Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Jamani, nimeandika kitabu changu, nataka kukisambasa mimi mwenyewe, naomba kujua ni kwa namna gani nitalipa kodi TRA, nikiwa na maana kwamba, nisijekusambaza nikapata pesa fulani ambazo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwaka 2009! Manispaa ya Mji wa dodoma ilitangaza tenda kwa mtu mmoja mmoja kujoteza na kuomba kujenga na kupangisha kibanda cha sokoni (Eneo la Kisasa)! Mwaka 2013! Mchakato umeisha na sasa watu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wiki mbili zimepita tangu nijaze fomu kufungua account NBC nikaambiwa nisubiri ikiwa tayari watanipigia simu. Nimesubiri mpaka nimechoka kwani nilikuwa nategemea kutumia account hii kutumiwa hela...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Kuna bank flani hv nilikopa mshiko sasa nimelipa hadi nusu hivi, sasa nimeenda bank kuchukua letter of settlement cha kusikitisha ni kwamba wamenipiga fine zaidi ya 800, 000 nashangaa hyo fine ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimewapigia simu leo hii ikapokelewa na mdada fulani. Issue ni kwamba kama naweza kupata sim card ambayo inaweza ku-fit kwenye simu ya Samsung Galaxy SIII. Akaniambia kuwa wanatoa kama promotion...
0 Reactions
1 Replies
993 Views
Source: Bloomberg Inside Reindert Dooves’s home, a 17th- century, three-story converted warehouse along the Zaan canal in suburban Amsterdam, a 21st-century Internet giant is avoiding taxes. The...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hatimaye Serikali yakiri kuidanganya IMF kwa kulazimisha kukopa kutoka EXIM Bank China fedha za kujengea bomba lenye utata la kusafirishia Gesi ya Mtwara na Lindi hadi DSM. Katika barua yake ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi ni mfanyabiashara na ni mbunifu wa upambaji katika kumbi mbalimbali za sherehe mbalimbali zikiwemo harusi, kitchen party, kipaimara, misiba na mikutano mbalimbali ya kiserikali na kichama...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
The WITS Student Law Journal of Southern Africa is an upstart journal housed within the University of the Witwatersrand and run completely by an editorial team of law students. The aim of our...
1 Reactions
1 Replies
902 Views
MIMI NIKO KOREA NATAFUTA MTU WAKUFANYA NAE BIASHARA AM VERY SMART NAJUWA MBINU ZOTE ZA WIZI SO USIFIKIRIE HATAKIDOGO KAMA UTAKUWA TEYARI EMAIL ME superblackrose88@gmail.com najuwa jinsi ya kukupa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
naomba yeyote mwenye uwezo wa ku supply nyavu za kuvulia samaki awasiliane na mimi haraka'tafadhali eleza aina ya nyavu unazoweza ku supply na bei zake kwa detail zifuatazo...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ni wazi kua sasa imebidi tufungamanishe nguvu zetu kama wakazi wa Afrika Mashariki, ili kujikimu na mwenendo wa kiuchumi, tamaduni hata kisiasa katika ukanda wetu huu. Jana ikiwa siku ya jumapili...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tanzania Ports Authority Director General, Ephraim Mgawe and four other senior officials have been relieved of duties as recommended by a board committee formed to probe abuse of office charges...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
unajua siku izi nmekua nkiwaza waza kuhusu idea mpya za biashara, sa leo nmejiwa na wazo la mobile saloon. je hii kitu inaweza ikaitajika kwa watanzania wa sasa? and who wil u target "target customer"
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau leo naomba niweke kero zangu nilizozikusanya over the past few months including today. Huduma zitolewazo NBC kwa kweli si za kuridhisha hususan Corporate Branch hapo Baharini Posta. Kwanza...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa Tume ya Mawasiliano Tanzania, kampuni zote zinazotoa huduma ya Television baada ya kuingia katika mfumo wa Digitali, zinatakiwa kuwa na chanel ambazo si za kulipia (free channels)...
1 Reactions
0 Replies
6K Views
Wakuu nawasalimu, Ninaandaa Mkutano (breakfast meeting) na wafanyabiashara. Swala ni kwamba nataka niwakusanye wafanyabiashara ili wakutane na management ya TRA kwa lengo la kuwashawishi kwenye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu, habari. Kuna hii kitu kuhusu kujipatia ajira at home na kulipwa commission, je wajuzi wa haya mambo, vipi inahusika au ni miyeyusho tu...
0 Reactions
0 Replies
868 Views
Napendekeza idara ya TRA ingekuwa inatoa nishani kwa wafanyabiashara ambao wamefanikiwa kukua kwa viwango ambavyo wataviweka wao. Iwe wafanyabiashara wakubwa, wakati na wadogo. Wahojiwe waweze...
0 Reactions
1 Replies
973 Views
Ndugu wanajf baada ya kutafuta ajila kwa mda mrefu na kukosa nimeamua kujiajili kwa kufungua duka dogo la hardware. Nimeshapata tin na leseni. Changamoto ninayoface ni kuwa mtaji nilioanzia ni...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…