Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari za muda huu wananzengo,naomba kufahamishwa biashara ya Chapchap ambayo naweza kuweka pesa chap nikanunua mzigo na kuuza nibaki na faida.mtaji milioni 4.Nakusudia biashara zile za ulanguzi...
3 Reactions
44 Replies
4K Views
Habari ya muda huu wana jukwaa natumai mmeamka salama, sina mengi ya kuandika, ni kama kichwa cha habari kinavyosomeka. Naombeni ushauri wakuu nina malengo ya kufungua duka la dawa Dar es salam...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Ndugu zangu tunakumbuka kuwa Branch na Tala walikua wakichuana sana na kutupa mikopo ya papo kwa hapo kupitia simu yako ya mkononi. Wapo watu wengi walionufaika sana mikopo hiyo kwa namna tofauti...
3 Reactions
33 Replies
6K Views
Salaam wanaJF, Naomba kuuliza kuhusu aya mawe kama ni madini, ni ya aina gani na yanathamani gani. mimi sio mzoefu wa madini wakuu.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wakuu nina mzigo wa maboga safi ya kienyeji takribani 500 yapo Mtwara Mjini nawakaribisha tufanye biashara tuwasiliane kwa namba 0693391566.
0 Reactions
7 Replies
891 Views
Wadau habari ya wakati huu, naomba kufahamu namna ya kupata TIL ya uwakala wa Tigo, voda, Airtel na Halotel lakini kwa jina la kampuni yangu... Pia nataka kujua commissions za wakala Kama wakala...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Viwango vya ubadilishaji wa fedha za kigeni vina jukumu muhimu katika uchumi wa dunia, na kuathiri biashara na uwekezaji kati ya mataifa. Kiwango cha ubadilishaji kati ya sarafu mbili huonyesha...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu, Kama kichwa cha mada kinavyojieleza hapo juu kama kuna mtu mwenye ujuzi namna ya kuingiza pesa basi nahitaji kujua angalau nielewe hii kitu maana nimekuwa nikisikia sijui online...
7 Reactions
112 Replies
9K Views
Wakuu nahitaji mnisaidie experience hasa kwenye biashara ya kuuza mayai ya kuchemsha, nina wazo la biashara hii lakini sijajua changamoto zake na faida zake kiufupi naomba mnipe madini kuhusiana...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Naona mmejitahidi Sana kukwepesha kwepesha UKWERI...... Naomba niwaambie watanzania Wengi hawaoni hayo majengo au Ile halaiki kichwani mwao wakisikia uzinduzi wa ikulu Dodoma....... Hii ndo...
2 Reactions
2 Replies
709 Views
Hello habari zenu, Niko interested na biashara ya Vyuma Chakavu, tafadhari mwenye hints Kuhusu faida na changamoto zake tujuzane..
1 Reactions
11 Replies
10K Views
Habari zenu Wakuu nataka kuanzisha biashara ila sina elimu yoyote kuhusiana na namna ya ulipaji wa kodi ya mapato. Kwa wenye uelewa naomba kuelimishwa kuhusiana na ulipaji wa kodi ya mapato...
1 Reactions
12 Replies
6K Views
Mei 22 - 23, 2023. Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
2 Reactions
1 Replies
413 Views
Habari! Mimi ni kijana graduate wa Computer science and technology. Nimespecilize kwenye masuala ya programming hususani Full stack development (Website & App) Na Sasa nafanya Blockchain na data...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Nijikite kwenye mada moja kwa moja, nina hitaji kupata dalali wa nyumba na viwanja kwa mkoa wa Dar es salaam. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwakilasa: Man who dreams biodiesel fuel...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Mfanyabiashara Fred Vunjabei ameandika hadithi fupi kuhusu maisha yake ya kibiashara na rafiki yake Frank Knows. Ameandika hivi:- [emoji117]Miaka kadhaa iliyopita nilikuwa na duka moja dogo sana...
21 Reactions
64 Replies
18K Views
Wakuu hisa za Tanga cement zimerise for almost 50% ndani ya wiki mbili tu. Kama mjuavyo hii mostly imechangiwa kwa kampuni hii kuuzwa kwa Twiga cement company PLC hivyo future prospectus itakuwa...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Hellow members,Naweza kufanya kitu gani au kutoa huduma gani kibiashara kwa kutumia vitu hivi nilivyo navyo bila mtaji? Vitu vyenyewe ni: 1.Smartphone 2.Simu ndogo.
2 Reactions
6 Replies
581 Views
Msajili wa Hazina Bw Nehemiah Mchechu (wa tatu kushoto) akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya Tsh 6 Bilion kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Bw Theobald Sabi (Kushoto) ikiwa gawio...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…