wakuu nahitaji watu wawili tushirikiane kupiga kazi
Kazi nimepiga hesabu ni kuwa tukianza na mzigo wa milioni sita(6,000,000) tutaingiza almost milioni kumi kila wiki mbili (haya ni makadirio ya...
TANZANIA SHARED BUSINESS (TSB)
BUSINESS PARTNERSHIP OPPORTUNITIES
Tanzania Shared Business (TSB) inatafuta washirika wa biashara katika kampuni ya kuzalisha unga wa sembe Songea na kusambaza...
Ndugu wana Jf leo naomba nieleze kuhusu wimbi la watu wengi hasa mijini wanaoelekeza nguvu nyingi kuwafundisha watu hasa vijana Biashara hasa ujasiriamali !
Mimi katika pita pita zangu nimekutana...
Ukatili unaondelea kufanywa na fastjet cio wa kufumbia macho yapata wiki nzima ss abiria hawasafir kwa wakati ndege zinaairshwa bila kupewa taarifa
Leo asubh nilitakiwa kusafir kutoka mwanza kwena...
Habarini wadau,
Mimi kama mjasiriamali wa muda mrefu nimekuwa nikisikia wafanyabiashara baadhi yao wakisema "msimu huu biashara mbaya sana"
sasa najua kila mfanyabiashara ana msimu anaoamini...
Usiudharau mwanzo wa jambo lako lolote lile...unapofanya jambo unaloliamini usiangalie watu watalionaje,wewe pekee yako ndio una ramani ya kule unapopaona kuhusu jambo lako...im sure usikatishwe...
Wandugu kama kichwa cha habari kinavyosomeka,nina hitaji mkopo wa milioni 4, 500,000 kutoka taasisi yoyote au mtu binafsi dhamana yangu ni kadi ya gari toyota noah,muda wa mkopo miezi 6 tu riba...
KARIBU NA MAKALA NYINGINE ZA KUELIMISHA TEMBELEA BLOG YANGU
MKUU ONĒ BLOG
Utajiri unaanzia kwenye imani ambayo mtu unayo kuhusu wewe mwenyewe, kuhusu maisha na kuhusu fedha.
Kama mtu utakuwa na...
Nataka kufanya biashara ya mazao naomba msaada wa mawazo na kwa yeyeto anaeweza kunisaidia sehemu yenye urahis wa upatikanaji wa mazao yenyewe!Nipo Mwanza