Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

๐—๐—˜, ๐— ๐—”๐—จ๐—ญ๐—ข ๐—ฌ๐—” ๐—๐—จ๐—จ ๐—ฌ๐—” ๐——๐—›๐—”๐—›๐—”๐—•๐—จ ๐—ก๐—œ ๐—จ๐—ž๐—จ๐—”๐—๐—œ ๐—›๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—ฆ๐—œ ๐—ช๐—” ๐—จ๐—–๐—›๐—จ๐— ๐—œ? ๐˜‹๐˜ฉ๐˜ข๐˜ฉ๐˜ข๐˜ฃ๐˜ถ ๐˜ช๐˜ญ๐˜ช๐˜ช๐˜ฏ๐˜จ๐˜ช๐˜ป๐˜ข ๐˜œ๐˜š๐˜‹ 5.67 ๐˜ฃ๐˜ช๐˜ญ๐˜ช๐˜ฐ๐˜ฏ๐˜ช ๐˜ฏ๐˜ฅ๐˜ข๐˜ฏ๐˜ช ๐˜บ๐˜ข ๐˜ฎ๐˜ช๐˜ฆ๐˜ป๐˜ช 12 ๐˜ฉ๐˜ข๐˜ฅ๐˜ช ๐˜‘๐˜ถ๐˜ญ๐˜ข๐˜ช 2026. ๐˜•๐˜ช ๐˜ฏ๐˜ข๐˜ฎ๐˜ฃ๐˜ข ๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ฃ๐˜ธ๐˜ข, ๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ช๐˜ฏ๐˜ข๐˜ฐ๐˜ฏ๐˜ฆ๐˜ฌ๐˜ข๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ท๐˜ช๐˜ป๐˜ถ๐˜ณ๐˜ช ๐˜ฌ๐˜ธ๐˜ฆ๐˜ฏ๐˜บ๐˜ฆ ๐˜ท๐˜ช๐˜ค๐˜ฉ๐˜ธ๐˜ข ๐˜ท๐˜บ๐˜ข ๐˜ฉ๐˜ข๐˜ฃ๐˜ข๐˜ณ๐˜ช. ๐˜“๐˜ข๐˜ฌ๐˜ช๐˜ฏ๐˜ช...
1 Reactions
2 Replies
24 Views
Moja ya changamoto kubwa zinazowakabili wafanyabiashara wengi ni kuwa na bidhaa au huduma nzuri, lakini watu wachache wanaofahamu uwepo wa biashara zao. Ukweli ni kwamba, kuwa na bidhaa nzuri...
1 Reactions
0 Replies
45 Views
1. UTANGULIZI Soko la hisa ni sehemu ambayo wawekezaji hununua na kuuza hisa za kampuni zilizoorodheshwa sokoni. Moja ya mambo muhimu ambayo kila mwekezaji anapaswa kuyaelewa ni mabadiliko ya bei...
0 Reactions
0 Replies
24 Views
Kuna kitu kimoja ambacho wafanyabiashara wengi hawakipendi kufanya, lakini kina mchango mkubwa katika ukuaji na uendelevu wa biashara zao. Nacho ni kutengeneza maudhui (Content Creation) mara kwa...
1 Reactions
0 Replies
33 Views
Habari za Wakati huu; Ni matumaini yangu mnaendelea salama na mapambano ya kiuchumi. Je wewe ni mfanyabiashara wa kidigitali?Je wewe ni winga uliyepo kariakoo ambaye una connection ya wateja...
0 Reactions
3 Replies
64 Views
Habari wana jf, Kama title inavyojieleza hapo juu. kiufupi nimefungua ofisi ya kuchomelea , sasa nimeona design nzuri ya milango ya kisasa nikataka nianze kuiunda ndipo nikagundua naitaji...
2 Reactions
4 Replies
63 Views
Kamwe usianzishe biashara kwasababu Umeona mwenzio ameanzisha na anapiga pesa. Kumbuka kila biashara inachangamoto zake,na inahitaji uzoefu flani. Jana nilikua Jiji la Mbeya ni kama BAJAJI NI...
