Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Inahitajika kifaa cha kutunza pesa na nyaraka zikiwa sehemu salama (Safe). Naomba kufahamu: 1. Kinachofaa (kilicho bora) kina sifa zipi? 2. Bei yako ikoje? 3. Kinapatikana wapi? Ikiwezekana...
4 Reactions
1 Replies
975 Views
Nataka kufanya biashara ya dagaa wa Mwanza kupereka Dar nilikua naulizia Kama kunamwenye uzoefu wa soko la dagaa Dar sasa hivi wana bei gani !!!
2 Reactions
26 Replies
22K Views
Kama heading inavyojieleza, Tangu nipate TIN Number, Haijawahi kutumika kwa biashara isipokuwa tu ilitumika kipindi nahitaji leseni ya udereva, Je TIN hiyo naweza kuitumia kufungulia biashara...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimefungua biashara mpya na nimetengeneza ajira kwa mtaaalmu mmoja lakini katika mwezi wa kwanza ananiibia kama tuna hisa naye. Tufanyeje wajasiriamali?
13 Reactions
41 Replies
4K Views
Wakuu kwema? Poleni na majukumu leo Mimi nilienda Kariakoo japo mimi ni mgeni hapa dar nazunguka hivyo hivyo kwa kuulizia. Nilikuwa naomba ushauri nilikuwa Nina wazo la kuuza mayai ya chemsha...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari Wana jamii naombeni ushauri Mimi ni mjasiriamali na Nina akaunti Benki tofauti tofauti kama CRDB , NMB na NBC lakini nahitaji kuchagua Benki Moja kati ya hizo kuhifadhi pesa nyingi yaani...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Salama wakuu samahani wakuu naomba kuuliza anaejua thamani ya fedha hizi ambazo ni fifty dirham na 5 us dollar zote za zamani
1 Reactions
0 Replies
368 Views
Motivations for donors vary as widely as there are donors. As you begin to develop your appeals, you’ll want to understand why donors give so you can craft an appeal that speaks to the primary...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WANANCHI WA LUDEWA KULIPWA FIDIA KUPISHA MRADI WA LIGANGA NA MCHUCHUMA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewahakikishia watanzania kuanza kwa utekelezaji wa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu, naombeni msaada na ushauri juu ya biashara ya kusafirisha makaa ya mawe. Nataka kununua gari ili nianze usafirishaji wa makaa ya mawe. Natanguliza shukrani kwa wote watakao...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani Mimi ninako ishi nimeona biashara nyingi lakini nikafuatilia biashara ya kujumlisha vinywaji nikaona inafaida pia shida Ni mtaji tu kwaiyo yeyote mwenye mtaji ambaye amekosa biashara ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu, nipo Dar es Salaam mitaa ya Magomeni, nmekaribia kumaliza chuo. Hapa nilipo ninak kiasi cha shilingi Laki sita na nusu na PC. Naomba ushauri nifanye mishe au...
4 Reactions
34 Replies
6K Views
Habari wakuu, mimi ni mtumishi wa Umma ambapo nina fursa za kukopa benki mkopo wa muda mrefu na mfupi na siku hizi benki nyingi zimeongeza muda wa mkopo hadi miaka 8. Nilikuwa naomba mawazo yenu...
1 Reactions
70 Replies
10K Views
Umu kuna wajuzi na wadau wa mambo mbalimbali naona mtaweza saidia katika hili. Shilingi milioni 5 ya kitanzania mtu anaweza akafanya biashara gani ya kumuingizia kipato kizuri. Msada wenu wakuu.
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu naombeni msaada wa kujua betri za kampuni gani za solar ambazo ni heavy duty, betri nayotaka Iwe kuanzia N100 sola ninazo watu 600W Nahitaji kujua bei yake pia
1 Reactions
8 Replies
9K Views
Habari JF Natafuta chimbo la mifuko ya kg 50 kwa bei ya 200 au 300 Aina hii hapa chini Nipo moshi
1 Reactions
4 Replies
831 Views
Habar, Moja.....natarajia kufungua enterprise ya kutoa mikopo, naomb kupata ufafanuz wa Kodi mbali mbali ambazo nitazilipa and naomb kujua Kam Kuna mtu anajua kikokoto kizur Cha Cha riba...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
MBUNGE CONDENSTER SICHALWE AWAASA WANANCHI KUUZA MAZAO YA CHAKULA KWA UTARATIBU, NJAA BADO IPO Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe leo tarehe 22 Julai...
0 Reactions
0 Replies
795 Views
Habari ya muda huu GreatThinkers Hili ni shamba la dhahabu lenye zaidi ya heka 35. Mwenye eneo ameshapata nyaraka zote zinazotakiwa toka wizara husika na upande wa geologist report - anayo...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Wakuu nipeni jina nzur litakalofaa kutumia kwenye bucha ya kuuza samaki na nyamba ambalo litawavutia wateja[emoji120]
2 Reactions
62 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…