Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Nahitaji kati ya V8, NISSAN V8 AU PRADO NEW MODEL. Nahitaji kukodi kwa siku tano. Kama unayo unicheki tufanye biashara
1 Reactions
0 Replies
665 Views
Habari zenu wana Jamii forums. Jumapili hii tulivu ya leo nimechekecha kichwa kidogo nimepata wazo la kuandika kitabu kisha nikipeleke kampuni ya ucapishaji na usambazaji kiwe kinnapatikana...
0 Reactions
7 Replies
856 Views
Habari JF Baada ya kupambana kwa muda mrefu Sasa nimepata Bajaj ya mkataba! Nikimaliza itakuwa Yangu! Ubunifu ntakao ufanya Ni Kama ifuatavyo. Nitaandaa Business card sizizo pungua 100...
4 Reactions
38 Replies
2K Views
Nataka nianze biashara ya nguo lakini mambo haya siyajui sana. Ulipaji kodi unakuaje. Legal process ni zipi? Mzigo mzuri mnauchukua kwa staili gani etc
3 Reactions
4 Replies
974 Views
Zinahitajika ngozi za nyoka wafuatao; 1- kifutu 55'' to 61'' shs 380,000/= kwa ngozi 2- sawaka 155'' to 655'' shs 200,000/= kwa ngozi 3-nyoka wa kijani(boomslang) 100'' to 155'' shs 400,000/= kwa...
9 Reactions
107 Replies
12K Views
Ndugu wana jamvi, Wasaamu Kama kichwa kilivyo hapo juu nimechoka na mikopo ya online, nilijitosa kusaka mkopo na kama mjuavyo wana jukwaa kuwa bila dhamana watu wengi wanaangaika kupata mikopo...
1 Reactions
10 Replies
5K Views
Wadau nauliza kama kuna mbongo ambaye amewahi fika Goma DRC ili nijue boda aliyopitia na ugumu uliopo. Nasikia kuna watannzania wanafanya biashara huko, nataka nikachungulie.
2 Reactions
35 Replies
7K Views
1. Mfanyakazi mwenye badii anakuwa rewarded na wingi wa kazi with little incentive na wajanja wajanja wanakula good times always.
2 Reactions
2 Replies
885 Views
Salamu wana Jukwaa.... Nimepata wazo la kuanzisha biashara ya Boda boda na Bajaji kuanzia mwezii wa 11 jijini Dar es salaam, naanza biashara hii baada ya kujibana kwa kipindi cha miaka 3 sasa...
5 Reactions
54 Replies
27K Views
Habari wana wa JF! Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza naomba tujadiliane machimbo ya BIDHAA hapa kariakoo, mfano wa BIDHAA zenyewe ni kama torch, kufuli, UDI, miswaki, rula, penseli, wembe...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Baada ya tigo na zante kuungana, sasa huduma za tigopesa zinapatikana kwenye zantel. Yaani iko hivi, wewe kama mteja wa Zantel unaweza kuweka na kutoa hela kupitia wakala wa TigoPesa. Hivyo...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari za leo wadau Natafuta scania la kukodi kama mtu hana mizigo mimi ninayo Namlipa kwa mwezi kiasi tutakacho kubaliana au kwakila mzigoninaosafirisha Scania iwe nzima Kwa sasa sina uwezo...
1 Reactions
1 Replies
709 Views
Kwa wale ambao wanaishi na wenza wao ambao wapo katika ajira au biashara na wana kipato kizuri watakuja kushudia namna ambavyo wenza wao wana mchango kiasi gani katika maendeleo ya familia. Kwa...
1 Reactions
3 Replies
961 Views
Wadau, Mwenye connection ya kununua simu ncbi tajwa hapo juu, anipe maujuzi tafadhali. Nawasilisha.
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani naomba kwa yeyote anayefahamu jinsi ya kuunganisha waya katika mashine ndogo hizi za kisasa anielekeze namna ya kuunganisha
0 Reactions
0 Replies
353 Views
Habari zenu waheshimiwa, Naomba msaada wakuu kama kuna yeyote angeweza nisaidia kunipa majina ya makampuni au dereva au hata tu msaada wa mawazo wa kusafirisha mzigo kwenda Afrika kusini. Nitakua...
1 Reactions
5 Replies
6K Views
USHAURI KABLA YA HABARI. JITAHID SANA KUCHUNGA UHUSIANO WAKO NA MTEJA WAKO.ILE KUKUAMINI NA KUKUFANYA UWE RAFIKI HAINA MAANA URAFIKI SHOULD COME IN FIRST PLACE..ACHA KAZI IKAE MBELE MAANA NDIO...
2 Reactions
5 Replies
841 Views
Habari, Nahitaji kuwekeza UTT AMIS kiasi Cha 10 milioni kupitia mfuko wa bond. Naomba kuuliza je nikihitaji nitoe milioni 10 yangu muda wowote naweza kuitoa bila shida yote wala bila kupungua...
2 Reactions
20 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…