Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Ndugu mdau, au kama una mfahamu mdau ana mradi alioanzisha na umeshika kasi..hata kama kuna management ya mradi husika iwe ujenzi fulani, utoaji huduma au uzalishaji wowote....Nakuletea huduma...
0 Reactions
0 Replies
338 Views
Wajamvi polen. Na majukum. Ndugu yenu napitia changamoto hasa katika harakat za utafutaji unapambana sana lkn mwisho wa siku asbh unamka unajikuta huna hata sent ya kuanzia siku hiyo ,hadi...
9 Reactions
37 Replies
1K Views
Wajamvi polen. Na majukum. Ndugu yenu napitia changamoto hasa katika harakat za utafutaji unapambana sana lkn mwisho wa siku asbh unamka unajikuta huna hata sent ya kuanzia siku hiyo ,hadi unatamn...
2 Reactions
2 Replies
310 Views
Habari jf Katka kupambana na maisha kuna malengo tunajiwekea Shida ni changamoto ya kuyafikia. Mwanzo mwa mwaka 2016 nilijiwekea target kufikisha milion 3. Kwangu ilikuwa hela nyingi coz nilikua...
39 Reactions
297 Replies
57K Views
Biashara ya juice ya miwa, msaada wa eneo la kufanyia biashara ya juice ya miwa
5 Reactions
85 Replies
3K Views
Habarini ndugu zangu na poleni kwa majukumu ya kila siku. Moja kwa moja kwenye mada hapo juu. Kwa mtu yeyote anayejua namna ya kufanya biashara Amazon naomba anipe muongozo kwani natamani sana...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Wakuu habar za mchana. Kuna kipindi niliwahi kusikia watu wanatumia mtandao wa Desi(Kama nimekosea nirekebishwe) huu mtandao sijui ulikuwa una operate vp lakini nilisikia ilikuwa ni uwekezaji...
3 Reactions
40 Replies
2K Views
SERIKALI KUWEZESHA VIFAA VYA UONGEZAJI THAMANI MADINI YA VITO NA USONARA KWA VIJANA WAHITIMU WA KITUO CHA JIMOLOJIA (TGC) ● Ni utekelezaji wa Programu ya Mining For a Brighter Tomorrow (MBT) ⚫️...
0 Reactions
0 Replies
325 Views
Jamani kwa wale wajasiliamali na wapambanaji hasa wanaoaguza mizigo kutoka china kuja Tanzania ni kampuni ipi ni nzuri kusafilishia mizigo kwa njia ya ndege na bahari. Wawe waaminifu
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Wakuu habari za majukumu, Nataka nifungue biashara ya kuuza mikoba au handbag za wadada, wallet na viatu pia special toka China na Uturuki. Eneo ni Kibamba Dar es salaam. Kwa wale wenye ujuzi...
2 Reactions
91 Replies
25K Views
Habari wanaJF. Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wote na mnaendelea vizuri na shughuli zenu za kila siku naomba kupata wenye uzoefu na hii biashara ya gym iko je, nataka nifungue sehemu fulani...
1 Reactions
29 Replies
11K Views
Kuna wajasiriamali wengi huishia kujuta kwa kupoteza mitaji yao bila hata kufanya starehe yoyote wala matumizi mengine mabaya. Leo tutaangazia sababu mbili ambazo zinachangiwa sana na hawa...
3 Reactions
7 Replies
902 Views
OFFLINE ❌ ❌ 🥶
1 Reactions
15 Replies
1K Views
guest-1788672427
Nimeambiwa sasa hivi ni msimu wa korosho hivyo kuna hela sana, Je vitu gani naweza kupeleka huko tukabadilishana na hela zao (Bidhaa) nimetamani kwenda ila nimetamani kupata ABC
4 Reactions
18 Replies
792 Views
Habarini wawekezaji Naombeni ushauri kwa mlionitangulia. Nina kimtaji changu kidogo hapa 15,000,000, nilikua nataka nifanye biashara. Sasa katika kukaa na watu kuna jamaa yangu akaniambia...
1 Reactions
2 Replies
812 Views
● Itafanyika ndani ya nchi na nje ya nchi ● Itaendeshwa na Tume ya Madini kushirikiana na Soko la Bidhaa Tanzania ● Marekebisho ya Sheria na Kanuni yakamilika ⚫️ Ni utekelezaji wa Rais Samia...
0 Reactions
0 Replies
403 Views
Nawasalimu popote mlipo, Kama ilivyokawaida kukosa pesa Kwa watu wengi na kuwa na idea nyingi za biashara, ndivyo ilivyo kuwa kawaida pia kuwa na pesa nyingi afu huna cha kufanya Siku ya Jana...
2 Reactions
3 Replies
484 Views
Habarini wakuu..! Poleni na mihangaiko, nilikua naombeni maoni ninahitaji kuanzisha biashara hapa morogoro. So kwa wenyeji wa mji huu nilitaka kujua biashara gani zipo vizur kwenye kutengeneza...
1 Reactions
21 Replies
7K Views
Miongoni mwa misemo maarufu mitaani ni pamoja na ule usemao “hakuna vya bure,” na kwa watumiaji wa lugha ya Kiingereza nao wanao usemao, “No free lunch.” Hivi sasa, hii misemo ipo bayana kwa nchi...
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu waungwana, Kama kichwa cha habari kinavojieleza, je ni ruhusa kisheria kufanya repackaging and rebranding ya product na kuuza upya. Mfano, ninunue sukari za kilo 50 alafu...
10 Reactions
19 Replies
672 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…