Watu wengi wanauliza kuhusu IDEA DEBATOR TANZANIA ni kitu gani?

damangaaa

Member
Nov 18, 2016
9
3
Nimejaribu na nimegundua yafwatayo
Uzi
Mchongo upo namna hii, wanadai ni ajira zilizotolewa na kampuni moja hivi ya kimarekani inaitwa ABELL IDEA DEVELOPMENT CORP.

Kwamba, hii kampuni inajishughulisha na vitu kama uingizaji na usafirishaji wa bidhaa, masoko, tekinolojia n.k

Sasa katika kipengele chao cha masoko kwamba huwa wanapokea order kutoka kwa wauzaji mbalimbali duniani wanaouza bidhaa zao ebay, amazon, shopee, lazada n.k ili wawatangazie zipate umaarafu duniani ziuzike.

Kwamba, wamekuwa wakitumia njia mbalimbali kutangaza bidhaa hizo ila sasa wamekuja na hii bab kubwa inayotupa ajira mimi na wewe.

Kwa kawaida bidhaa inapotazamwa sana online inapata umaarufu na inakuwa inatokea ya kwanza kwenye ebay, amazon, shopee, lazada n.k

Sasa je watafanyeje bidhaa hizi zitazamwe sana??? Kwamba, ndio wakaja na hii wakatengeneza mfumo ambao mtu yoyote anaweza kujisajili na kuwa mfanyakazi wao kisha kazi yake itakuwa moja tu... kupitia order 20 kila siku na wanamlipa asilimia 5 ya salio lake.

Kwahiyo utajisajili halafu utaweka kiasi kuanzia 10000 halafu utaanza kupokea order 20 kila siku na utalipwa kila siku asilimia tano ya pesa yako (Lv1). Pesa yako na ile unayopata kama faida unaweza kutoa muda wowote upendao
Sio lazima umuunge mtu ili uwe unapata pesa ila tu ukitaka kupanda level ni lazima u add watu 2 tu ambao wanaweza kujoin kwa elfu 10 tu.

MASWALI YA MSINGI YA KUJIULIZA:
1. Kama kweli hii ni kampuni kubwa na kinara kwanini hawana namba ya malipo inayosoma jina lao la kampuni?

2. Kama kweli wamewaona watanzania na wameamua kufanya kazi na watanzania kwanini hawajaisajili kampuni yao Tanzania wafanye kazi ki halali?

3. Kama wanapokea kweli order kutoka kwa wauzaji wa bidhaa ebay, amazon, shopee, lazada n.k ili wawafanyie masoko kwanini hawajaainasha sehemu gani au utaratibu gani unatumika kuweka order hizi na gharama ili na sisi wauzaji wengine tuwape order watufanyie marketing?

4. Ongezea mengine uliyoyaona chini hapo tuyajue............

SINA LA ZIADA KWASASA... Nimewakilisha kama wanavyodai wahusika. Kiukweli pesa ukituma inawekwa kwenye akaunti yako na unapata kweli faida ya asilimia tano kwa siku (Lv1) nimefanya mwenyewe na nimeshatoa pesa.

As long as pesa inatoka kweli kwasasa basi at your own risk unaweza ku join kutumia link hii chini hapa tugawane hizi pesa

Ushauri ukisharudisha mtaji wako baki unazungusha faida

jiunge hapa


kwa maswali karibu telegram
Screenshot_20220528-192754.jpg
 
Hawa nao ni ndugu na SME, changamkia mapema baada ya hapo mbeleni kuna watu lazima walie
 
Kumbe ndio hii kuna mtu namuona status anaisifia watu wamfate awaelekeze jinsi ya kuingiza hela mtandaoni

Kikubwa imeshafika jf tutajua tu
 
Cha kusikitisha hata sio wa wamarekani wala nini! Ni wanaigeria tu wenye akili wanakula pesa zenu!
 
Back
Top Bottom