Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza Kupitia jarida la World of Statistics limetoa orodha ya watu matajiri zaidi duniani au Mabilionea wa Wakati huu kulingana na Forbes, wameeleza kuwa Elon...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu nitapataje zile banner zinatolewa na makampuni ya simu kama tecno Samsung na Infinix.
0 Reactions
6 Replies
585 Views
The government has reiterated its resolve to ban the use of foreign currencies, especially the American dollar, in buying and selling goods and services in the country. We are studying the trend...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Na hili nalo mkalitizame Naombeni mwongozo wa biashara yoyote halali ya kufanya kwa hapa Dar es salaam itakayoniwezesha kutengeneza 10k hadi 15k kwa siku. Biashara iwe ya mtaji kati ya 100k na...
3 Reactions
49 Replies
6K Views
Wakuu, katika harakati nyingine ya kujiajiri. Kuna hii idea ya car wash. Sio vibaya kama tukipatiana details zote zinazozunguka hii biashara. You know, stuffs kama vifaa, location ya biashara...
1 Reactions
29 Replies
9K Views
Habari wakuu, nipende kuwatakia kheri ya mwaka huu mpya wa 2021 mungu akawafungulie baraka kila mtu kwa hitaji lake. Naomba nirejee kwenye mada baada ya salamu. Niko maeneo ya moja ya vyuo vikuu...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Matukio kwa ajili ya harambee (events - based fundraising) ni miongoni mwa njia zitumikazo na Taasisi kwenye ukusanyaji wa fedha kwa ajili ya utekelezaji wa Miradi au Programu. Matukio huiwezesha...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Hawa jamaa nawaita wezi kwa sababu wameniunga na huduma ambayo Mimi siipendi Wala sio kwa matakwa yangu Huduma hii mwanzo walikuwa Kila siku wanakata sh 100 kwenye Kila vocha ambayo naingiza...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Mamlaka ya Mapato Tanzania naona imebuni njia ya kutoa elimu kwa mtandao na hii wamekuja na kuhusiana na uboreshaji wa mfumo wao wa e file
1 Reactions
1 Replies
473 Views
Huu mkoa gharama za maisha zipo chini sana. Mtu akishindwa kuishi huku basi ni bora afariki. Nimefika hapa na kushangaa guest house nzuri kabisa na ipo sehemu nzuri, haina mambo ya hovyo lakini...
6 Reactions
30 Replies
3K Views
Habar za mda huu ndg na Jamaa ktk jukwaa hili. Mimi binafsi akili imegoma Kujenga nyumba 11, kila nyumba iwe na vigezo vifuatavyo. 1.S/room 1 2. Vyumba vya kulala viwili kimoja master 3. Jiko 4...
18 Reactions
173 Replies
16K Views
Habari guys Kuna kitu watu wengi huwa hawakisemi ila kwa utafiti wangu na bado najiuliza kwanini watu huwa hawakisemi kufanya kazi kwa kuaminianaau makubaliano. Unafanya biashara na watu unawapa...
9 Reactions
33 Replies
3K Views
Akili haikuwa sawa wakati huo, sikupiga hesabu vizuri ndio nashtuka saa hizi. Mbaya zaidi niliyemrudishia alikuwa anatoka kanisani dhehebu fulani nililokuwa naliamini sana. Nawaomba mkizidishiwa...
7 Reactions
27 Replies
1K Views
Benki ya CRDB imekabidhi kituo cha mawasiliano katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road ikiwa ni matokeo ya fedha zilizokusanywa katika mbio za CRDB Bank Marathon 2021. Kituo hicho cha kisasa na...
0 Reactions
1 Replies
760 Views
Wakuu kuna hii biashara ya shisha ambayo naona bado haijagunduliwa na wengi haijasambaa sana lakini naona ina wadau wengi (wateja). Kuna mwenye details za hii biashara aweze kushare na sisi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wasalaam Ni mimi C.T.U nimekuja tena kwa mara ya pili leo nimeota ndoto ambayo nafikiri ni ndoto fulani ambayo nimeamua nije kuzungumza na nyinyi ndugu zangu TTCL Ndoto yenyewe ni kuwa TTCL...
12 Reactions
34 Replies
5K Views
Jamani wadau naomba kwa mtu yeyote anayejua zile kampuni zinazokopesha bajaji na kurudisha kwa siku aniunganishe nao. Nipo Morogoro
4 Reactions
23 Replies
7K Views
Jamanii embu nielezeeni utofauti kati ya kubet na kufanya biashara lakini nahisi kama zinaendana hivi embu tudiscuss hii mada kwa hoja zakueleweka
0 Reactions
4 Replies
638 Views
Habari ndugu! natumaini mnaelendelea salama. Naomba kufahamu chimbo la mafuta ya kupikia hasa haya ya Mico Gold nahitaji nipate kwa bei ambayo itaniwezesha mimi kuuza kwa bei ya jumla kwa wateja...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…