Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Bulb za LED Zimeungua? Usitupe – Tunazitengeneza! Taa zako za LED zimeungua na hazifanyi kazi tena? Hapa ndipo suluhisho lako linapatikana Tunatengeneza bulb za LED zilizoungua na kuzifanya kuwa...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Salaam Wana JF. Uzi huu naomba wote wanaohusika na Kutengeneza Sabuni za aina zote,Kwa Kiwango kidogo,cha Kati na Kikubwa Tukutane Kupeana Maarifa,Taarifa,Ujuzi na uzoefu.Aidha wale wanaouza...
5 Reactions
18 Replies
3K Views
Habar wakuu nataka kusajili company niwe naomba tender za kusuply material katika miradi ya hamashauri mashule,zahanati..vip wakuu Kuna ukiritimba wowote wakupata au ndo Hadi uwe na connection na...
4 Reactions
18 Replies
933 Views
Salamu zenu wakubwa shikamoo Mimi ni kijana ninae jitafuta sana Naishi Mwanza najishughulisha na uchomeleaj, ila tatizo ni moja sisi hatukopesheki nahitaji mkopo wakuanzia laki saba. Nimeunda...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Wakuu Spidi ya nyuzi za jukwaa hili la bzness hauwezi kulinganisha na majukwaa mengine kama MMU, Jit Chat, Mchanganyiko Siasa, Celebrity, Entertainment n.k. Hii kidogo mimi inanishangaza maana...
7 Reactions
14 Replies
723 Views
Habari ndugu zangu Nianzia hapa ivi unakumbuka katika harakati zako za kuanza biashara,ujasiliamali,upambanaji ulianza vp na ni changamoto gan unayoikumbuka ilikupunguza nguvu ila hukukata tamaa...
3 Reactions
5 Replies
357 Views
Wakuu tupeane michongo Kazi gani haina changamoto tuje tufanye kwa pamoja
4 Reactions
7 Replies
422 Views
Habari wanaJF, Nimekuja kwenu na ombi. Kama kuna mfanyabiashara wa OVEN hapa naomba tuonane. Cha msingi, nahitaji kukitumia kanisani. Iweze kutumia gesi na umeme. Plate 2 au 3. Naomba uniandikie...
0 Reactions
2 Replies
368 Views
Habari wana jf Nina complain moja kutoka kwa rafiki yangu familia ilipoteza baba mzazi na walikua wana mradi wa mashine ya kusaga nafaka iliyosajiliwa kwa jina la kibiashara na kulipa...
0 Reactions
3 Replies
614 Views
Wakuu habari! Mimi ni kijana wa makamo nimekuwa nikiona mtandaoni kwa mataifa ya Europe na Asia kukiwa na makampuni mengi yanayojihusisha na shughuli za fundraising kwa miradi na mawazo ya...
0 Reactions
12 Replies
810 Views
Rais Samia, amesema haiwezekani wageni kuingia nchini na kufanya biashara za machinga, huku akieleza kuwa vijana wetu (Kitanzania) watafanya nini? na kuagiza Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
mpo mnapiga story mtu anapita nayo umeenda kuomba mkopo benki wanahitaji kuiona business plan wanapita nayo umeenda kwenye kampuni kuuza wazo wanakuwahi n.k. Umeumiza kichwa kufanya uchunguzi wa...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Thamani ya ndege moja aina ya Skyleader 600 ambayo imetengenezwa nchini Tanzania, imetajwa kuwa ni zaidi ya Dola za kimarekani 220,000 sawa na shilingi milioni 500 za Kitanzania. Gharama Thamani...
9 Reactions
62 Replies
3K Views
TANZANIA OIL AND GAS PROFESSIONALS ASSOCIATION(TOGPA) RIPOTI YA MJADALA ULIO FANYIKA TAREHE 30/05/2018, 20:00 na kuendeleaa, AGENDA YA KWANZA ya 30/05/2018 kuanzia saa 20:00 na kuendelea...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Naomba nisaidiwe mawazo njinsi ya kuanzisha kiwanda cha kutegeneza misumari, gharama zake na mitambo ya kutegenezea inapo patikana ili ninunue nianze kazi.
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu zangu nipo mahali ambapo sina mtu wa kumuazima pesa. Naombeni msaada ni app gani mzuri na haraka kwa mikopo na ya uhakika? Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
1 Reactions
0 Replies
888 Views
Ithamini Sana Shillingi 100 Uipatayo: Uhalisia wa Maisha ya Kitanzania Katika mazingira ya maisha ya Kitanzania, shilingi 100 inaweza kuonekana kama fedha ndogo, lakini ina umuhimu mkubwa...
6 Reactions
5 Replies
758 Views
Ifikapo mwaka 2030 Hadi 2035 vyombo vya usafiri vingi vitakuwa vinatumia UMEME hivyo utegemezi wa Kodi kupitia dizel na petrol kutakuwa si chanzo kizuri cha Kodi tena. Na pia Serikali ipunguze...
1 Reactions
2 Replies
506 Views
Habarii zenu wadau, kama mada inavyoeleza nahitaji kuanza biashara hiyo ya dagaa waliokaushwa na jua kutoka mwanza to dar, nahitaji soko lake kwa hapa dar na details zingine zitakazo nisaidia...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…