Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Hatua ya 15; Kitabu - The School of Money by Olumide Emmanuel Ukurasa wa 14; ( ACTIVATING MULTIPLE STREAMS OF INCOME ) 219~ 228 Amsha Mifereji mingi ya Vipato Maziwa na Bahari haikaushi maji...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Nishaurini ni biashara gani naweza kuifanya ili iweze kuniongezea kipato mtaji Millioni 10, usimamizi nitaajiri mtu wa kuisimamia, mimi niko na majukumu ya ajira, eneo la biashara Arusha mjini...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Nchi zinazo zalisha gesi asilia, zaidi duniani, 2022; 1. Russia (47,805 billion cubic meters) 2. Iran (33,721 bcm) 3. Qatar (24,072 bcm) 4. United States (15,484 bcm) 5. Saudi Arabia (9,200 bcm)...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Napenda kuwasilisha malalamiko yangu kwa Benki ya CRDB kwa hasara mnazotupatia sisi mawakala kutokana na mtandao wenu kuwa wa hovyo kushinda benki zote Mimi ni Wakala natoa huduma za uwakala wa...
4 Reactions
4 Replies
997 Views
Wakuu nataka kuanza hii biashara ya spear za magari used na new mwenye uwelewa wahii biashara anijuze maana naskia lazima mzigo ukitaka upate faida nzuri inabidi uwende Dubai mwenyewe
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana Jamii, matumizi ya kupikia kwa gesi yamezidi kuongezeka; nimekuwa nikiona watu wengi wanaweka mitungi ya gas ndani, vipi hakuna hatari yeyote?, je hakuna sheria iliyoweka kwa watumiaji wa gas...
1 Reactions
43 Replies
31K Views
Habarini ndugu naiuza mashine ni mpya kabisa ni heavy duty shilingi laki nane tu ipo mbeya mjini maeneo ya sinde haijatumika nlitaka nifanyie kazi ila nmepata uhamisho kikazi naama mkoa kwahiyo...
2 Reactions
0 Replies
837 Views
Baada ya muda Mrefu Mafuta ghafi kuwa bei chee wakati wa janga la Corona kutoka bei hasi hadi kukaribia dollar 100 kwa pipa wakati huu. Traders let's take advantage from this.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari ya muda huu wana jukwaa, leo ningependa kuwapa faida ya namna ya kuanzisha au kukuza biasra kwakutumia mbinu ambazo zinafanyakazi hasa katika mazingira yetu ya kiafrika. Wengi wetu...
5 Reactions
12 Replies
5K Views
Wakuu nimepata changamoto ya kila nikiplace order aliexpress naambiwa order imekuwa closed...natatua vipi hiyo changamoto...msaada m mgeni wa manunuzi mtandao hasa aliepress
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hello Wana Tunduma, Kwa uzoefu idea ipi ya biashara kwa mtaji wa 25million, itanimwagia faida nzuri na kubadilisha maisha yake kwa muda ujao. Karibuni...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimeona picha ya mama Samia kwenye bango kubwa jengo jipya la makao makuu ya crdb. Haya ni mabadiliko makubwa sana kwa maana ndio bank ya kwanza yenye bango kubwa la Rais nje ya jengo. Kwa maana...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Habarini wana JF, Naomba kujua kama ni lazima mtu awe amesoma pharmacy ili aruhusiwe kufanya biashara ya duka la dawa muhimu za binadamu au la. Naomba msaada kwa hili tafadhali.
1 Reactions
15 Replies
13K Views
Habarini wana jamvi, huu utakuwa uzi maalumu kwa wale tunaopitia wakati mgumu kiuchumi/ tulio drop na kufirisika.. na bado hatujasimama. Binafsi mimi kwa sasa ni miongoni mwa watu wanaopitia...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Hello wanajamii, Sio tu mnaweza kunisaidia mimi bali na wengine wengi kwenye hii network. Naamini ideas zote hapo ni best, ila ipi itakayo zalisha pato kwa kasi na ukubwa zaidi. Naombeni...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Hello wakubwa, Walio na elimu kuhusiana na biashara. Tunaomba mtusaidie tusiojua. Kuanzia upatikanaji wa mbao hadi maeneo, uuzaji wenyewe hadi maeneo ya kuuzia. Je ni biashara ya kukupa faida...
4 Reactions
2 Replies
2K Views
Hello Wadau, Nafikiria kudeal na handbags za wadada aina tofauti sokoni kariakoo. Kutokana na kodi kuwa kubwa za fremu nahitaji mauzo kuwa makubwa, je kwa hii idea iko sawa au itanichomesha...
6 Reactions
6 Replies
3K Views
Wana kanda za juu kusini, kwa mtaji huo na idea ya hardware ndogo, niende wapi kati ya miji hio miwili ili niupige mwingi kwa sasa na badaae. Karibuni
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau, Mafundi na wenye uzoefu wa biashara ya vifaa vya umeme wa majumbini naomba mnitajie orodha ya vifaa vinavyohitajika na vinavyotoka haraka kibiashara zaidi. Nimepata fremu ndogo ya...
5 Reactions
19 Replies
26K Views
Habari, naitwa Ephraim nikijana mdogo nimetoka VETA miaka miwili nyuma natamani nifanye biashara ya kuuza VIFAA VYA umeme Maana ndio taaluma niliyosoma kwa ngazi ya cheti Na level III. Pia Ni...
1 Reactions
12 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…