Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Hello Team Magari ,nimeangalia ushuru wa hizi tipper duu ushuru wa Scania ni balaa
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndio hivo bhan
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Jana nikapost kuhusu watu ambao wamewekeza kwenye BE FORWARD NOW ili kuhakikisha kama kweli wananufaika au lah...! Kuna raia wamezomea, wengine wakasema dogo utatapeliwa, n.k ila kuna akili...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwako Mwananchi, Nchini kwetu kumekua na migogoro mingi au usumbufu mwingi wa masuala ya ARDHI, Moja ya sababu inayochangia migogoro mingi ya ardhi Nchini ni kununua eneo la Ardhi kimazoea au...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu viongozi.. Natumai ni wazima wa afya ! Naomba kufaham mambo ya kuzingatia kabla ya kuacha kazi na kujiajir mwenyew ili nipate uvumbuzi kutoka kwenu Nawasilisha naomba msaada wenu[emoji847]
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimeshapokea ela ya kazi yangu niliyoifanya ndani siku 13,leo advance ya laki 2 tayari imeanguka.. Apa najifkiria nikaimalizie wapi usiku leo.. Cha kwanza elfu 50 naenda kuitoa sadaka...
8 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari za kazi, hivi mu akitaka kufanya biashara ya ngozi ya ng'ombe mbichi kwa Tanzania kwenda nje ya nchi inawezakana? Upatikanaji wake na bei zake zikoje? Natanguliza shukrani sana. Naomba...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Nimejikusanya kiasi cha kupata laki nane, kazi kibarua (dayworker) kwa sasa nimeona kujiajiri ni vena Sana. Sasa nauliza je kwa ongezeko kubwa la vibanda vya mobile money je itafaa kupambana...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Habarini za wakati leo, nimekutana na mkasa ulioniacha mdomo wazi. Siku mbili nyuma niliagiza mzigo kutoka China na nikasafirisha na kampuni moja kimsingi ilikuwa ni mara ya kwanza kuwatumia...
18 Reactions
66 Replies
5K Views
Tokea vizazi na vizazi Haijawahi kutokea wakati rahisi kuanzisha biashara kama wakati tuliopo sasahivi! Kabla ya kuendelea na huu uzi, naomba ondoa fikra potofu kuhusiana na online money making...
9 Reactions
20 Replies
4K Views
Wakuu hongereni kwa kuendelea kuweka nguvu na akili katika kuhakikisha maisha yanabadilika kwa matokeo chanya Binafsi katika harakati za hapa na pale nimeendelea kuona kwamba katika harakati za...
0 Reactions
5 Replies
910 Views
Start a virtual Business and Create Opportunities.All you need is a business IDEA and a Business Opportunity and the Desire to make change.Start today and see how the world changes.For more...
0 Reactions
0 Replies
534 Views
Ni vitu gan vya biashara vinapatikana kwa bei rahisi kikuu?
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wakuu. Ninaomba mnijulishe taasisi mnazozifahamu kuwa zinakopesha pikipiki kwa ajili ya bodaboda. Nahitaji kujua zile ambazo zina masharti nafuu pasipo dhamana ambazo vijana wengi wamekua...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Huu ni mkopo na marejesho ni mshahara kwa miaka 12. Zile nyuzi pendwa za kutoa madini ya ujasiliamali sizioni tena jukwaani na huku mtaani warembo wameanza kupendeza zaidi. Nisaidieni ndugu...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Kichwa hapo juu cha jieleza napenda kuulizia bei ya jezi hizi za kawaida (inshort fake ) za timu mbali mbalii zinapatikana kwa bei ganii kwa jumlaa na ni maeneo gani zipo kwa wingiiii
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimeleta ombi lengu huku kwenye Jukwaa hili najua huku kuna watu wengi zaidi, hebu kama umewahi kufanya hii biashara au kama una watu unawafahamu wanafanya hii kitu tafadhali naomba details, 1...
0 Reactions
0 Replies
792 Views
Habari yako Mwana JF, ninalo swali ambalo sijawahi kupata jibu sahihi, naomba mtaalamu wa uchumi anifafanulie, tutapata faida gani kama nchi endapo tutaweza kuwa na NOTI ya Sh. 20000? Faida hasi...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Mwenye uzoefu wa hii biashara NI we lekeze!
0 Reactions
1 Replies
406 Views
Habar wadau, nauza viatu vizur na vigumu vya kiume na vya kike kwa watoto , Karibun wadau, Call 0789 820122
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…