Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wadau nimeamua kuweka habari hii kuwapa taadhari vijana wapya wanaotaka kujiingiza kwenye kilimo. Kuna usemi unaosema kwamba kupitia failure ndio kujifunza, huo usemi uko sahihi, lakini kupitia...
11 Reactions
64 Replies
17K Views
Tunafanya usafi wa majumbani, maofisini, pia tunasugua marumaru aina zote, tunasafisha bati nk. Tunapatikana Soweto, Mbeya. Wasiliana nasi +255761972755, +255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
0 Reactions
0 Replies
305 Views
Baada ya mama kutuongezea chajuu kidogo kwenye salary nimeamua kujilipua benki nimevuta mkopo wa mulioni ishirini, milioni kumi nimefanyia finishing ya nyumba yangu ya kuishi na kumi zilizobaki...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Swissport Tanzania (SWISS) 📚 Ilishuka kutoka: TZS 1,320 Mpaka: TZS 1,100 Hasara:- 16.67% Tanzania Portland Cement Company (TPCC) 📚 Ilishuka kutoka: TZS 4,690 Mpaka: TZS 4,130 Hasara:- 11.93% DCB...
1 Reactions
0 Replies
395 Views
Ni wazi kuwa miaka inavyozidi kwenda kuna baadhi ya kazi zitaendelea kufa leo nitaweka wazi kwanini graphic designers wanaenda kukosa ujira waliozoea na kama hawatabadilika basi utakuwa mwisho...
10 Reactions
40 Replies
5K Views
Ni biashara gani au mradi gani hapa Tanzania unaongoza kwa kufelisha watu. Yaani unakuta biashara ndani ya mwaka inafungwa sana. Ni mradi gani ambao watu wengi wakiufanya huangukia pua? Pia ni...
5 Reactions
33 Replies
1K Views
Ni fursa kubwa imejitokeza kutokana na uhaba wa maji. Ningeshauri muanze biashara ya kutembeza maji mtaani ndoo/dumu 5,000 TZS huku Bonyokwa. Kwa siku ukiuza 100x5,000=500,000 X siku 30 =...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Kuna miti ya huzuni, ya majuto, ya kushindwa, na ya hofu iliyoota kwa miaka mingi ndani ya nafsi yako. Lakini leo, ujumbe wangu kwako ni huu, kata mti, panda mti. Kata mti wa kukata tamaa, panda...
1 Reactions
3 Replies
424 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule (katikati) akikata utepe kuashiria kufungua rasmi duka la Vodacom lililopo eneo la kituo cha mwendokasi (SGR) cha Samia Jijini Dodoma leo. Kulia ni...
1 Reactions
6 Replies
930 Views
Habarini wana jamvi, kama mada inavyojieleza apo, naitaji nyumba ya kununua iliyokamilika. Iwe ni vyumba 2 au v3, kimoja wapo kiwe master au vyote, kuwe na sebule, jiko etc. Location iwe Dar...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa sasa, bei ya hisa za CRDB ipo kwenye TZS 790 kwa kila hisa. Kwa mujibu wa uchambuzi wa soko tulioufanya, kuna uwezekano mkubwa bei hii ikasimama hapo ilipo au kushuka kidogo katika kipindi...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba kujuzwa changamoto za mashine za koni mtumbani(used)
1 Reactions
0 Replies
264 Views
Katika ufalme mdogo wa kidijitali, watu waligombana mara kwa mara kuhusu nani anamiliki nini. Kulikuwa na vitabu vingi vyenye hadithi tofauti, jambo lililosababisha machafuko na udanganyifu. Siku...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Hello bosses and roses.. Kuna kitu nimekua nafikiria kwa muda mrefu, sina uhakika sana kuhusu uwepo wake kwa sasa au inawezekana kipo lakini kinafanyika kwa njia zisizo rasmi. Hebu fikiria...
0 Reactions
2 Replies
250 Views
Wakuu, naomba akili ya biashara,pesa ninayo na sijui Cha kuifanyia.(nimebet nimepiga mpunga) Location: Lindi In cash: Mil 3
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari wakuu. Naombeni njia ya kweli ambayo siyo scam ya kuingiza $2 online kwa siku. Isiwe blogging na apps, forex, kubet, cryptocurrency na referral invite networking. sizitaki hizi njia...
12 Reactions
574 Replies
103K Views
Mfanyabiashara mashuhuri wa Kitanzania, Edhah Abdallah, kupitia kampuni yake Amsons Industries (K) Ltd, amefanikisha ununuzi wa asilimia 96.4 ya hisa milioni 362.96 za Bamburi Cement, kwa jumla ya...
2 Reactions
8 Replies
940 Views
Mkoa wa Njombe: Mkoa wa Njombe una Halamashauri 6 ambazo ni Njombe Mjini, Vijijini, Ludewa, Makete, Wangingombe na Makambako. Wenyeji wa Mkoa wa Njombe 70% ni wabena, ambao wanapatikana Wilaya za...
12 Reactions
207 Replies
21K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…