Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Kuna taasisi nimewapigia wakanipa utaratibu wao kianzio ni milioni moja na marejesho kwa wiki ni 177,800 kwa miezi 24 haya marejesho ni gharama mno
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Ningependa kujua biashara ya vyuma chakavu imekaaje,.. Kuanzia mtaji wa kuanza biashara hii, changamoto zake, namna ya kuRUN and everything guys,... Nasubiria comments zenu.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa wenye uzoefu, Hivi kuna usalama kiasi gani kununua laini za uwakala kwa mkononi mwa mtu?
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Nina shida na kupata laini za uwakala tigopesa, airtel money na m pesa kwa bei nzuri Ni sehemu gani ninaweza nikapata zenye jina langu na bei nafuu Kwa sasa nipo Singida Itigi
5 Reactions
23 Replies
5K Views
Je Umewahi kusikia kuhusu Wordpress? Kama hujawahi basi ni kujuza tu kwamba wordpress ni content management system(CMS) kwa ajili ya website.CMS ni mfumo maalum ambao unamwezesha mtengenezaji wa...
4 Reactions
14 Replies
3K Views
Wapendwa sana wanaJF, habari za asubuhi... Siku chache zijazo nimefikiria kuanzisha biashara ya kuuza soda za chupa na za kopo (take away) kwa bei ya jumla na rejareja. Mwenye uzoefu na biashara...
2 Reactions
14 Replies
11K Views
Habari za jioni, nimekaa nimewaza lakini naona Samia utawala wake wote will always be compared na wa Magufuli, Ila sababu yeye bado yupo madarakani ana uwezo wakufanya makubwa sana kama akiwa na...
0 Reactions
1 Replies
806 Views
Habari, Wakuu humu jamii forum Simu yako ya zamani au unayoitumia unaweza kubadilisha na kuchukua simu nyingine, kutoka dukani kwetu kwa kuongezea pesa kiasi ili upate simu nyingine iwe mpya au...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari,naiuza gari hiii Toyota town ace pickup Location Dar es salaam
1 Reactions
6 Replies
711 Views
Tafadhalini wakuu nisaidieni hapa kwa sasa nipo iringa lengo nikajumue kwa bei nafuu hapa iringa gharama kubwa. Asanteni.
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Amani iwe nanyi, Siku chache zijazo nina mpango wa kwenda kununua trekta mpya aina ya swaraj. Kama ulishawahi kumiliki au unamiliki, ni trekta ipi nzuri kati ya swaraj 855 nyota 4, swaraj 744...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Najua wote muwazima Wacha nisonge kwa mada moja kwa moja. Nimewahi kuleta maandiko mbali mbali ya forex humu kwa siku za nyuma kipindi nikiwa naifanya nk Kwa mara ya kwanza nimeijua mwaka 2013...
48 Reactions
437 Replies
60K Views
NYUMBA YA KISASA(HEKALU) INAUZWA. Location : Goba TAARIFA ZA NYUMBA 1) GOROFA YA JUU --- V.I.P Masterbedroom yenye ukubwa wa 30sqm na imezungukwa na balcon upande wa kulia, kushoto na upande wa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Philip Besiimire (kushoto) akimkabidhi jezi ya Vodacom gwiji wa Soka Barani Afrika kutoka Nigeria, Nwankwo Kanu mbele ya wanahabari ambapo mwanasoka...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Wafanyabiashara Ngara Watakiwa Kurasmisha Biashara Zao Ili Kupunguza Mzigo wa Kodi Kwao Naibu Waziri wa Wizara ya Viwanda na Biashara Mhe.Exaud Kigahe (Mb) amewataka Wafanya biashara wilayani...
0 Reactions
0 Replies
447 Views
Mshindi wa wiki ya saba ya kampeni ya Vodacom Tanzania Plc ‘Ni Balaa, Kila Mtu ni Mshindi’ Elias Nakara (Kushoto), akipokea mfano wa hundi ya shilingi laki tano kutoka kwa Mkuu wa kanda ya...
2 Reactions
3 Replies
523 Views
Habari za Muda huu waungwana. Kama kuna mtu/ kampuni ana magari na anahitaji mizigo (local au transit) au anapata changamoto kupata mizigo. Ntumie mawasiliano yako PM tutawasiliana vizuri...
3 Reactions
3 Replies
564 Views
Kama una ndugu yako jamaa ama wewe mwenyewe una ujuzi na marketing Tafadhali wasiliana nami kwa no 0753216888
10 Reactions
23 Replies
995 Views
Position strategy is the process by which an organization identifies its strengths, assesses gaps in the market, and choose how to present itself to the audience and enter the market. Without...
2 Reactions
2 Replies
555 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…