Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Hi 1.a secret link with database books of everything you know in this planet,you can download freely,books worth millions of money on Amazon but the secret link provides for free. 2.An Ebook...
0 Reactions
2 Replies
885 Views
Hizi microcredit zinatakiwa zitoze riba kiasi gani wanajamii, kuna mtu kaingizwa mkenge hapa tunatafuta suluhu lakini kwa kiasi alichokopa na marejesho ni kama anafanyiwa robbing. Kibaya wahusika...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kuna jambo moja haliko sawakwenye biashara za mazao ya kilimo, Bidhaa mbalimbali zinazotoka kwa wakulima kwenda sokoni/mlaji, zinawafikia walaji zikiwa katika hali ya uchafu kwa mfano Tangawizi...
4 Reactions
0 Replies
484 Views
[emoji419]Je unajua wajua unaweza kuvisikiliza vitabu vyote maarufu, badala ya kusoma? [emoji419]Ndio, wasiliana nami ili niweze kukupatia kitabu chochote unachokihitaji ktk format ya audiobook...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wana JF. Poleni na Majukumu. Naombeni msaada wenu. Naitaji kufungua biashara ya kuuza vifaa vya simu na simu, nina mtaji wa Millioni 2, naombeni mnifahamishe namna ya kuianza biashara hii...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari Ndugu Zangu Nataka Kufanya Biashara ya Simu used Kutoka Dubai, Naomba msaada wa vitu vifuatavyo. 1. Jinsi ya kupata connection ya kuagiza vitu hivyo Kutoka Dubai 2. Mtaji unaohitajika...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
MBUNGE MAVUNDE KUWAWEZESHA KIUCHUMI WAJANE JIMBONI DODOMA MJINI -Amshukuru Rais Dkt. Samia kwa kurejesha mikopo ya 10% -Aileta Dodoma Taasisi ya Fedha inayokopesha wajane bila riba -Awataka...
0 Reactions
0 Replies
389 Views
Mafuta Vyakula Madini Usafirishaji Fedha Media Elimu Afya Dini/kanisa Michezo Utalii Mifugo Vifaa vya ujenzi Mimi nimejikita kwenye vyakula? Changamoto zipo ila napambana
16 Reactions
35 Replies
3K Views
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb) amesema kuwa mpango wa Serikali katika kuwasaidia wajasiriamali kuzalisha bidhaa bora ili kupata masoko ya uhakika. Mhe. Kigahe...
0 Reactions
0 Replies
384 Views
Kuna muda anapenda mpaka umdanganye, ukimwaambia ukwel humpati. Unaona kabisa yani. kuna muda inakulazimu ujishushe chini yake mradi tu msikae class moja ili a feel he has the final say ndio...
6 Reactions
7 Replies
1K Views
Hiyo hapo mashine ya utafiti wa madini, utafiti wa udongo maeneo ya ujenzi wa barabara au magorofa. Mashine inauwezo wa kuchimba hadi mita 9.
1 Reactions
3 Replies
520 Views
kariakoo hii Mpya ambayo inaweza kufunguliwa hivi karibuni, inaweza kuwa na Fursa nyingi kwa vijana na kwa watanzania kwa ujumla kama serikali itaacha mambo kadhaa yafuatayo 1. Kubana uhuru wa...
0 Reactions
0 Replies
359 Views
Hellow wanaJF, Nina wazo la kuanzisha biashara ya kusaga unga wa sembe na ku-pack kwa ajili ya kuuza. Jamani naombeni mawazo yenu. WADAU WENGINE WANAOHITAJI KUJIFUNZA KUHUSU BIASHARA HII...
2 Reactions
393 Replies
204K Views
Wakuu husikeni na mada hapo juu. nahitaji kujua wapi nitapata kiti kama hichi Cha Saloon ya kiume kwa budget ya 700k, nahitaji viti viwili vipya lkn vya muundo kama huu. Au kama Kuna mtu anavyo...
1 Reactions
2 Replies
701 Views
Leo tuziangalie hizi biashara tupeane mawili matatu kwenye angle hii ya Uwekezaji, kwamba mtaji wa kiasi gani unahitajika ili kufaidi faida kubwa Uendeshwaji wake Faida zinapatikanaje Biashara...
3 Reactions
69 Replies
6K Views
Wataalamu wa bank, je naweza kuweka deposit kiasi cha hela kama 10m halafu kila mwezi bank inanilipa riba? Na je watanilipa kiasi gani kila mwezi? Wakati huo hela yangu ipo tu bank?
7 Reactions
298 Replies
34K Views
Habari Zenu Wakuu, Mimi ni Mfanyabiashara wa Biashara ya UWAKALA ( Electronic Money Transactions ), nina uzoefu nayo sana toka mwaka 2018. Ipo miamala ya simu kama; Tigo Pesa, M-Pesa, Airtel...
12 Reactions
93 Replies
6K Views
Mabenki wanaweza wapatia wateja wao kila aina ya elimu ila sio Financial educaion, hio hawawezi itoa hata kwa bunduki make wanajua itawakosesha wateja wengi sana. Na ukweli ni kwamba upigwaji...
15 Reactions
65 Replies
4K Views
Naamini uzima mnao nyote, kama si hivyo basi pole kwa wewe ambaye hauko sawa kiafya na mungu akujalie upone mapema. Nina shauku na nina sauti safi kwa kutoa matangazo katika vifaa vya muziki...
1 Reactions
5 Replies
497 Views
Najua wengine watakimbilia kusema "motivational speaker", lakini hata kama wote watakejeli, kejeli zao hazitaubadili ukweli ninaoenda kuuwasilisha! Kenya ndiyo nchi inayoongoza Afrika Mashariki...
13 Reactions
19 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…