Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Msimu huu umekua na maajabu sana kwenye bei ya Mpunga. Kwa masoko ya Ubaruku,Igulusi na Chimala debe moja la Chenga sh 12,000/= mpka 15,000/= huku bei ya Mpunga kwa kipimo cha debe kama hicho...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Nahitaji watu wanaojituma na wenye uwezo wa kufanya biashara kama kuuza matunda, mbogamboga, kusafisha viatu, kuuza kahawa n.k. Unapewa mtaji usiozidi laki 5 na utatakiwa kutoa gawio kila siku...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
[emoji433]Author- Coach Lazaro Samwel Kuna watu mpaka sasahivi hawajui umuhimu wa facebook,instagram,whatsapp n.k kwasababu bado wanajua hii mitandao ya kijamii ni upotezaji wa muda. Kuna mtu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wana harakati! Nimevutiwa na biashara ya dagaa wakavu kutoka Zanzibar, sasa ndo naandaa plan ya biashara hiyo. Nataka ifanyia hapa Dar, maeneo ya masoko ya Kariakoo, Ilala, Temeke...
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Amani ya Bwana na Iwe nanyi.[emoji1666] Baada ya Kukaa kodogo na kutafakari Namna naweza kujikwamua na Kupambana na Hali Yangu. Basi leo Mtanzania mwenzenu nimekuja naomba msaaada.Ila Jambo moja...
5 Reactions
14 Replies
3K Views
Najaribu kulipa kwa njia hii inagoma na natumia mpesa MasterCard nakosea wapi?Kama ni pesa card yangu nimeweka pesa za kutosha. >The transaction has failed due to lack of response from your...
1 Reactions
49 Replies
5K Views
Je, naweza kuendesha maisha yangu na familia kwa kutegemea mikeka tu? Maana sina kazi na nina familia. Msaada Tafadhali
3 Reactions
24 Replies
5K Views
Ukitaka kupata hela kama wanayopata washindani wako ambao inawezekana mpo soko moja na mnauza bidhaa ambazo zinataka kuendana au zinaendana kwa namna moja ama nyingine basi wewe jifunze kuuza...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Hebu naomba kwa siku ya leo ewe mfanyabiashara ukae na utulie ujiulize maswali haya maana yatakusaidia kuachana na habari ya kuonesha biashara yako ni ya kawaida kama washindani wako au kuonekana...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Soko lenye ushindani haimaanishi kwamba ni soko lisilokuwa na fursa,soko lenye ushindani tafsiri yake ndogo lakini yenye hela kubwa ni kwamba “Tayari ni soko lenye fursa ya kuweza kufanya vizuri...
1 Reactions
1 Replies
851 Views
Uzi huu ni kwa ajili ya wale wenye biashara zenye Wateja 100 au zaidi. Ni kwa ajili ya kujifunza tu wala si vinginevyo. Ulitumia mbinu gani kupata wateja 100 wa kwanza? Changamoto gani ulikutana...
2 Reactions
5 Replies
954 Views
Habari, Sorry nina ombi kwa anaejua utaratibu na jinsi na njia salama ya kutuma mzigo wowote kutoka hapa Dar kwenda Australia... Na gharama zipoje? Ahsante
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Dah nazidi kujifunza wakuu, nazid kujifunza. Ujue sisi ambao tulikuwa tumesoma ma kozi magum magumu huku kwenye ulimwengu wa biashara huwa wengi hatuko vizuri lakini ukijipa muda ukakubali...
47 Reactions
335 Replies
35K Views
Tafadhali wana jamvi, nauliza kuhusu biashara ya dry cleaning, yani kwa mtu mwenye mtaji basic tu wa kuanzia, ina weza kucost shilingi ngapi? Na pia inalipa? Tfadhali, naombeni mawazo yenu maana...
2 Reactions
140 Replies
94K Views
Wakuu mtaji wa laki saba je naweza anza biashara ya vipodozi kwa yeyote aliefanya hii biashara.
4 Reactions
40 Replies
23K Views
Habari zenu ndugu wana JF, Ndugu zangu nimepata na matatizo ambayo yanahitaji kuyatatua kwa uharaka,ninahitaji Mkopo wa Milioni 1. Mkopo nitarejesha ndani ya miezi 2 kwa awamu 2,nitafurahi kama...
3 Reactions
44 Replies
4K Views
[emoji433]Author-Coach Lazaro Samwel Imeshawahi kukukuta hii kwenye shughuli zako? Kwenye soko lako wewe una ofisi nzuri sana,bidhaa nzuri kupita maelezo lakini kuna mwenzako ofisi ya kawaida...
1 Reactions
5 Replies
864 Views
Habarini Ndugu zangu naomba kwa anayefahamu mifuko ya nylon (picha iko chini) inauzwa maeneo yapi kwa hapa DSM kwa bei ya boksi/jumla anifamishe tafadhari. Mifuko hii hutumika kuwekea vitu...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…