Nimejikusanyia ka pesa ka boom kwa miaka miwili sasa, nimepata 1, 400, 000. Nafikiri kununua boda halafu nimwachie mtu aendeshe ili jioni aniletee hesabu!
Hivi bodaboda itanilipa kweli? Na je...
Wana JF
Huenda kila anaye soma uzi huu anaweza akajifunza kitu au anayo au hana akaunti benki ila ataangalia kama ameshakutana na makato haya akiangalia bank statement yake kwa makini sana...
Karibu nikukutanishe na mkulima kutoka Jijini Mbeya Rafael Saimon Ndelwa, Mmiliki wa Kampuni ya Rapha Group iliyo Uyole Mkoani hapo.
Rapha ni miongoni mwa Mabilionea wa Mkoa wa Mbeya na utajiri...
Ubunifu ni tabia muhimu sana katika utatuzi wa changamoto zinazoikabili jamii, lakini pia katika kuzalisha fursa mbalimbali za biashara.
Kama nilivyoeleza huko nyuma, fursa ya biashara ni tunda...
Asilia Natural Cosmetics tuna uzoefu wa zaidi ya miaka 5 katika kuendesha mafunzo kwa vitendo ya bidhaa za nyumbani. Na sasa tumekuja na formula rahisi ya kuwezesha uzalishaji wa sabuni ya kipande...
Jamani nimeomba mkopo kwa hawa watu wa Faidika microfinance ltd, lakini nashangaa toka nijaze mkataba ni kama Wiki ya tatu lakini bado hawajanipa pesa yangu kwa wazoefu mnisaidie mkopo wa hawa...
SAMIA SULUHU apania kuibadilisha Tanzania kuwa Mfadhili kupitia gharama za kijamii (Tozo) - (SSH turning Tanzania into a Donor Nation through Social costs).
Na Galila Wabanhu.
Kwanza watanzania...
Habari wana jukwaa.
Naomba kufahamishwa utaratibu wa kufwata kununua/kujimilikisha mali ya serikali.kuna magari mabovu yapo kwenye ofisi za harimashauri nataka niyanunue kama chuma chakavu...
Wakuu habari za kazi
Nilikuwa naomba msaada wa kufahamu vigezo vipi na taratibu zipi zinahitajika ili kuanzisha kampuni ya plates numbers manufacturing kwa hapa Tanzania.
Habari ya uzima wanajamvi?
Natumaini wote tumejaliwa zawadi adhimu ya uhai na Mola yeye atuwezeshaye kufanya yote tuyafanyayo kila siku.
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada au jambo...
Jamani, mliofanakiwa kujiajir haswa kwenye maswala ya biashara mliwezaje? Mpaka mkafika hatua ya biashara kusimama, na kujiendesha yenyewe, na kufanya maendelea binasfi kupitia hiyo biashara...
HABARI ZA WAKATI HUU WAKUU
Naimani muwazima na bukheri wa afya. Nataka kuuliza ni wapi nitapata vinywaji vya jumla(pombe hususani). Haswa vinywaji kama local beers na hivi vikali.
Kuachana na...
KWANINI SAFARI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN NEW YORK NI YA MUHIMU KIUCHUMI.
BILA shaka aliposema “Ili ufike haraka nenda peke yako, ili ufike mbali nenda na wenzako,” alimaanisha. Rais Samia...