3 Reactions
12 Replies
137 Views
Tuseme unajitafuta kwenye biashara, -Utalipa pango -utalipa kodi TRA(inategemeana na biashara) -Utalipa leseni (wastani 100,000) -Utalipia mazingira wastani (3000 kwa mwezi) -utalipa...
6 Reactions
11 Replies
237 Views
Naomba wazo la biashara la mtaji wa 15m hapa mkoa wa dar es salaam
2 Reactions
32 Replies
423 Views
WITO KWA UONGOZI WA SAMSUNG TANZANIA: BORESHENI HUDUMA KWA WATEJA! Nimekutana mara kadhaa na changamoto kubwa katika maduka rasmi ya Samsung, Dodoma na Dar es Salaam. Unapofika dukani ukiwa na...
0 Reactions
1 Replies
60 Views
Nafaka ni eneo Pana sana na limewapa mafanikio watu wengi sana (wenye mitaji mikubwa). Nimeona mijadala mtu anasema ana mtaji wa 3million afanyaje? Wadau wanatiririka auze nafaka, sasa kwa mtaji...
6 Reactions
11 Replies
422 Views
Mtanzania mwenye duka Kila siku lazima: Afungue duka mwenyewe. Ahakikishe bidhaa zimefika. Ahudumie wateja. Ahakikishe wafanyakazi hawapotezi fedha. Ahakikishe mauzo yanafanyika. Afunge duka...
2 Reactions
3 Replies
71 Views
Miswala mizuri ya mbele piga simu no 0657847525
2 Reactions
12 Replies
146 Views
Wakuu Kama wewe ni mfanyabiashara jiandae kwa kuingia gharama hizi katika uendeshaji(zote ni za serikali ispokua # moja) 1. Kodi ya Frame โ€“ Malipo ya pango kwa mwenye jengo la biashara. 2. Kodi...
5 Reactions
69 Replies
2K Views
Watu wengi wana ndoto za kufanya biashara, lakini changamoto kubwa inayowakwamisha ni mtaji. Baadhi wanaamini ni lazima uwe na fedha nyingi ili kuanzisha biashara yenye mafanikio, huku wengine...
1 Reactions
4 Replies
44 Views
JINSI YA KUIFANYA BIASHARA YAKO IWAFIKIE WATU WENGI NA KUPATA WATEJA WAPYA Moja ya changamoto kubwa zinazowakabili wafanyabiashara wengi ni kuwa na bidhaa au huduma nzuri, lakini watu wachache...
1 Reactions
0 Replies
22 Views
Mikoa saba nchini Tanzania ndiyo tishio kwa kuwa na nguvu kubwa za uchawi 1. Tanga ndio kinara 2. Lindi unafuatilia 3. Dar es Salaam 4. Mtwara 5. Tabora 6. Kigoma 7. Mwanza Mikoa yenye wachawi...
50 Reactions
968 Replies
391K Views
CONTENT CREATION: UJUZI MUHIMU WA KUKUZA BIASHARA NA KUTENGENEZA FURSA ZA AJIRA Katika dunia ya sasa ya kidijitali, Content Creation imekuwa moja ya ujuzi muhimu kwa wafanyabiashara...
0 Reactions
1 Replies
24 Views
Habari za wana JamiiForums. Ningependa kushirikisha nanyi kuhusu mradi wa kiteknolojia unaojengwa hapa Tanzania unaoitwa Kentexa. Dunia imebadilika. Leo, watu wanatumia mitandao ya kijamii...
3 Reactions
15 Replies
187 Views
Wengi Tumekuwa Tukipambana Maishani Tukifikiria Kuwa Biashara Au Ajira Ndo Vinaweza Kututoa Maishani Mwetu Huku Tukisahau Au Kudharau Baadhi Ya Fursa Zilizopo Mbele Yetu Nikuombe Kijana...
7 Reactions
16 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