One personal business ni uongo

One personal business ni uongo

youngkato

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
3,856
Reaction score
3,939
Mtanzania mwenye duka Kila siku lazima:

Afungue duka mwenyewe.
Ahakikishe bidhaa zimefika.
Ahudumie wateja.
Ahakikishe wafanyakazi hawapotezi fedha.
Ahakikishe mauzo yanafanyika.
Afunge duka mwenyewe.

Akiumwa au akisafiri kwa wiki mbili, biashara inasafiri.
 
Mtanzania mwenye duka Kila siku lazima:

Afungue duka mwenyewe.
Ahakikishe bidhaa zimefika.
Ahudumie wateja.
Ahakikishe wafanyakazi hawapotezi fedha.
Ahakikishe mauzo yanafanyika.
Afunge duka mwenyewe.

Akiumwa au akisafiri kwa wiki mbili, biashara inasafiri.
Ndio maana unatakiwa uendane na ulimwengu tuliopo, mfumo sio kitu ya ziada ila ni kitu ya lazima kwenye Kila biashara so usianze biashara bila mfumo imara, mfumo utakao kusaidia kumanage stock, kufanya accounting, mauzo, purchasing na kadhalika.
 
Back
Top Bottom