,,, TUNAPATIKANA MKUYUNI KARIBU NA STENDI YA DALALA
,,,,,, KWA MAWASILIANO ZAIDI
O699494330 (Whatsapp & normal call)
Karibu MACK_E OUTFITS tunauza t shirt kali size zote ni unisex anavaa mwanaume...
Ndugu zangu siku za karibuni mliifahamu kama kampuni ya TIGO sasa imekuwa YAS una lipi la kusema juu ya mabadiliko haya
Hii imekaaje tangu ilipobadilishwa na kuitwa YAS huku huduma ya fedha...
Baada ya kushauriwa na rafiki yangu kuhusu uwekezaji katika mifuko ya pamoja na kunielezea juu ya UTT AMIS nimevutiwa juu ya hili na kutaka kufahamu zaidi kuhusu UTT AMIS.
Katika harakati za...
Wapendwa wote habari za mwaka mpya 2025 !! Jamani kama kichwa cha habari nlivo kiweka hapo juu, naomba anaye weza kunipa ufafanuzi juu ya mifuko ya Utt na faida za uwekezaji katika sekta hiyo...
Daaah walio toboa kwenye huo mkoa hongereni. Daah mikoa mingine utasema upo KENYA siyo Tanzania.
Licha ya ugumu wa pesa hali ya hewa pia haikunifurahisha upepo mkali, maji chumvi daah, jua kali...
Nawezaje ku trade soko la hisa la USA mikiwa TZ?
Nawezaje kununua big stocks kama AAPL, TSLA etc
Sio Forex bali Stock MARKET kama kuna broker naweza mtumia hapa TZ
Salamu Waungwana wa Ukumbi huu adhimu.
Kuna visenti nimevipata mahali natafuta namna ya kuviongeza. Ninafikiria kufanya biashara ya Asali kwa kuanzia niende Tabora na kununua japo dumu mbili za...
Nawasalimu wakubwa kwa wadogo ktk jukwaa hili,
Kuna kipindi nilileta uzi kuuliza mazingira ya Tabora yalivyo kwani mke wangu alipangiwa kazi mkoa huo,mwaka jana mwezi wa 12 nilienda kumtembelea...
Rehema na amani ya Mungu iwe juu yenu nyote wana JF.
Naomba kujuzwa juu ya hii club tajwa hapo juu nikweli naweza wekeza fedha zangu nikapata faida au nimatapeli. Maana wanasema ni online...
Nikiri kuwa nimekuwa mpenzi wa BM Coach kwa muda mrefu sasa ila hili la safari hii limeanza kunichefua.
Alhamisi ya tarehe 07/09/2023 nilisafiri na basi la 1.30 asubuhi. Mshangao wa kwanza ni...
Good Morning 🌞 for Everyone.
2025
Jipange upya njia uliyoitumia kuyaendea mafanikio na plan zako mwaka 2024 usikubali kurejea nayo kwani adui wamekutegea mikwamo mingi sana pengine mwaka 2025...
Habari wakuu mnaionaje hizi baishara ni za kuendelea kufanya kweli tandam ya gari ya sukari inabeba mifuko 600 ya sukari unaiuza kwa miezi 2 na faida yake ni 540,000 wakati huo gharama za manunuzi...
Habari,
Nchi ya uturuki imekuwa miongoni mwa nchi ambazo Watanzania wengi wamejivunia utajiri kutokana na kuagiza bidhaa mbalimbali kupeleka Tanzania.
Katika kipindi cha miaka ya Karibuni...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naulizia kwa wale wazoefu au anayefahamu site nzuri ya kununulia bidhaa za uturuki, kama ilivyo Alibaba, Amazon na eBay.
Natanguliza shukrani