Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habarini members ,poleni na swaumu na qaresma , allah awafanikishe kipind hiki kitakatifu. Back to topic , baada ya kufanya utafiti nimegundua biashara ya kuuza nyama ya ng'ombe inaeza...
1 Reactions
0 Replies
497 Views
Kama kichwa kinavyojieleza, naomba connection ya chimbo la vifaa vya umeme kwa bei ya jumla kariakoo. Nataka kufungua duka huku mkoani. Shukrani
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari wana JAMII FORUM naomba kujua nikiwa na madini naweza kuuza bila kua na vibali vya uchimbaji ?
0 Reactions
8 Replies
575 Views
Kitabu cha "Jinsi ya Kuendelea Kuwa Masikini" kinatoa mifano na ushauri kuhusu tabia na maamuzi yanayoendelea kuwafanya watu kubaki kwenye umasikini. Hiki ni kitabu kinachokosoa mtindo wa maisha...
12 Reactions
38 Replies
1K Views
Ofa ofa ofa πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€— karibu ujipatie matairi ya magari madogo na magari makubwa Kwa bei ya punguzo la 10% mwezi ramadhani pamoja na pasaka. Matairi ya brands mbalimbali za size zote zinapatikana...
1 Reactions
2 Replies
473 Views
Wakuu poleni na mahangaiko ya kusaka heshima(πŸ’°) Wakati naendelea kuwaza na kuwazua jinsi ya kujiwekea Heshima yaani kuwa na pesa,nikapata wazo la kilimo lkn hapo hapo nikakutana na changamoto ya...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
habari wadau Nahitaji kujifunza jinsi ya kutengeneza Mishuma kibiashara. vipi kuna mtu ana utaalamu nayo? mimi nipo dar
2 Reactions
1 Replies
292 Views
Nipo dodoma, nina kigari ambacho nataka nikipigie mishe za Bolt ili kujipatia vijisenti vya hapa na pale maana hali ni ngumu kiukweli. Kama kuna mtu anaweza kunifanyia mchakato nikapata akaunti...
1 Reactions
1 Replies
491 Views
Habari za mda huu wa kuu.kichwa cha somo chahusika.Ninatarajia kufungua kiwanda kidogo kwa ajili ya usafishaji wa mafuta ya kupikia hivyo ninahitaji kemikali muhimu katika shughuli hii.Mafuta...
6 Reactions
34 Replies
2K Views
Kuna taarifa nimeiona bbc hasa baada ya kuona nembo ya illuminati imefanana na payment system(WEBMONEY) hebu tulijadili hili wakuu,,,,,,, mimi siyo mwandishi mzuri picha zinajieleza angalia hapo
0 Reactions
35 Replies
1K Views
Habari Ndugu zangu nilikuwa nahitaji kufanya biashara katika jiji la mwanza mtaji nilionao ni sh laki tano 500,000/= Nilikuwa naomba ushauri wakimawazo ili niweze kujiajiri kwa hiyo pesa
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Kiufupi hii kitu sina ujuzi nayo kabisa yaani ni 0% Naona kila siku kwenye mitandao watu wanaongelea sasa sielewi kabisa. Je, ni biashara? Bitcoin ni nini? Crypocurreny ni nini? Watu gani...
2 Reactions
20 Replies
5K Views
Habari humu JF?. Dunia inaenda na wakati kwa kila Jambo. Basi hata maswala ya kifedha pia kutakuwa na mabadiriko makubwa. Siku si nyingi dunia itahamia kwenye matumizi ya sarafu kidigital. Yaani...
1 Reactions
12 Replies
5K Views
Habari ndugu zangu naomba muongozo mwenye hakika na haya anijuze. Nawaza kufungua ofisi ndogo ya kuwa wakala wa hudumu za kifedha kupitia mitandao ya simu, Je, leseni ya biashara inapatikana kwa...
4 Reactions
67 Replies
138K Views
Habari za majukumu wakuu . Kama kichwa kinavyojieleza nauza simu yangu Samsung ao5 ina ram 4 .. memory ni gb 128 .. battery 5000 mah .. clean as new .. Bei 210k .. Mteja serious..0684 56 25 23...
1 Reactions
5 Replies
679 Views
Wakuu, Nina kapesa kangu kama million 6 hivi kamekaa benki muda mrefu naona wanakakatakata tu huko benki, Sasa nataka nikatoe benki walau nikawekeze UTT AMIS au Kwenye hati fungani za serikali...
5 Reactions
49 Replies
7K Views
Najua nyakati ni ngumu na wengi wetu hatuna kazi za kuajiriwa. Kama utapenda kujifunza ujasiriamali bure basi soma hii Hapa kuna mapishi ya sabuni iliyotengenezwa nyumbani ambayo inaweza...
8 Reactions
62 Replies
3K Views
Karibuni Msome kitabu changu kipya: FURSA, UTASHI NA UHURU WA FEDHA Tambua Siri ya Tabia kuelekea Uhuru wa Kifedha Je, unataka kujua siri ya kufikia uhuru wa kifedha? Kitabu hiki kinakupa...
0 Reactions
0 Replies
435 Views
Hawa motivational speakers ni watu wanaokula kwa kuuza matumaini yaliyovuka uhalisia kwa watu wanaojitafuta au kukata tamaa. Unapoingia kwenye biashara kwenye nchi kama Tanzania umeingia kwenye...
11 Reactions
19 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…