Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Huu mgao wa sasa hivi nimeupenda mnapigwa kimya kimya........
0 Reactions
1 Replies
870 Views
Bado tuna tatizo kubwa sana katika huduma (customer service) iwe katika ofisi,maduka,hosp nk..katika pitapita nakumbuka kuna siku nilipita mtaa wa posta dar kulikuwa na duka walikuwa wanauza...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Katika hali ya kuonesha ushindani katika biashara ya usafiri wa anga unaongezeka siku hadi siku, kampuni ya ndege ya Precision nayo imeshusha gharama za usafiri kwa mteja wa Precision Air, sasa...
7 Reactions
40 Replies
5K Views
Wadau naomba kujuzwa gharama za kusajili gari hapa nchini Tanzania bila kuhusisha garama za importation, kodi na bei ya gari.
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Wafanyakazi wa Kituo cha Dawasco Kawe (hasa enginner - Eliud) acheni kufanya ofisi ya umma kama za baba zenu, hiyo ni ofisi ya umma, sikilizeni wateja na mtoe majibu ya kuridhisha. Cheo dhamana!!
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kila mmoja wetu anajua jinsi asilima kubwa ya customer care ya ofisi nyingi za Tanzania ilivyo mbovu.Kila siku tumekua tukilalamika jinsi wafanyakazi wa huduma kwa wateja walivyo na lugha mbaya na...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Habari wakuu,nataka kuanza biashara ya heavy duty equipments and machines kama vile mobile harbour cranes,cranes,(backhoe)Loaders,wheel loaders excavacator,reach stackers nk nninaomba aliye na...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Nimekuwa nasoma mada nyingi sana hasa za biashara na kilimo hapa JF. wafuatao napenda kuwapa hongera na kuwashukuru sana sana kwani kwa sasa nina mawazo mapya hasa ya maendeleo. ASANTENI...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
KUMEKUWA NA KASUMBA KWAMBA MARA NYINGI MTU HUFANIKIWA AKIWA NA UMRI MKUBWA SANA. LAKINI HII SIO SAHIHI SIKU ZOTE. KAMA VIJANA WENGI WAKITANZANIA TUKIACHA POROJO ZA SIASA ZISIZO NA TIJA, TWAWEZA...
1 Reactions
1 Replies
5K Views
Wakuu naomba mnijuze jinsi ya kununua hisa au share katika kampuni au stock exchange,msaada wakuu wangu
0 Reactions
1 Replies
4K Views
sisi ni vijana wasomi wa shahada kutoka chuo cha mipango ya maendeleo vijijini Dodoma. tumeunda kikundi cha wajasiriamali kinachoitwa Poverty Eradication Through Agriculture (PETA). kikundi kina...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Mimi ni kijana mwenye shida ya ofisi space ila kama mjasiriamali mdogo sina capital ya kuweza kugharamia ofisi kwa sasa. Naomba msaada wa mtu mwenye ofisi eneo la posta ambayo inaweza ikawa na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
habar wakuu, mimi nina tatizo nimenunua hisa precision air nataka kuziuza ila sijajua mchakato unakuaje naomba mnisaidie kwa anayejua
0 Reactions
3 Replies
2K Views
The DCB Commercial Bank Limited has increased its capital from 15bn/- to 28.2bn/- in accordance to the Bank of Tanzania (BoT) regulations. Dar es Salaam Community Bank (DCB) The bank...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
kwa mfano niki okota milioni mia (ignore the odds), nikaamua kupeleka benki wanaweza kuzi fungia kwa kudhania ni fedha haramu. NB: assume nilikua na savings account ambayo haikuwahi kuwa na zaidi...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Salaam wakuu Hizi gari zinanichanganya Hii ni ESCUDO au GRANDA ESCUDO? Maana wauzaji wengine wanaiita GRAND wengine wanaiita ESCUDO tu. Sasa katika calculator ya TRA gari hizi mbili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
No-frills carrier caves; will pay billions to TRA, TAA in back taxes and airport fees Wednesday, 27 February 2013 09:59 Fast Jet...
0 Reactions
0 Replies
999 Views
NEW YORK (Reuters) - JPMorgan Chase & Co plans to cut 3,000 to 4,000 jobs in its consumer bank in 2013, representing about 1.5 percent of the company's overall workforce, it said in a presentation...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wapendwa Wataalam, Saalam! Napenda kujuzwa namna gani naweza tengeneza Foundation Ikawa chini ya Usimamizi wa Kampuni Binafsi. Mapato na matumiz na hata kama faida hayataingiliana na Foundation...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Hii ni kampuni mpya inayoanza safari za ndege, nauli ni bila VAT. Kwa Dar office zipo mitaa ya Samora opp Wizara ya Nishati na madini karibu na Steers.Nilikuwa nasikiliza afisa wao clouds fm...
0 Reactions
98 Replies
21K Views
Back
Top Bottom