Wadau mimi ni mchimbaji mdogo kutoka Kanda ya ziwa pia nafanya biashara, mwaka 2021 nilitembelea chunya, tunduru na mbinga katika harakat I za kazi yangu kabla ya kurudi mwanza kwa masuala ya...
BOOKKEEPING TERMS.
Tumesema bookkeeping sio kwaajili ya wafanya biashara tu, hata mtu binafsi anaweza kuweka rekodi zake kutokana na shughuli zake za kila siku.
Sasa kuna maneno madogo dogo ya...
Habar wana jf nna wazo la biashara ila sina mtaji[emoji27] wazo langu ni kufungua pharmaceutical industry or cosmetic industry tz hivyo mtu yeyte ambayo yupo stable financial anahitaji kuivest aje...
Nawa salimu kwa jina la M/Mungu.
Niko na wazo la muda mrefu, nataka nianze Biashara ya uunganishaji (Assembly Business) kwa Bidhaa mbalimbali.
Changamoto yangu Ni:
1. Nitumie njia gani ili...
Hongereni kwa kazi.
Kumekuwa na nyuzi nyingi za maulizo na nyingine za kuhamasishana juu ya biashara na njia anuai za kuingiza kipato. Uwepo wa jambo hill unaashiria kiu lakini namba ya kuikidhi...
Anatafutwa wakala wa Dubwi au slot machine mwenye biashara maeneo yoyote ya kigamboni. Commision ni 20% ya token za kila mzunguko. Kwa maelezo zaidi nicheki 0654867115
Wakuu habari zenu...
Natamani kujua kuhusu hii biashara ya kutengeneza na kuuza mvinyo wa zabibu...
Mtaji
Vifaa
Upatikanaji wa mazao
Jinsi ya kutengeneza
Kuhifadhi
Soko lake...
Karibuni kwa...
Habari za wakati huu;
Leo nataka nilete darasa fupi la jinsi ya kutengeneza website (Tovuti ) kwa ajili ya biashara yako kwa gharama nafuu kabisa.Nitaanza kwa kuelezea kidgo tovuti ni nini na...
Ukiwa masikini! Hakuna mtu anataka kujua chanzo cha umasikini wako, ila ukiwa na hela, watakuuliza umepata wapi.
Kuna mwaka flani nilifungua ka-biashara, nikiwa na kamtaji Tsh milioni 2,800,000/=...
Sijawahi kuifanya biashara hii naombeni mwenye ufahamu anipe abc za biashara hii. Pia aniambie kwa uzoefu wake kwa siku unaweza kupata kiasi gani.
Changamoto za biashara hii ni ipi.
Nategemea...
Mwezi unatuendea mwishoni Allah atubariki sana ,Amiin
Katika harakati zangu za maisha Huwa nimezoea sana vibiashara vidogo vidogo mana nilishajikatia tamaa huko ajira portal
Kipindi ambacho...
Nimeona niliweke hili ili kuwaweka huru wengi wetu, ambao tunakimbilia kununua simu za bei ghali halafu mwisho wa siku unaweka bando la mia tano (500) kwa mwezi.
Hizo hela za simu afadhari...
Wadau za kutwaa!!!
Jana katika pita pita Kwa wadau wangu kadhaa wakongwe mujini nikawachana kuwa wadauee "eeee" Leo kijana wenu Dina hela hata ya kipiga masta hebu nitoeni basi mdogo wenu...
MHE. JANETH MAHAWANGA ACHANGIA WIZARA YA TAMISEMI MIKOPO YA 10%
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janeth Elias Mahwanga amechangia Wizara ya TAMISEMI kwa kuiomba Serikali kuangalia...
Husika na kichwa cha habari.
Mimi ni dada mfanyabiashara, mpambanaji ila nimekwama kidogo nahitaji mkopo wa haraka, nitakupa dhamana ya bodaboda (Mpya Haina hata mwaka) na dhamana ya kiwanja kipo...
Habari wakuu;
Kuna ndugu yangu yupo kwenye harakati za kufungua playstation center, naomba kujua taratibu za kupata vibali n.k... ili kuifanya biashara hiyo kuwa halali na wapi kwa kufanya...
Habari wakuu mimi ni mjasiriamali mdogo mdogo,nilikuwa nahitaji huduma hii ya kuscan kwa kupitia seclom mastercard.msaada jinsi ya kuipata na vigezo vyake