Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wakuu habari za muda huu naomba kujifunza namna ya kutengeneza proposal ya kuanzisha kampuni ya utalii
1 Reactions
12 Replies
870 Views
Wataalamu wa Biashara nauliza Comfort Hotel, kitonga Iringa ilikufaje wakati ilikuwa na wateja abiria wa mabasi?
9 Reactions
103 Replies
12K Views
Habari za mida hii? Natumaini yangu wote hamjambo. Naomba kuulizia bei za chainsaws au mashine za kukatia miti kwa zanzibar maana huku bara bei zake ziko juu sana ase mapaka kero. Mashine hasa...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
FAIDA KUU TATU ZA KUMILIKI WEBSITE AU TOVUTI zama hizi za uwazi na technolojia , watu wengi wamekuwa wakimiliki website bila kujua faida zitokanazo na website lakini pia wengine wamekuwa...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Mhadhara - 39: Kazi ya udereva TAXI ni biashara kama biashara nyingine. Ukiwa mfanyabiashara hupaswi kuwa bubu (mkimya) kupita kiasi. Halikadhalika udereva Taxi pia. Leo natoa ushauri kwa...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
TANZANIA NA BELARUS KUIMARISHA USHIRIKIANO KWENYE SEKTA YA MADINI ▪️Balozi wa Belarus aeleza utayari wao kubadilishana utaalam kwenye teknolojia* ▪️Waziri Mavunde anadi uwepo wa madini...
0 Reactions
1 Replies
351 Views
Assalam aleykum Kwa sisi watumishi wa umma ambao ni Waislam na tunahitaji kukopa kwenye hizi bank ili kuendeleza maisha je ni bank ipi Sahihi isiyo na riba kwa hapa Tanzania?
1 Reactions
3 Replies
404 Views
Mimi ni mwanafunzi wa chuo, nipo mwaka wa mwisho. Hapa nilipo ninamawazo mengi kuhusu kipi ntafanya baada ya kumaliza chuo. Nasomea mambo ya Utaalamu wa Vifaa Tiba vya Hospitali. Wazazi wangu na...
6 Reactions
46 Replies
3K Views
Habari nduguzanguni, Kwa hekima nawaombeni mnisaidie kuhusu hili jambo kuwa mitandao na internet kuna fursa za kujipatia pesa na ukaishi kwa kupunguza stress za maisha kwa access ya internet...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
I wonder how you stay that long ukiwa uko na capital alafu hujui biashara ya kufanya? Wakati I always meet people ambao wapo na very sensitive business idea but they don't know how they'll fund...
2 Reactions
7 Replies
927 Views
Ukweli ni kua biashara na kazi, bora biashara, lakini kutokana na hofu, uzembe, kutotaka uthubu, tumejikuta wengi tumeishia kuchagua kazi, sawa na na ngedere asijue kua ela inaweza nunua ndizi...
5 Reactions
16 Replies
719 Views
Nina wazo la kutengeneza converter ya umeme kutoka chini ya 10V hadi 250V na angalau 2000W itakayokuwa portable na mfumo wa kujicharge. Hii itakuwa ni inverter inayoweza kutumika kwa matumizi ya...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, Niende kwenye mada moja kwa moja. Nataka kufungua banda la chips hapo Dar, mm nikiwa makazi yangu yapo Tanga .Nataka nimueke kijana afanye kazi ili kila siku anitumie faida au...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Wakuu, Kila nikifunga hesabu zaidi ya 20k inalala nje. Wote sio watakaolipa, sasa basi nipeni mbinu za kushughulika na hawa jamaa
6 Reactions
23 Replies
2K Views
habari za muda huu wana JF, Naomba kuuliza kwa biashara ya mikate ya jumla inahitaji mtaji kama kiasi gani na vipi kwa wenye experience inalipaa? yaani ni ile nainunua na kufanya delivary kabisa...
1 Reactions
6 Replies
8K Views
Kwa yeyote ambaye amewahi fanya hii biashara ya usafirishaji nyama ya nguruwe toka Moro to Dar naomba msaada wako. Naomba kujua njia ya usafiri uliyotumia, masoko, changamoto n.k Asante sana.
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Na Mwalim M. A, Mkombozi (Kalaga baho) Kanusho : Hakuna mgogoro wowote wa kimaslahi utakaojiyokeza kwenye darasa hili endelevu. Ushauri utatolewa bure kabisa na hakuna nia ya moja kwa moja ya...
23 Reactions
174 Replies
12K Views
Hoja yangu nakusanya pesa za forex royale app lakini nataka nipate hizo ela kwenye ac yangu. (1) naweza kupata?(2)niliweza kujiandikisha kwenye app tigo pesa duniani ili izo pesa ninazokusanya...
2 Reactions
5 Replies
503 Views
Nataka kumnunulia mpenzi wangu pedi ila sijajua ipi ni bora zaidi.
6 Reactions
67 Replies
6K Views
Naitaji Bank nzuri isio na makato makubwa/mengi niwe na Account ya kutunza ela.
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Back
Top Bottom