Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

JINSI YA KUUKARIBISHA UMASKINI 1. ENDEKEZA USINGIZI Kamwe usiamke mapema, endelea kulala na kujinyosha mpaka pale njaa itakapokuuma. 2. USIPANGILIE MATUMIZI Kamwe usipange jinsi ya kutumia pesa...
19 Reactions
37 Replies
4K Views
Salaam wana JF, Naombeni ushauri wa biashara ya kuchana, kusafisha na kuchoronga mbao kwa hapa Dar. Kuna eneo langu lipo center nzuri ya makazi mapya na kutokana na kukosekana kwa kiwanda karibu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamii inayotuzunguka au tunayoishi ina matatizo au changamoto nyingi. Je, biashara yako inatatua tatizo gani katika jamii?
0 Reactions
0 Replies
785 Views
Nina bekary, nauza vifaa vyo ikiwemo mixa, slesa, tins, proover, oven nk Namba zangu 0766741892
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Salaam, Nimepata wafadhili wa mradi wa kilimo, lengo kuu ni kusaidia wakulima wadogo waweze kujikwamua na kunufaika na kilimo chao. Sasa nahitajika niwe na NGO ili wafadhili waweze kuleta miundo...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Wakuu biashara ya Forex kwa Tanzania imeshamiri sana kwa kipindi cha miaka miwili au mitatu iliyopita. Wengi wameingia katika biashara hii lakini baadhi waliamua kuendelea nayo na wengine wameamua...
3 Reactions
64 Replies
12K Views
Kwa mujibu wa shilika LA fedha Duniani(IMF) nchi ya urusi imehodhi zaidi ya ⅓ ya hifadhi ya sarafu ya China(yuan) duniani
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Nimejaribu na nimegundua yafwatayo Uzi Mchongo upo namna hii, wanadai ni ajira zilizotolewa na kampuni moja hivi ya kimarekani inaitwa ABELL IDEA DEVELOPMENT CORP. Kwamba, hii kampuni...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Maharage kilo 2800 Dagaa kilo 8000 Sasa kwanini ukila unaonekana hohehahe?
0 Reactions
8 Replies
947 Views
Leo katika harakati zangu nimeingia kwenye moneyshop moja ndogo tu Arusha shida yangu ilikuwa ni kufanya miamala kadhaa, nimeingia nikakuta jamaa anapanga vitu nimefika pale hakuna cha karibu wala...
10 Reactions
36 Replies
4K Views
Branding in marketing maana yake ni kutengeneza bidhaa ambayo wateja wanakuja kuizoea. Psychologically Branding is very important because it’s what your customers become associated with and...
0 Reactions
0 Replies
716 Views
ONGEZA KIPATO ZAIDI KWA KUSINDIKA NA KUFANYA BIASHARA YA MAZIWA MTINDI. Watu wengi wamegubikwa na kutofahamu kiundani hasa kuhusu utengenezaji na ufanyaji biashara ya Maziwa mtindi na kushindwa...
2 Reactions
6 Replies
12K Views
Wakuu samahani naomba ushauri juu ya kuagiza spare za pikipiki kutoka china, Mungu akipenda mwaka 2022 nataka nifungue duka la jumla la vifaa vya pikipiki, utaratibu wa kuagiza ukoje, masoko...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari wakuu! Nahitaji kufungua duka la vifaa vya ujenzi hapa Dar es Salaam, sasa naomba kwa anaefahamu jinsi ya kuwapata mawakala wanaosambaza vifaa vya ujenzi baada ya kuagiza toka nje ya...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
Msajili wa makampuni anakusudia kufuta makampuni zaidi ya 5000 yasiyohuisha taarifa zao kwa njia ya mfumo (Brela ORS) ndani ya siku 30 kutoka tarehe ya tangazo. Kupata orodha ya makampuni yenye...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wakuu. Nimekuja kwenu kuomba msaada wa nauli ya ndege kutoka bukoba kuja dar (one way) Ieleweke kwamba Mimi sijawai panda ndege, kuna binti nahishi naye sasa alipata ujauzito ikabidi...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Naomba contacts za makampuni yanayo chapisha majarida full color yaliyopo Dar
2 Reactions
2 Replies
563 Views
Nipo njia panda mpaka sasa, mwakani namaliza chuo home hali sio nzuri, nawaza nikatafute mtaji chuoni kwa kujishughulisha na chochote kitu. Naomba ushauri wa biashara nzuri. Mawazo yenu yana...
5 Reactions
43 Replies
49K Views
BENKI ya NMB imezindua huduma mpya ya Pesa Fasta itakayomuwezesha mteja kuchukua fedha kwenye mashine za NMB popote bila kuwa na kadi wala akaunti. Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Mark...
0 Reactions
8 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…