Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

EWE ndugu nakuomba Husika na kichwa chahabari hapo juu,lengo na dhumuni nikitaka ujuzi na maarifa mapana juu ya biashara ya VIFAA vya sora na umeme.MAWAZO YAKO NDOKUFANIKIWA KWETU
1 Reactions
5 Replies
380 Views
Unaweza usielewe kichwa ya habari ila maana yangu ilikua ni moja tunapoongelea moyo tunaongelea kile kitu unachopenda, katika vile tuvipendavyo ndio vina fursa nzuri ndani yake. Nimewahi na...
29 Reactions
30 Replies
5K Views
Wanajukwaa na wasalimu kwa jina la Jamhuri Tanzania. Ndugu zangu kiukweli nahitaji mtu ama Taasisi yeyote ya kuweza kunisaidi kumalizia miradi yangu ambayo nimekwisha ianza. 1) Mradi wa kwanza...
11 Reactions
71 Replies
4K Views
Msaada wenu waungwana, nahitaji wazo la biashara yoyote/kitu chochote kitakacho nikiingizia faida kuanzia Tsh. 10,000/= na kuendelea.nikiwa na mtaji wa 1.5m
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Napatikana ukanda ambao Mbaazi, Ufuta na Korosho vinapatikana kwa wingi sana. Kwa mwenye connection na Mtu au Kampuni yoyote inayojishughukisha na ununuzi wa mazao tajwa; Nipo tayari kufanya nao...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Niliajiriwa 2014 kwenye sector ya elimu (mwalimu), nimepambana na maisha ya utafutaji Si haba Mungu kanisaidia nimefanikiwa kupata mtaji kiasi,nimefungua maduka mawili, duka la mahitaji ya...
11 Reactions
62 Replies
8K Views
Wana Jamiiforums sasa ni muda wa kuangalia fulsa vijijini kwenye mazao....ni mkoa gani kuelekea mavuno unaweza ukachukua bidhaa mjini na kwenda kijijini kibiashara ukapata kufanya biashara...
2 Reactions
0 Replies
619 Views
Tangu muda mrefu nimekuwa nikiwiwa kutaka kuanzisha Taasisi au Kampuni Binafsi ya Upelelezi hapa nchini Tanzania ili kufanya uchunguzi juu ya masuala mbalimbali ambayo yanahitaji kuchunguzwa...
4 Reactions
70 Replies
7K Views
Wanaforum naomba kujua kwa yeyote mwenye kujua sehemu wanapouza mayai ya jumla kwa Dar es Salaam. Trey ni sh ngapi na unatakiwa kuchukua trey ngap ili upate kwa bei ya jumla?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Au ni mimi tu na biashara yangu vipi huko wenzangu maana wateja huu mwezi ni wamanati sijawahi experience.
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari Naomba mwenye uzoefu wa faida ya haya madude, yanalipa pesa nzuri? Nataka niweke kibarazani kwangu Baadhi ya Michango toka kwa Wadau ======= Hayauzwi, ila unaongea na kukubaliana nao...
0 Reactions
25 Replies
22K Views
Mauzo ya Biashara za Mtandaoni yanakadiriwa kufikia Kiasi cha dola za Kimarekani Trilioni 6.3 mwaka 2023, sawa na ongezeko la asilimia 10.4 ikilinganishwa na mwaka 2022. Ongezeko kubwa zaidi...
0 Reactions
3 Replies
961 Views
Habari Wana jukwaa la Biashara, Uchumi na Ujasiriamali. Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa Apo ju. Je, Ni kweli Kuna free movement across SADC members. Source: ITV, Katika kipindi Cha dakika...
0 Reactions
2 Replies
416 Views
Wakuu heshima zenu! Bila kupoteza wakati niende kwenye point ya muhimu ilionifanya kufungua hii mada, mimi ni kijana mwenye miaka 20 na kwasasa nipo Mwanga Kilimanjaro, mpango wangu hasa ni...
7 Reactions
157 Replies
30K Views
Habari naomba mtu anaejua jinsi ya kulipia matangazo instagram ili kuwafikia wateja au wahitaji wa huduma ninazotoa naomba anielekeze vizuri maana sina utaalamu mkubwa kihivo. Mwaka jana...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari wataalamu wa biashara! Nina wazo la kuanzisha biashara ya vifaa vya umeme pamoja na vyombo vya umeme. Naomba Kwa mtu mwenye uzoefu anipe mwongozo Kwa upande wa faida na changamoto za hii...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari, I hope u mzima wa afya unavyopitia thread hii. na kama hauko poa, i pray urudi katika afya yako mapema. To cut the story short, Leo nitaelezea jinsi ya kutangaza biashara yako kwa...
7 Reactions
20 Replies
14K Views
Wakuu heshima yenu Kuna mahali nimejishikiza, nimeweka 5M, kwa mwezi baada ya cost zote napata laki 6, Muda wa kazi ni saa 2 asubuhi hadi saa 4 usiku Naona hii faida kama ndogo sana, Vipi wakuu...
9 Reactions
79 Replies
8K Views
Ukisikia kufungua Nchi ndio huku Sasa na Kwa haya yanayotokea Rais Samia Anastahili Tuzo ya Uchumi.. Dr. Samia ni akili. kubwa wengine wamekaririshwa Makaratasi 😁😁. Benki ya CRDB imesema itatoa...
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amesema Serikali itaendelea kuvijengea uwezo viwanda vya ndani vinavyozalisha saruji kabla bidhaa hiyo haijaruhusiwa kuwa kati...
0 Reactions
2 Replies
453 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…