Nimewaza biashara ya kufanya nikapata wazo la kununua pool table mbili ambazo nitaziweka sehemu mbili tofauti. Mwenye kujua bei ya pull table nzuri na imara anijuze na pia mwenye kuijua biashara...
TANESCO YAPONGEZWA KWA KUZALISHA, KUSAFIRISHA NA KUSAMBAZA UMEME NCHINI.
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imepongeza uongozi wa Shirika la Umeme nchini (TANESCO) kwa jitihada zake...
Habari, Mtanzania mwana JF,
Makadiro ya Kodi ni Kwa kila mlipa kodi.
Huwa yanafanyika muda wowote kuanzia tarehe 1,January hadi tarehe 31,March kila mwaka
Kwa Yeyote atakae chelewa kufanya...
Habari za muda huu Wana jamii forums,
Naomba kuuliza kuhusu biashara ya uuzaji wa nguo za watoto za mitumba kuwa inalipa? Na vipi kuhusu changamoto zake? Na je,hii biashara inaendeshwa vipi...
Maendeleo ya ujenzi wa Barabara ya Morocco-Mwenge km 4.5 inayojengwa kwa njia 4 mpya, service road, taa za Kisasa, mifereji mikubwa ya kupitisha maji ukiwa umefikia asilimia 70.35.
Mradi huu...
Habari wanaJF?
Polen na kazi ya kujenga taifa letu, lengo kuja kwenu ni kuomba msaada kwa mtu au kampuni ambayo wanajihusisha na shughuli za usajili kampuni brela, nahitaji mtu ambae atanifanyia...
Hello bosses and rosses...
Leo nmekaa mahala fln nikakumbuka pilikapilika za COVID-19. Kipindi hicho yalitokea mengi sana kwenye historia ya uchumi wa dunia, likiwemo lile ya bei ya mafuta...
MHE. JACQUELINE MSONGOZI - ATOA MISAADA YA CHEREHANI NA VIFAA TIBA VITUO VYA AFYA MKOA WA RUVUMA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma na Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali...
Waziri wa Nishati, January Makamba amesema kuwa Serikali imetenga fedha kiasi cha Dola za Marekani bilioni 1.9 kwa ajili ya miradi ya kuimarisha gridi ya Taifa kwa kipindi cha miaka minne...
Kijana kama unataka kuanza biashara ili uweze kufika pale unataka hakikisha mambo haya una yazingatia
1.Panga chumba ama jengo la biashara kwa mtu ambaye ni muelwa hii itakusaidia kipindi...
Naomba kujua yafuatayo juu ya mashine na biashara za kubetisha mpira.
1. Mashine zinauzwaje.
2. Zinapatikanaje/wapi?
3. Mtaji wake kiasi gani?
4. Risk zake ni zipi?
5. Faida yake inapatikanaje?
Nk
Wadau wanaoamini katika ubia natafuta wazo la biashara na uwekezaji usiozid milion 100.
Nina parameters zangu
1. Mwenye wazo awe shareholder wa biashara yenyewe hata kama hana mtaji wa pesa...
Naomba kwa yeyote anapopajua sehemu au duka linalouza vifaa vya mgahawa mfano majiko ya gess mafufulia ,bufee ,mashine ya gass ya kuchoma kuku nyama na nk
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga, Jokate Mwegelo amewataka Wafanyabiashara Wilayani humo kutopandisha bei ya vyakula kipindi hiki cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
DC Jokate ameyasema hayo...
Wakuu kwema?
Nina mpango wa kuanzisha biashara ya kuuza matofali ya block.
Kwa mwenye uzoefu ni maahine gani nzuri na zinapatikana wapi na bei zipoje?
Nawasilisha
Kaimu Mkurugenzi wa Wateja wadogo na wakati wa Benki ya CRDB, Bonaventure Paul (kushoto) akibadilishana hati na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Usafirishaji Mizigo ya Silent Ocean, Salah...
Natumia kisima kwa ajili ya carwash sasa watu wanapata tabu wakiwa juu ya bod truck kupata maji mengi nifanye nn ili maji yawe mengi nimesafisha kisima maybe ulikua uchafy mwingi lakini bado maji...
Uwezo wangu wa kununua nafaka kutoka kwa wakulima na kupeleka sokoni kwa ajili ya walaji unazidi kupungua, mzigo niliookuwa nakusanya kwa milioni kumi nahitaji kupata kwa milioni 13, 14.
Nipo...