Kama unatafuta business idea, angalia kwanza ni biashara gani wageni (foreign investors) wanaanzisha nchini, Kwanini nasema hivi?
Kwa sababu ÷
• Mara nyingi hawa wageni kutoka nje hutumia 6–12...
1. KAZI NA MIKATABA (Tenda) Ukisajili biashara yako kama kampuni, nafasi ya kupata kazi kubwa za mkataba (contract au tenda) huongezeka mara nyingi zaidi. Makampuni na taasisi nyingi hupendelea...
Africa's ambitious infrastructure: Tanzania secures $272m for new airport
''Several African countries, and the African Union itself have prioritised infrastructure development as a means of...
Habari zenu, Assalam alaykum, Shalom.
Baada ya kumshuru Mwenyezimungu, shukrani zangu za dhati ziende kwa admini wa group kisha kwa wanakundi kwa support muliyonipatia kijana mimi wa miaka 25...
Urgent wakuu!, plot inauzwa, SQM 400, imejengwa msingi na kisima kipo. IPO 2km from main road, Kiluvya Madukani maeneo ya kwa mhindi-tondoroni. Ni nzuri sana! Njoo inbox kwa details zaidi. Mil. 8...
Kati ya UTT AMIS (Unit Trust of Tanzania) na CRDB Bank (kupitia hisa au mifuko ya uwekezaji), chaguo lako litategemea malengo yako ya uwekezaji, kiwango cha hatari unachoweza kuvumilia, na faida...
Dunia Inazama Kwenye Bahari ya Madeni
Ripoti za hivi karibuni zinaonyesha kuwa deni la dunia sasa limefikia takribani dola za Kimarekani trilioni 338 — kiwango kikubwa zaidi kuwahi kurekodiwa...
Mwa 2:18
BWANA Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.
Mk 10:8
na hao wawili watakuwa mwili mmoja; hata wamekuwa si wawili tena, bali mwili mmoja...
Mango tree residence ni mradi mpya wa nyumba za makazi na biashara,
Ni mradi wa majengo ma 5 yenye gorofa 17 kila jengo, mradi tayari umeanza kujengwa toka mwezi wa 8 mwaka jana, ambapo...
Wakuu kama mjuavyo nikienda mahali huwa napenda kuwajulisheni namna kulivyo. Bila shaka mnajua wazi mimi ni mdau wa kilimo na ufugaji (mdau haswa sio mbabaishaji)
Huko kwingine tupo tu kwa sababu...
MIEZI 3 KWENYE BIASHARA YA SPARE ZA PIKIPIKI FAIDA NA CHANGAMOTO ZAKE
Salamu,
Baada kuiwazia sana biashara hii nikaona si vibaya nikaweka vimillioni kadhaa ili nione kama kweli iko kama isemwavyo...
SEHEMU AMBAZO MSTAAFU HASHAURIWI KUWEKEZA
Fikisha ujumbe kwa wahusika
🎯Volatile investments.
aina za wekezaji ambazo bei yake sokoni inaweza kupanda au kushuka its average price anytime. Kama...
Kama benk zetu mbili zinazofanya vizuri sokoni zimepata faida maradufu kwa mara ya kwanza na haijawahi tokea..
Je hawaoni sasa ili kuonesha ukubwa na kurudisha gawio kwa wananchi kutoka mikopo...
Habari wanaJF,
Natumaini mmeamka salama. Dunia ishageuka kuwa uwanja wa vita: leo TZ, kesho Iran nk. Na mafuta yanaweza kupanda kwa sababu... tutaliongelea siku nyingine.
Leo tujadili ukweli...
Hii ni kwa wajasiriamali vichwa moto, na wenye kutaka kukuza biashara zao mwaka huu.
Lengo: kufikia watu wengi zaidi na kuuza bidhaa/huduma
(hakuna ada ya ushiriki -(labda mbeleni), hivyo wewe...
1. Msumeno wa kukatia nyama wa umeme brand ya capital 800w (maelezo zaidi kwenye picha) uko na extra blade - 1.5m
2. Chest Freezer kubwa aina ya Snowsea ina glass za kusukuma kwa ndani na ina...
Nina aina ya Biashara yangu ndo napambana kuanzisha wakati wowote ila nina wasiwasi sana na hii Biashara na wasiwasi sio kwenye kushindwa au kukosa soko hapana.
Wasiwasi wangu ni kwamba huenda...