Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Simu ndogo ndogo hususani hivi vya batani za kampuni pendwa Africa namaanisha Tecno na Itel. Tumekuwa tukinunua simu hizi bei ya jumla maduka kadhaa kkoo arusha na kwingineko. Nahitaji kujua vp...
8 Reactions
69 Replies
24K Views
Mimi ni mstaafu Serikalini. Ni mmojawapo wa wastaafu tuliohamisishwa kujiunga na Benki ya Posta, nikahamasika kwelikweli hata nikahama Benki ya NMB. Jambo mojawapo lililonivutia kuhamia Benki ya...
3 Reactions
20 Replies
6K Views
Maisha yanaenda kwa kasi ya wastani wa mwendo wa jongoo wala siyo farasi. Cryptocurrency sijui zile Bitcoin na nyingine nyingi tu zimeletwa zikiwa na makusudi ya kuifanya dunia kuwa sehemu salama...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Umuhimu wa Bodi ya Wakurugenzi yaani "Board of Directors" kwa Asasi za Kiraia umeanza kuonekana na kuchukuliwa kwa uzito wa kipekee. Bodi ya wakurugenzi inatoa dira ya namna ambavyo Asasi inapaswa...
1 Reactions
1 Replies
707 Views
Jamani, tuzungumze vitu real, kama unayo idea au biashara unazo zijua mfano; 1. Aina ya Idea. 2. Mtaji wa bidhaa. 3. Namna ya Kutengeneza iyo bidhaa, upatikanaji wa materials. 4. Soko lake...
0 Reactions
5 Replies
742 Views
HABARI zenu Ndugu zangu. Mimi ni mkulima na agent. Wa mazao ya Mboga mboga Mboga. Kama upo Zanzibar na Unahitaji Kufanya Biashara ya NAFAKA na mazao ya Mboga mboga kama Vitunguu,nazo,nyanya n.k...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Miaka ya nyuma, uchumi wa nchi ulitawaliwa na serikali kupitia udhibiti wa njia za uchumi chini ya umma. Hata hivyo, kwa sasa, serikali imebakia kuwa mtunga sera na msimamizi wa utekelezaji wa...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
NW UTALII, MARRY MASANJA - SERIKALI KUTANGAZA UTALII KUPITIA MBIO ZA KILIMANJARO Serikali imesema itaendelea kutangaza vivutio vya utalii katika nchi wanazotoka washiriki wa mbio za Kilimanjaro...
1 Reactions
1 Replies
392 Views
Naomba kuuliza mambo ya benki wanaofahamu. Benki inaweza kutukopesha sisi ila yenyewe nayo inakopa kwa nani ?
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari za leo wakuu, Kijana wenu naomba mwenye uzoefu na utaalamu wa kurecord mapato na matumizi kwa kutumia android app anisaidie ni ipi iliyo bora na yenye mpangilio mzuri. Natanguliza...
6 Reactions
34 Replies
3K Views
habarini ndugu zangu, Naomba kufaham garama halisi endapo mtu anataka kuanzisha kiwanda kidogo kwa ajir ya kukamua mafuta ya alizeti hususan garama ya mashine zote zinazohitajika
0 Reactions
56 Replies
43K Views
Nahitaji mtu wa kuungana naye tuwekeze ktk kiwanda cha sembe nina mashine na jengo lipo kubwa store za kutosha shida mtaji wa kununua malighafi (mahindi), nembo ya kiwanda ,usajili , masoko,n.k
5 Reactions
23 Replies
3K Views
How To Make More Money The first step to making money is to decide how much more you want to make. The need to emphasize the need to use the power of affirmations, and visualization to see...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Halloww, naombeni msaada jamani. Wapi nitapata mkopo kwa Kuweka dhamana ya Nyumba?. Nimejaribu kwenye Banks wanasema mpaka niwe na biashara au Mfanyakazi wa Serikali, NAHITAJI MKOPO ambao...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu! Mwaka 2023 ukawe wenye kheri kwa kila mmoja humu ndani. Niende straight kwenye point ya uzi huu. Wakuu naomba tusaidiane kujuzana muongozo mzima wa kuanzisha na kuendeleza...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Nina dharura, kwa mwenye kujua, wapi naweza kupata mkopo kwa dhamana ya simu yangu?
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Habarini wadau, Samahani nilikuwa naomba kujua jinsi ya kuwa wakala wa rangi za majumbani, je ni vigezo gani mtu anatakiwa kuwa navyo, na kiasi gani mtu anatakiwa kuwa nayo ili awe wakala wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naombeni msaada wa kueleweshwa maana TRA hawajanielewesha Kila nilipohitaji. Juzi nilifika Ofisi za TRA kwa ajili ya kufanyiwa makadirio ya kodi. Nikakutana na ofisa pale nikazungumza nae na...
5 Reactions
27 Replies
3K Views
Njoo uchukue share kwenye jukwaa langu TangaTalk kwa Tsh 20,000 ni 50% njoo dm
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wana JF, Nataka kufahamu process zote za kusajili kikundi cha kikoba, kitu gani kinahitajika na wapi pakuanzia. Mwenye uzoefu naomba anifafanulie hatua zote
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…