Mimi ni moja wa vijana wasaka tonge, Nina ndoto ya kufika mbali kiuchumi, nipo Singida, sasa natamani kuhamia Kati ya manispaa ya Mpanda au manispaa ya KAHAMA au NZEGA TC ,wenye uzoefu na Maeneo...
Nina almost zana complete, hapa mtaani kuna library kadhaa, ningeomba usharudi jinsi ya kutafuta location ingine ni vitu gani nizingatie ili nipate wateja.
Asanteni.
Habari wana JF, naamini mpo salama na mna Afya njema. Nakuja kwenu tena nikihitaji hiyo spare part (enjoctor pump) ya mashine yangu Air compressor Jenbacher JW223.
Matatizo: inachelewa sana...
Ni muda sasa umepita na watu wengi wamekuwa wakichangia mijadala na kutoa Thread mbalimbali kuhusu mawazo ya biashara, na muongozo wa uendeshaji wa biashara ni muda rasmi kila mmoja alifanikiwa...
Hii Ndio SIRI Ambayo Imenichukua Miaka 03 Na Baada Ya Kusoma Vitabu...
...99+ Vya Mindshift Ikiwemo...
-Think And Grow Rich
-The Diary Of C.E.O
-Rich Dad Poor Dad
NA...
Vitabu Vingine...
Yooo watu wangu wa nguvu, especially wale wa CBE na vyuo vingine, na hata mtaani – kama unajiona uko ready ku-push maisha yako next level, then this message is for YOU!
Niko tayari kukupiga shule...
Habari za wakati huu;
Ni matumaini yangu kwamba mnaendelea salama kabisa na harakati zenu za kujenga Uchumi binafsi na watanzania huku mkiendelea kupambana kupata mgao wenu wa Keki ya Taifa ambapo...
Habari
Maisha yanaenda Kasi sana siku hizi pesa imekuwa muhumu na ya lazima kwenye Kila kitu lakini upatikanaji wake umekuwa mgumu sana kupelekea biashara ya mikopo kuwa biashara inayofanya vizuri...
WAZIRI MAVUNDE AZINDUA MRADI WA KIHISTORIA WA VIJANA NYAMONGO-TARIME
▪️Agawa Leseni za madini awamu ya kwanza kwa Vijana 2000
▪️Ni utekelezaji wa Maagizo ya Mh. Rais Dkt. Samia
▪️Aupongeza...
Poleni na majukumu wakuu.
Macho yangu na akili sasa yanatazama hapa, nilikuja kuomba ushauri humu kuhusu biashara stationery na nilipata muongozo mzuri na sasa naendelea nayo vizuri ingawa bado...
MBUNGE MARTHA MARIKI: AITAKA SERIKALI KUWEKA RUZUKU KWENYE MKAA MBADALA ILI WANANCHI WAUPATE KIRAHISI
"Nampongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya nchini Tanzania...
Habari wakuu.
Boss njoo fasta hapa Luguruni karibu na ofisi ya mkuu WA wilaya nikupe hiki kiwanja.
Sqm 721 na area hii kila sqm moja inauzwa 350000 asee boss njoo fasta.
Kiwanja hiki kinataka...
Habari. Nina wazo la biashara inahusisha zaidi kugawa huduma ya internet kwa wananchi kwa ghalama nafuu. Hii itawagusa wote wa chini na wafanya biashara.
Nahitaji mtu mwenye mtaji na uzoefu katika...