Wakuu hii risit ya machine kodi ni kuanzia bei gani maana mimi nadai risit kila uchao ila hii ya leo naona sifuri kwenye kodi
Hii ni laki imeonyesha kodi chini ya 10000 serikali haikati asilimia 18
Wakuu,
Kumekuwa na mvutano sana kati Serikali kwa maana ya TRA na wafanyabiashara ambapo wafanyabiashara wengi hawapendi kutoa risiti hizi za mashine(EFD), na kama wakitoa basi itabidi uchague...
Habari wakuu,
kuna wazo moja nimepata la kuweka haya madude ya wachina kwenye moja ya frame nilionayo, nataka kuanzisha haya ma bonanza kidogo walau paweze kuchangamka maana pamedorora kweli. Kwa...
Katika biashara kuna mambo mengi sana ya kufanya ili uweze kufanikiwa na kufika sehemu ukaona faida ya biashara,Katika mambo mengi kuna moja ambalo wafanyabiashara wengi hawalitambui na wachache...
Wadau poleni na majukumu ya kulijenga taifa.
Kama Mtanzania mwenye ndoto na malengo ya kufika mbali nimewaza na kuona njia mbadala ya kuwekeza kwa Dunia ya sasa ni kununua dhahabu. Hii imetokana...
Wapo watu wengi, wanatamani kuwa wajasiriamali; wamiliki biashara zao, kampuni, kiwanda n.k
Na wengi wetu huwa tunalenga kupata faida kwa haraka haraka, na inapotokea ukapata faida kidogo, baada...
Naomba mwenye ufafanuzi wa uchumi kati ya china na Amerika maana kila siku naskia Amerika inaongoza kiuchum.
Nikirudi nyuma zamani tulikua na baiskeli za fonex zimefanya vizuri sokoni na ilikua...
Natamani kutuma maombi ya CSR yani corporate social responsibility kwenye makampuni yaliyo karibu yangu hata yaliyo mbali. Ila sijui nifanyeje ili maombi yangu yawafikie na wanizingatie
Mwenye...
Habari Watanzania, Heri ya miaka 58 ya uhuru!
Bila kupoteza muda ngoja tuongee namna ya kununua vitu kutoka nchini China hasa kupitia platform ya Alibaba ( Made in China)
Kwanza Kabisa Alibaba...
Wasalam wana JF
Mimi ni kijana najishughulisha na ujasiriamali kwa kufanya biashara ya duka la rejareja pamoja na shughuli zingine. Dhumuni la kuleta uzi huu ni kutokana na kuyasoma mazingira...
"Lack of Capital"
Umekua ni msamiati unaoimbwa kila siku kila Kona ya nchi yetu na hata nje ya nchi pia.
Kijana akiambiwa kwa nini hufanyi kazi yeyote ama hujajiari,, Anasema sina mtaji...
Nina ndugu yangu kaanzisha biashara ya Restaurant na tayari imeanza kumshinda.
Nilienda kufanya tathmini kidogo ili niweze kumshauri nikajikuta nashindwa cha kumshauri...ingawa makosa nimeyaona...
Naomba kufahamishwa ni kampuni gani ya kusafirisha mizigo inayoweza kusafirisha kwa haraka na kwa bei nafuu kama nikinunua Bidhaa online kwenye mtandao wa Ali express
Naomba kujua kuhusu bishara ya miti yambao Iringa. Ninataka kununua shamba ili nipande miti then baadae nije kuiuza. Nilichokuwa nataka kujua ni...
*Je, huwa inachukua miaka mingapi?
*Bei ya kila...
Naomba Kuuliza anaefahamu muda wa marejesho ya Mikopo ya Amana Bank Mfano nikichukua vifaa Vya ujenzi vyenye thamani ya m.20 Muda maximum wa kurejesha ni miaka mingapi?
Editorial Note: We earn a commission from partner links on Forbes Advisor. Commissions do not affect our editors' opinions or evaluations.
There’s no magic formula for building wealth and...
Habari za wakati huu JF Members.
Dhumuni la thread hii ni kutafuta partners wa kushirikiana nao Kuunda team kudevelop ideas na kuzibadili ideas hzo kuwa ajira kwetu na kwa vijana wenzetu...
Kupata TIN NO siku mbili au moja, kupata leseni yaweza kukata mwezi unaenda na kurudi nauli 15000.
Alafu kuna makadilio ya mapato sijui mnatumia vigezo gani kukadilia mapato sehemu ya vijijini...