Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

nyumba nzuri na ya kisasa inakodishwa,ipo maeneo ya mbezi hapa goigi. ina ac mbili na security system na ni rahisi kufaki kwa gari.kwenda kwa gari hadi kwenye nyumba ni dk 3 kwenda kwa miguu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imepunguaza bei ya mafuta kuanzia leo katika mikoa yote nchini. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Ewura, bei ya petroli imepungua...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Vipo vichache sana km upo tayari nione sasa.......ni vya star times utauziwa kwa bei ya kimtaa,cyo vya wizi vipo ktk hali nzuri
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF naomba ushauri kuhusu biashara. Nina mtaji kama milioni moja nahitaji kufanya biashara yoyote ambayo itaniongezea kipato zaidi. Je ni biashara gani naweza kufanya na ikanilipa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu wana jf, Napenda kuwatangazia kua nauza laptop aina ya Sony,model VPCEH1AFX Processor Intel Pentium B940 / 2.0 GHz ( Dual-Core ) Memory 4.0 GB Hard Drive 500.0 GB - Serial ATA-300...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
REHABILITATION OF ARUSHA – MINJINGU ROAD PROJECT TAKES OFF The contract of the Arusha – Minjingu Road Project (98 km) was signed between Tanzania National Roads Agency (TANROADS) on behalf of...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu mi nilikuwa nataka kujua Hivi haya Mashirika yanasaidia vipi Wanachama wao? Manake unakuta mtu Umeanza kazi una 25yrs, unachangia huu mwaka wa kumi bado unakaa nyumba ya kupanga ukiwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Many people want to be successful; though very few achieve that. The difference lies in ACTION, SKILLS and MENTAL attitude. Take this opportunity to learn more (check the attachment file for...
0 Reactions
0 Replies
914 Views
wadau salam, tafadhari ningependa kufahamu wasambazaji wa bidhaa za nivea hapa tanzania. yeyote mwenye kufahamu tafadhari tufahamishane . asante
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Kuna Ufananisho uliopo kati ya Ujasirimali na Mapenzi, na Ufanano wao ni kwamba kama Ilivyo kwa Mapenzi kwamba Hakuna chuo Dunini kinacho fundisha Mapenzi ndo ilivyo kwa Ujasirimali, hakuna chuo...
2 Reactions
30 Replies
8K Views
Habarini Wakuu! Kwanza Kabisa Heri ya mwaka mpya 2013 iwafikie popote mlipo! Wadau shida yangu hasa ni kuhusu kikokotoleo (Calculator) ya TRA kenye Magari used, Nimefuatitilia mijadala...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau kutokana na huu mfumuko wa bei na kushuka ''purchasing power'' nafikiri tunahitaji noti za sh 100,000 zichapishwe kuondoa mzigo wa minoti.Sijui itakuwa na implication gani kwenye uchumi...
1 Reactions
24 Replies
6K Views
Napenda kuwatahadharisha watu wanaotafuta kununua magari kupitia mtandao wa Zoom Tanzania. Mtandao huo umesaidia sana watu wengi kupata magari hapa hapa nchini. Lakini sasa wamejiingiza matapeli...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Serikali imekuwa ikisema kuwa inaweka mazingira wezeshi ili watu waweze kufanya biashara huwa sielewi maana yake.a Hivi karibuni rafiki yangu Mmoja ameingia mkataba wa kuingiza Herbal Products...
0 Reactions
1 Replies
962 Views
Wakuu kuna kila Dalili kwamba DUNIA inaenda kukumbwa na Uhaba wa Chakula ambao wachunguzi wanadai haujawahi tokea tangia Kuumbwa kwa Hii Dinia, Hali ni Mbaya sana USA na Marekani inaenda kukumbwa...
0 Reactions
24 Replies
8K Views
Habari wadau,tafadhali kwa anayejua viwango vya malipo kwa mawakala kwa kila transaction aviweke hapa,nawasilisha. Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
0 Reactions
0 Replies
2K Views
This international and way for somebody to make some cash and reduce debt. My link is www.pennymatrix.com/slaughter1. The cost is $ 7.00 a month and $ 80.00 a year
0 Reactions
1 Replies
993 Views
Kitendo cha aliyekuwa waziri wa mali ya sili na utalii kukubali samaki waliokisiwa kuwa na mionzi ya kemikali kutoka japan na kuwaingiza nchini waliwe na wananchi wa tanzania, ni cha kinyama na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Pangani - Tanga Pangani Farm: 38 acres · Title deed available · Orange farm · Located at Kimang'a, Pangani – Tanga (12 Kms from Pangani, 40 Kms from Tanga and 36 Kms from Mheza) · All...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za wakati huu ndugu na jamaa zangu? Nikitambua ya kwamba kuna umuhimu mkubwa wa kujua hali ya uwekezaji, ila habari finyu za uwekezaji kwa Watanzania ni changamoto inayoshusha hamasa kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…